sawima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 5,752
- 8,951
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1787]jf dahUkiwa Mbinguni ni kama uko lockdown
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1787]jf dahUkiwa Mbinguni ni kama uko lockdown
Nimehakikisha hilo sababu naishi pekee yangu, hakuna mtu yeyote anaingia na kutoka katika maeneo yangu isipokuwa mimi.Utasemaje hayupo wa kuhamisha, umejihakikishia vipi kua Hakuna mazingira yanayoweza kukupa wewe ushahidi wa mtu/kitu kufanya jambo pasipo kuacha ushahidi mpaka ukahitimisha kua "hayupo wa kuamisha"?
Nimehakikisha hilo sababu naishi pekee yangu, hakuna mtu yeyote anaingia na kutoka katika maeneo yangu isipokuwa mimi.
Pili njia za usalama kama kamera za ulinzi (CCTV) zinathibitisha hakuna mwingiliano wa yeyote anaingia isipokuwa mimi katika maeneo yangu (3 Dimension World).
Inawezekana kuzi-configure tofauti! Lakini naamini hayupo aliyefanya hayo kwa upande wangu.
Kwa hesabu ya waliokufa ilivyo kubwa wala usingezaliwaEbu fikiria kwanza hivi kungekuwa na raha gani kama kusingekuwa na Kifo?
Yaani binadamu na wanyama wasingekuwa na mwisho (immortal), tungekuwa tunaishi milele na milele kungekuwa na maana gani.
Ukatwe kichwa, wakupige mpaka uchakae, ugongwe na gari, ulipuliwe na bomu, upigwe risasi lakini hakuna kifo unajiunda na kujirudi upya.
Je, ugaidi ungekuwepo kweli? Wakujitoa muhanga wangekuwepo kweli?
Je, duniani tungekuwa tunaishi vipi?
CC Zero IQ
Kwa nini nisingekuwepo mkuu, Hesabu ya waliokufa ni ndogo kuliko hesabu ya walio haiKwa hesabu ya waliokufa ilivyo kubwa wala usingezaliwa
Jr[emoji769]
We unaweza ukaona ni ajabu lakini kwa upande wa pili ikawa kinyume chake kulingana na malengo yake.Inawezekana kuzi-configure tofauti! Lakini naamini hayupo aliyefanya hayo kwa upande wangu.
Na itakuwa ajabu ajabu mtu kufanya hivyo kusudi ahamishe tortillas au glass ya maziwa yangu.
Nimefanya uchunguzi hadi kufikia hatua ya kugundua haya yote. Sio kwamba napatia kipaumbele bali ni uhalisia ambao umekuwa wazi kwangu.We unaweza ukaona ni ajabu lakini kwa upande wa pili ikawa kinyume chake kulingana na malengo yake.
Kwani hilo wazo la kuhisi kuna kiumbe kingine kitakua kimesababisha ulianzaje kulipa kipaumbele kama kweli unaona ni ajabu glass ya maziwa kuamishwa for no reason?
Huo ni mfano tu kuonesha namna nyingi ambazo zinaweza kufanyika ukakuta mpangilio wa vitu vyako umebadilika katika mazingira hayo pasipo wewe kusanuka kua mtu kafanya. Lengo langu ni kwamba jibu la "sijui" sometimes linakuweka katika uchunguzi ambao una wigo mpana
Ukweli ni.kwamba hakuna kifo.Ebu fikiria kwanza hivi kungekuwa na raha gani kama kusingekuwa na Kifo?
Yaani binadamu na wanyama wasingekuwa na mwisho (immortal), tungekuwa tunaishi milele na milele kungekuwa na maana gani.
Ukatwe kichwa, wakupige mpaka uchakae, ugongwe na gari, ulipuliwe na bomu, upigwe risasi lakini hakuna kifo unajiunda na kujirudi upya.
Je, ugaidi ungekuwepo kweli? Wakujitoa muhanga wangekuwepo kweli?
Je, duniani tungekuwa tunaishi vipi?
CC Zero IQ
3 dimension world ndio wapi huko?Pia inategemea upo dunia gani! 3 Dimension world ndio kifo hutokea muda wowote. Other world's inategemea pia.
Hiyo dunia unavyoiona, sehemu ulipo sasa ni 3 dimension world.3 dimension world ndio wapi huko?
Ebu fikiria kwanza hivi kungekuwa na raha gani kama kusingekuwa na Kifo?
Yaani binadamu na wanyama wasingekuwa na mwisho (immortal), tungekuwa tunaishi milele na milele kungekuwa na maana gani.
Ukatwe kichwa, wakupige mpaka uchakae, ugongwe na gari, ulipuliwe na bomu, upigwe risasi lakini hakuna kifo unajiunda na kujirudi upya.
Je, ugaidi ungekuwepo kweli? Wakujitoa muhanga wangekuwepo kweli?
Je, duniani tungekuwa tunaishi vipi?
CC Zero IQ
Naomba kujuzwa kwenye hili,je? Majini nayo yanazikana ardhini au wana maeneo yao.Anachokielezea ni kweli kabisa, ila kuna sehemu natofautiana nae, sababu hata ulimwengu wa kijini nao wanakufa na wanazikana kama sisi tu, na kinacho waua wao na siai ni hicho hicho.