Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,023
- 1,317
Mweh kazi ipo nasikia na huko chuoni UVCCM wanazunguka kuandikisha wana ccm waliokosa mkopaRaisi wa wanyonge sasa amewageuka na anasema na bado fweza zitaendelea kuwakaukia mifukoni hadi mkose hata ya mlo mmoja,dawa nazo mahosptalini hamna huku mkizugwa wazee,watoto matibabu bure.,Ngoma inogile 'hata ukinunua dawa ukameza huku msosi huna tayari ni sumu'.,ama kweli titakufa paka tiishe wote.
Si utani timepatikana.........
View attachment 427976
Kwao siasa vyuoni ruksa.,dah!Mweh kazi ipo nasikia na huko chuoni UVCCM wanazunguka kuandikisha wana ccm waliokosa mkopa
Halafu sijui kwa nini asilimia kubwa ya wanaoteseka ni mashabiki wa hicho chama. Njaa haina mjombaUzma na unafuu wa maisha upo kweny fulana yake