TUNU PINDA: Profile

ni utovu wa nidham tu hakuna kitu hapo ,, sasa cv ya huyu mama inatuhusu nini sisi,, wekeni na za watu wanao wahusu, kama wake zenu,, mama zenu,, na kaka, wajomba kila mtu hapa aweke cv ya mtu anaemhusu,, utoto tu hakuna kingine
Inatuhusu Ndugu. Ulisikia Pinda akisema juzi Bungeni kuwa katika ile milioni 6 na huyu Mama yumo kwa kuitwa tu Tunu Pinda!
 
Kuna possibility kuwa Pinda anaweza kuja kuwa rais in 2015 sasa wanasema kuwa behind every greatman there's an outstanding woman
 
First Name kabla hajaolewa ndio hilo la sasa la Tunu, na baada ya kuolewa alibadili dini kutoka uisilamu na kuwa mkatoliki, na akabatizwa kwa jina la Petronela



Ohhhhh kumbeeee

nimeipenda hii. Inaonekana she's a decisive woman na haoni tabu ku express her feelings and thoughts.

Hivyo Mama Pinda ni mtu ambaye anaweza kufanya MAAMUZI MAGUMU na hasa hilo la kubadili dini kumfuata ampendaye (Pinda)

Ki saikolojia kuna uwezekano kabila skuwa hashindwi kumshauri mumewe naye afanye maamuzi magumu

je naye ni HAJJAT?
 
ni utovu wa nidham tu hakuna kitu hapo ,, sasa cv ya huyu mama inatuhusu nini sisi,, wekeni na za watu wanao wahusu, kama wake zenu,, mama zenu,, na kaka, wajomba kila mtu hapa aweke cv ya mtu anaemhusu,, utoto tu hakuna kingine

anakula Tax payers money na anazunguka kwenye majukwaa ya siasa (sijaelewa kama nani) na anatoa directives

nadhani kwa kuwa ni public figure then kuna umuhim wa kumfaham na sioni ubaya wowote hapo
 
Weka picha mkuu

8.JPG
 
Pia ni msomi aliyebobea so CV siyo ya kuungani unganisha kama wakina ANNA MAKINDA

4.JPG
 
Mbona inasemekana mke wa kwanza wa Pinda alifariki na akaoa mdogo wa marehemu? How far is the truth?

La hasha kutokana na mtiririko wa thread hapo juu ni kwamba pinda ilipofika time ya kupewa cheo ilibidi watu wa kitengo maalum pale St Peter (TISS) wafanye juhudi za kumwozesha kwani alikuwa bachela

sasa katika hiyo shortlist kulikuwa na potential spouses 3

lakini wakatumia njia ya X-Factor akashinda huyo Tunu....lakini kukawa na tatizo ambalo Mtoto wa Mkulima aliliweka wazi kuwa hawezi oa mtu ambaye si wa dini yake....(Proof kuwa Pinda naye ana msimamo ) na huyu bibie kuona kuwa alaaaa kumbe kuna ulaji na dini yake ya kiislam akaachana nayo tena kwa maulid (hilo la maulid sina uhakika nalo)

Lakini kuna maneno kuwa huyu Bi Tunu alikuwa ni devout Muslim na aliwahi kuhiji ndio maana jina lake kule Tabata Ni HAJJAT (sema sina hakika kma wanamwita Hajjat nani au wanamwita BINTI ABDALLAH...kwa heshma ya baba yake0

Sasa kwa mtazamo wa ki saikolojia ni napata picha 2 nazo ni:

1. Mtoto wa Mkulima anao msimamo na anaweza kufanya maamuzi mazito kwa manufaa ya taifa lakini tatizo lake kwa miaka hii 2 iliyobaki hataki kuudhi mawaziri wengine

2. Binti Abdallah aka Bi Tunu aka HAJJAT ni very strong kimsimamo na hasa pale alipoamua kumfuata mumewe na kubadili dini (kwa mapenzi yake kwa mtoto wa mkulima na pia kwa kufuata ulaji...hata mie ningebadili dini)...hivyo basi HAJJAT na nguzo imara nyuma ya mtoto wa mkulima kwani aliweza kufanya maamuzi MAGUMU


labda kwa kuendelea kuufanya huu uzi unoge mimi nina maswali mawili ;

1. JE MTOTO WA MKULIMA ANAZO AMBITIONS ZA KUINGOZA NCHI HII IN 2015 (hata mie nikipata nafasi ya kuongoza watu milioni 45 na nijilie sikatai)


2. JE HAJJAT aka TUNU PINDA aka BINTI ABDALLAH alikuwa anaitwa nani kabla hajaolewa na Mtoto wa Mkulima?


na swali la mwisho la nyongeza....kwenye ile mipango ya ku connect the dots....kuna uwezekano kuwa HAJJAT alienda kuchukua degree yake kama preparation za kuwa First Lady in 2015?



JF.....where we dare talk openly when we are bored with real life
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom