Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 10,497
- 17,559
Jamaa yako ametuingiza chaka hapaHapa sijakuelewa kaka, kwamba hawafi halafu tena wanaweza kuuwawa hii ina maana gani ?
Watu walijuaje kama hao samaki hawafi ? Maana suala la kufa linategemeana na muda.