isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,146
- 6,564
Zipo katika dunia hiyo uliyokuwapo na sio za kufikirika. Watu na viumbe vingine vingi na sehemu nyingine viumbe pungufu. Mnapishana kwa kutokuonana na baadhi ukuona.Hizi ziko wapi ni uhalisia au za kufikirika ? Kuna mtu yupo katika dunia hizi ?
Sijawahi kaka mkubwa.
Umewahi kuweka kitu sehemu na ukakuta kimehama pasi ya kuhamishwa na ukiwa na uhakika?