Hivi zile gari za formula one zinavyokimbia vile kumbe engine yake ni 1.6 liter kama i.s.t..Sipati Picha 1.6-liter turbocharged V6 zitakavyokua zinaunguruma Kigali.
View attachment 3690684
Kagame smart sana. Tokea 2024 alivohost FIA Awards, nikajua tu. View attachment 3690687
Rally iliyofanyika Kenya ilikuwa live DStv, alafu ilikuwa kwenye mbuga ya wanyama ni utalii ToshaKenya wapo na WRC Safari Rally. Sisi tungekomaa na Safari Rally kwanza. Zamani ilikuwa inafanyika Nchi zote 3 za East Africa, gari za Rally zilikuwa zinatoka Kenya wanakuja Arusha,Tanga,Morogoro,Iringa na Mbeya.
Mpaka wazungu wakakubali East Africa Safari Rally ni Rally ngumu kuzidi Dakar Rally
Big turbo,electric charge,lightweight. Ina kama kilo 700 hivi na vikorpkoro vingi vinavyosaidia aerodynamics advantages.Hivi zile gari za formula one zinavyokimbia vile kumbe engine yake ni 1.6 liter kama i.s.t..
Hapo nimekusoma...Big turbo,electric charge,lightweight. Ina kama kilo 700 hivi na vikorpkoro vingi vinavyosaidia aerodynamics advantages.
Hapo nyama zitabondwa sio poa. KAGAME ANAJUA ANACHOTAKASipati Picha 1.6-liter turbocharged V6 zitakavyokua zinaunguruma Kigali.
View attachment 3690684
Kagame smart sana. Tokea 2024 alivohost FIA Awards, nikajua tu. View attachment 3690687
Nilikuwa nafuatilia hizo gari za formula 1 baada ya kushangaa how ile speed yote halafu engine ni 1.6 liter, sasa katika kuangalia wataalamu mbali mbali nilisikia hio point ya aerodynamic, kwamba haina ukinzani mkubwa na upepo hivyo inaweza penya vyema kwenye upepo pasipo kutumia nguvu nyingi...Big turbo,electric charge,lightweight. Ina kama kilo 700 hivi na vikorpkoro vingi vinavyosaidia aerodynamics advantages.
F1 cars zina regulations. Spec za F1 car sio sawa na za Tesla roadster.Nilikuwa nafuatilia hizo gari za formula 1 baada ya kushangaa how ile speed yote halafu engine ni 1.6 liter, sasa katika kuangalia wataalamu mbali mbali nilisikia hio point ya aerodynamic, kwamba haina ukinzani mkubwa na upepo hivyo inaweza penya vyema kwenye upepo pasipo kutumia nguvu nyingi...
Akaelezea pia low center of gravity, kwamba hio gari hata katika speed kubwa sana inakata kona na haitelezi...
Lengo la kurudi hapa ni kwamba, nimeona tesla roadster, ile gari mpaka inaweza kukaa juu chini na chini juu... na inatembea...
Hii ina maana ile gari tesla roadster ikiwekwa na gari la formula one, nadhani ile tesla inaweza kupiga kona kali kwenye speed kubwa ambapo gari ya F1 itashindwa ...
Maana naona roadster inaweza kukamata ardhi vizuri zaidi kuliko F1....
Mad Max