Ulipo hapo ufahamu upo 3 Dimension world (Ulimwengu huo ambao unamshika mtoto, unaelekea sokoni, unamuona Musk, kusikiliza muziki na mengineyo.) Lakini katika dunia hiyo hiyo ulipo kuna other dimensions (Niseme ni kama layer au bond fulani) Ukiwa umekaa katika kiti chako muda huo huo layer nyingine kupitia sehemu hiyo hiyo utakuwa kuna viumbe wapo katika fukwe, jangwa au wanatengeneza kitu hapo.
Kutokana na mwisho wa uwezo wa roho na upeo wako uwepo wako umefungwa kutokuona hayo na wale katika layer nyingine (Baadhi yao wamefungwa kutokuona utendayo wewe).
Ukiwa unaelekea sokoni, wakati huo huo katika ulimwengu mwingine (Layer) kuna viumbe unapishana navyo lakini hamuingiliani katika utendaji na maeneo yenu (Japo utokea katika nyakati tofauti).
Katika nyakati tofauti hali inapotokea either kiumbe mwingine amekuja katika layer yako, ikiwa nyumbani kwako katika layer yake ni karakana ya kiteknolojia basi hiyo glass ya maziwa itahamishwa kwa kufahamu au pasi ya kufahamu. Na hiyo inatokana na bond inayoweza kuwapo baina yenu.