Tunduma: Mkutano wa CHADEMA mbunge Mhe. Mwakajoka akiongea na wananchi

Mtu akiwasikiliza nyie, anaweza kudhani chadema haina wanachama tena. Chama ni itikadi, viko mioyoni mwa watu. Si mlikuwa mnasema kimekufa? Na wengi wenu mtatumbuliwa kwa kumuongezea jiwe presha na kutafuna ela za walipa kodi kununua wanachadema.
Akitusikiliza vipi? Nyie si mmesema mikutano imezuiliwa..waacheni wasiojua matusi waongee na wapiga kura

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom