Tuokoeni wafanyabiashara Bandari operations-internet blackout

masai dada

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
16,827
Reaction score
16,911
Tunaiomba serikali kwa mapana na mrefu…maamuzi yoyote yatakayochukuliwa yatizame madhara kwa short term na long term.

Kabla ya kufanya chochote kile lazima kiangalie je utatuzi huu hautaibua matatizo zaidi.
Chochote kitakachotokea huko mbeleni

Naiomba serikali isizime mtandao kwa gharama yoyote ile.
Kwa sababu nyingii sana
Ila moja ambayo ni kubwa ila sitaiongelea ni hosptal BIMA hazifanyi kazi bila mtandao

Ambalo naliongelea hapa ni kwamba safari hii wengine miti ya chrismas itafika january
Kwani ni wazi kampuni nyingi za meli kubwa za kuleta mzigo ukandaa huu zitasita port ya Dar es salaam. Kutokana na kile kilichotokea kuanzia jioni ya tarehe 29 Oct.

Na bado mambo hayajawa sawia
Mfumo wooote duniani wa meli ni kama utandobui umeunganishwa wooote. Kwa hiyo itilafu sehem moja inaathiri muunganiko wote.

Huu ndio msimu wa kuingiza mzigo kwa ajili ya mauzo ya mwisho wa mwaka.

Ila hatuja recover bado ile siku tano za mtandao kuzimwa…bado mizigo imejirundika haitoki hapo bandarini na mtandao umekua una sua sua

Ikishafika saa 12 jion mawasiliano yanakua magumu sana.
Kumbuka ile foleni ya siku tano bila kushusha na bila meli kuondoka ina madhara makubwa sana maana kila kitu kinafanywa timely.

Kurekebisha lile ni miezi ni tatizo dogo lakini ni kubwa sana
Naiomba serikali kwa chochote kitakachotokea huko mbeleni
Kuzima mtandao iwe ni swala la mwisho kabisa Tanzania.
Huu msimu ndio wakuziba magap ya mwaka mzima.

Mtatuua njaa wafanyabiashara
IMG_8866.png
 
Sio kwa "Silikali" hii....kikiwaka watazima Trust me.
 
View attachment 3507683
Imfikie waziri wa viwanda na biasharam ingawa siasa ina nguvu kuliko utalaamu, kwahiyo punguza matarajio makubwa.
 
Inasikitisha yaani watu wanapigania madaraka ya kuiba mali za umma kwa gharama yoyote ile hata kumwaga damu za maelfu ya raia.
Wewe unawaomba wasije kuzima mtandao unadhani watakuelewa.
Kati ya Kuzima mtandao na kubaki madarakani kwa nguvu unadhani kipi bora kwa upande wao
 
Usishambulie mtu
Shambulia mada
Umeshambuliwa au umeulizwa swali.

Halafu si ni wewe ndie ulifungua uzi kwamba umezidiwa nyege hadi ukataka ubake kavulana ka watu? Toka lini mfanyabiashara ana nyege kama hizo, ww ni wa mchongo tu, njoo uniuzie nyapu labda ndo biashara yako ila mambo ya bandarini yaachie wenyewe, sio level zako hizo na hujui chcht kuhusu huko.
 
Oya punguza...
 
Akikisha una backup plan. Linapokuja suala la kulinda madaraka serikali dhalimu za Afrika zipo tayari kufanya chochote, hata kuitumbukiza nchi shimoni kama hiyo ndio karata yao ya mwisho.
 
Back
Top Bottom