Uchaguzi 2020 Tunduma hatutaki maji yenu! Kura zetu ni CHADEMA!

kuna sehem hii nchi utaenda utakosa ofisi ya ccm? na ofisi za maaaana sio zile zenu za makuti
Kama ipi mliyojenga nyie wezi? Ofisi zimejengwa na wanachi wote chini ya chama kimoja na mmezipora. Ipo siku zitarudi serikalini. Nioneshe ofisi moja iliyojengwa na ccm baada ya 1992
 
Kwani ilani ya wapinzani ndio ya ccm??
Mkuu rudi darasani ukasome somo la uraia.
Chama kitawalacho ndio ilani inatumika. Na ilani inagusa maeneo mengi mojawapo ni maji.
Wananchi wanatishiwa nyau sababu hicho wanachotishiwa kipo ndani ya ilani ya ssm. Ni vitisho tu ambavyo ni vya kipuuzi lkn si afya kwa mustakabali wa maendeleo na democracy kwa ujumla wake.
 
Unajua James Delicious alishtakiwa na kuhukumiwa kwa kosa gani we kilaza??? Hujajibu alafu unaleta tantalila hapa!!

Video za ngono za Amber Rutty aliezipost mtandaoni ni James Delicious kwa iyo alishtakiwa kwa kosa la ku post zile videos na amehukumiwa kwa hilo.

Wadanganye hao misukule wako wa Lumumba huko. Tanzania hakuna mtu aliyewai kukamatwa, kushtakiwa na kuhukumiwa kwa ushoga. Haijawai tokea never
Umehamisha magoli tu wewe pimbi. Hoja yangu kubwa ni kwamba ushoga upo Tanzania muda sawa na CCM ilivyo madarakani. Na hautaletwa kwa CHADEMA kuingia madarakani hapo October 2020
 
SEMA WEWE NA FAMILIA YAKO MNAOSHINDA NA KULALA HUKO VIJIWENI. LAKINI SISI WENYEFAMILIA NA TAASISI HAPA TUNDUMA, KURA ZETU NI CCM KWAKUWA MAJI NI MUHIMU SAANA.
Sasa hivi unatumia maji ya kutoka wapi?
Kwa taarifa yako wafanyabiashara wakubwa kwa kushirikiana na mbunge na uongozi wa cdm walishatoboa maji ya visima virefu ,watu wasio na uwezo wa kuchimba vyao wanapata maji huko kwa bei rahisi saaana .
Pili kimradi chao Cha maji kupitia Ruwasa hakitoi maji licha ya mwenge na makamu wa rais kuzindua,ccm buree kabisa na kura za Tunduma msahau, hospital mumejenga lakini kura sahauni huduma kwetu sio fadhila
 
Mkuu acha kupotosha umma wanaohangaika kwa ukosefu wa maji na akina mama wanao amuka sa8 za usiku kwenda kuteka maji siyo wewe mhuni unaeamkia vijiweni kupiga porojo.

Acha wananchi Tuchague maendeleo hivyo vyama vyenu msituhusishe navyo.
Tunduma sio simanjiro au kiteto huku sio jangwa hakuna shida ya maji maana visima virefu vimejaa kila kona vya watu binafsi
Ambacho hakipo ni maji ya serikali tu lakini mji umejengeka maji yametoka wapi?
 
Habari wangu?
Hivyi ulisikia wapi, Mtu anaomba kura kwa vitisho?? Wanatunduma wameishi miaka 60 bila Maji alafu Leo wanatishwa eti wasipomchagua silinde, hawatapata Maji! Who is silinde by the way????? Sisi ni watu wazima, huwezi kutupangia cha kufanya, ww subiri tu tarehe 28!!
Afterall upo dar unawasemea wanatunduma,pathetic
 
Sasa hivi unatumia maji ya kutoka wapi?
Kwa taarifa yako wafanyabiashara wakubwa kwa kushirikiana na mbunge na uongozi wa cdm walishatoboa maji ya visima virefu ,watu wasio na uwezo wa kuchimba vyao wanapata maji huko kwa bei rahisi saaana .
Pili kimradi chao Cha maji kupitia Ruwasa hakitoi maji licha ya mwenge na makamu wa rais kuzindua,ccm buree kabisa na kura za Tunduma msahau, hospital mumejenga lakini kura sahauni huduma kwetu sio fadhila
Umekiiita kimuradi kwakuwa wewe unauwezo wa kuchimba kisima cha milioni 15. Ila sisi huu mradi wa kutoka Victoria ni msaada saanaa. Namajiii hayo tutayatumia saaanaa. Na hivyo visima na wafanyabiashara wenzio mumevichimba wapiii na sisi tujee kuchota?? ACHA KUBWABWAJA UONGO HAPAA.
 
Kwa nini hamkupeleka maji kwa miaka 60 iliyopita tangu tupate uhuru leo mje na vitisho kwa wapiga kura?
Kwanini Chadema haijajenga ofisi ya makao makuu tangu imeanzishwa na kushiriki uchaguzi zaidi ya miaka 25 iliyopita
 
Kama hawezi badili kwako mwanasiasa kitu basi kwako unavyomng'ania Lisu angalau anaweza akabadili hata condomu endelea mjinga.sisi huku mambo moto na Magu wetu haturudi nyuma na majirani wameanza kutuogopa
Mbona unaongea kama bwabwa?
 
Miaka yote alikuwa yeye? Ndio mjiulize mmekosea wapi? Kabla ya kutoa lawama
Kama hakua yeye kwa Nini saizi aone yeye ndo analo jukumu la kuleta maji,..unafiki tu huo kwani yeye ni chadema? Si ccm hao hao wa tangu Uhuru
 
Watanzania bado tunachangamoto ya kujua kwamba Nguvu kubwa ya kuleta maendeleo ipo kwetu wanainchi. Viongozi tunaowachagua wakijua hilo hawatatuchezea hata siku moja kwani tutawawajibisha kwenye kura tutakazowapigia
 
Habari wangu?
Hivyi ulisikia wapi, Mtu anaomba kura kwa vitisho?? Wanatunduma wameishi miaka 60 bila Maji alafu Leo wanatishwa eti wasipomchagua silinde, hawatapata Maji! Who is silinde by the way????? Sisi ni watu wazima, huwezi kutupangia cha kufanya, ww subiri tu tarehe 28!!
Hahaha eti Magufuli hashindi!
Loooo Subili nani ataapishwa ndo utajua.
CCM tunaipa kura Rais wabunge na madiwani.
Najua mnafahamu mtakapo ishia. Maana munashindwa kabisa kabisa.
 
.
Hamna binadamu anaeishi asiependa maji otherwise Kama hao watu wa mbeya unaowazungumzia wewe ni Mazombi.
Najua maji Ni muhimu.. ila nilichosema Ni kuwa watu wanaojitambua hawawezi kushikiwa akili sabb ya maji au chochote
 
Back
Top Bottom