Tungekuwa na viongozi wenye hekima, kusingekuwa na kukurupuka

Bashe ametoa kauli kwa niaba ya Somalia tulieni.
Labda ni hasira zake kwa nini chakula kinaletwa Tanzania, na ndugu zake huko Somalia hawapelekewi wakati wana matatizo makubwa kuliko ya Tanzania.
 
Labda ni hasira zake kwa nini chakula kinaletwa Tanzania, na ndugu zake huko Somalia hawapelekewi wakati wana matatizo makubwa kuliko ya Tanzania.
Alitaka Mchele ununuliwe Tanzania, lakini pia sio kwamba ni mzalendo,Bali alitaka auze wakwake alio lima.JIULIZE AMEKUWA NA HURUMA LINI KWA WALALAHOI MPAKA LEO AOGOPE MCHELE HUO WA MSAADA?
 
Kwa post hii ni dhahiri ng'ombe Mko wengi sana TZ. Kwa hiyo wewe uko tayari mtoto wako ale hayo machakula ya msaada yaliyoritubishwa Ambayo hatujaomba?
Hivi nikikuletea msaada pale home kwako wa chakula kama hicho Si utasema ni dharau Au wewe utakula? Bila shaka wewe ni Mgogo wa Dodoma njaa imekubana...Peleka huo ushenzi Kilimanjaro kama haujamwagwa mtoni ukiona
 
Back
Top Bottom