Tunduma: Mkutano wa CHADEMA mbunge Mhe. Mwakajoka akiongea na wananchi

Tunafurahi kuona hivi kila mmoja akisimama jimboni kwake kuongea na wapiga kura wake amani tu hakuna polisi wala virungu!
 
Tunafurahi kuona hivi kila mmoja akisimama jimboni kwake kuongea na wapiga kura wake amani tu hakuna polisi wala virungu!

Nae si aende kwao chato mbona yupo kwa wazaramo DSM magogoni

Pathetic, mnavuruga umoja wakitaifa wajinga nyie.
 
Back
Top Bottom