mediterania iko bondeni mkuu. Maji hayapandi mlima.mto Nile chanzo chake ni bahari ya Meditrenia na maji yake yanamwagika ziwa Victoria
Kwa utafiti wa kina ni kuwa hata ziwa Viktoria ni njia tu umepita chanzo chake ni nje kabisa ya ziwa ila kwa kuwa mwonekano wa kutoka maji umeonekana hapo ndio husema chanzo ni ziwa Viktoria
Bahati ya Pacific kweli??
Mimi bado sijaamini au niseme inanichanganya kuhusu hilo. Kwa maana mto unavujisha maji mda wote sasa ziwa lingeweza kupungua au kukauka kabisa.
Nimekwelewa mkuuMara zote mito haiwi na chanzo kimoja.. Mto wowote huwa unakuwa na inlets, walichofanya ni kuspecify tu ili kuondoa mkanganyiko!!
Kwani kwa walioutazama kwa macho huo mto wanaona maji yanatembea kuelekea ziwani/Victoria au yanatoka ziwani kuelekea huko mataifa ya Afrika Magharibi?
Africa magharibi[emoji3][emoji3].. Hizi elimu za hapa na pale nazo!
mto Nile chanzo chake ni bahari ya Meditrenia na maji yake yanamwagika ziwa Victoria
Kipo mtwara acha ubishiMTO Nile umeanzia ziwa victory
Kinatoa maziwa ya mgandokina fanyaje
Kuwa makini. Huyo atakuingiza chakaBahati ya Pacific kweli??
Huo mto ulio huko Mbeya unaitwaje?Nimekwelewa mkuu
Ila hapa niwakumbushe tu kuwa kuna mto uko mbeya unamwaga maji ziwa Viktoria
Wasisahau na hili
Leo nimeconclude ww ni kilaza wa level ya Poor head DistributionMaji yanaanzia Nyanza na kumwaga maji yake Bahari ya pasific huko masri
Masri wamehodhi huu mto kutokana na sheria mbovu za mabeberu
Kwamba nile ina vyanzo viwili maji meupe yanatoa victoria na maji blue yanatoka ziwa tana
Yes tana lione hapoZiwaTana [emoji848]
Sio kweli. Ni mtwaraMTO Nile umeanzia ziwa victory
Duuh Awamu hii kiboko!sio kwa kuvurugikiwa huku aseeh!!wiki iliyopita nilikutana na hili swali kwa mtoto .ukigoogle majibu nayo utata mtupu....Chanzo chake kipo mtwara huko