Tunduma: Mkutano wa CHADEMA mbunge Mhe. Mwakajoka akiongea na wananchi

Na hiyo ni nyomi wakati huu ambao bado woga umetamalaki. Ukimya siyo sababu. This time muwaachie wananchi wachague viongozi wanaowataka.
Mkuu kile kitambulisho cha Rais kinachangia chuki kubwa sana dhidi ya serikali.

Maana watendaji hawaangalii nini unafanya mtaji wako ni upi shida yao ni elfu 20.

Hili ni kaburi lingine la ccm kwenye siasa za ushindani.
 
Huyo ni mbunge jimboni kwake.!

Halafu ukiangalia hiyo picha wengi ni wanawake, bila shaka ile kengele ya Rais imechangia maana wao ndio waathirika wakubwa.
Unaijua kengele ya rais wewe? Unaijua kengele? Acha kumtukana jiwe. kengele ya jiwe anaijua mke wake tu.
 
Back
Top Bottom