Tundu lisu yuko zake jimboni kwake wengine wanatokwa n'a mapovu

huyu jamaa ni hatari nadhani ni mtu anayeongoza kwa kutajwa tajwa hapa nchini kuliko mtanzania yeyote
Hatari kwa usalama wa taifa letu. Ni mtu wa kuogopwa kama ukoma. Mtu anayepokea rushwa na kutumika kama tisu! !Mchonganishi, mpotoshaji, mnafiki, mlarushwa, mzushi na mnyonyaji mkubwa
 
Huo upinde wamenikumbusha sana enzi za utotoni.
Niliwahi kumchapa mwenzangu mshale pembeni mwa jicho kwemye mchezo fulani wa kiutani
 
Ndugu yangu naona unataka mwenzako afukuzwe chama na mzee wa totoz siyo?

Wewe endelea mzee wa totoz hapend kuona mtu ndan ya chama ni maruufu zaid yake

Unataka mwenzako aundiwe zengwe afukuzwe chama sijui ndo utafurah
Nyapuuu!!!!
Kule mahomu hiyo jina yako ni govi
 
[HASHTAG]#RipotiYaKwanza[/HASHTAG]

Lissu: Tusihangaike na udongo, tuhangaike na mikataba na sheria mbovu za madini zilizotufikisha hapa. Tuangalie tulipojikwaa, tusiangalie tulipoangukia.

CCM: Lissu analinda wezi. Mikataba na sheria za madini hazina shida. Shida ipo kwenye udongo wenye makinikia. Tumeibiwa sana kwenye udongo. Hatukubali.

[HASHTAG]#RipotiYaPili[/HASHTAG]

JPM: Tumelogwa na nani? Watanzania tumeibiwa sana. Naagiza mikataba yote na sheria zote za madini zipitiwe upya.

CCM: Rais wetu mzalendo. Amefanya kazi kubwa sana. Tumuombee.!!

[HASHTAG]#MyTake[/HASHTAG]:
Lugha ileile aliyoongea Lissu akaambiwa amehongwa, ndiyo aliyoongea JPM leo akaitwa mzalendo. Akili za CCM kama kifurushi cha jaza ujazwe .!
 
Hizo ndio akili za walumumba, ambazo huwezi kuzipata sehemu yoyote duniani isipokuwa Tz tu.
 
[HASHTAG]#RipotiYaKwanza[/HASHTAG]

Lissu: Tusihangaike na udongo, tuhangaike na mikataba na sheria mbovu za madini zilizotufikisha hapa. Tuangalie tulipojikwaa, tusiangalie tulipoangukia.

CCM: Lissu analinda wezi. Mikataba na sheria za madini hazina shida. Shida ipo kwenye udongo wenye makinikia. Tumeibiwa sana kwenye udongo. Hatukubali.

[HASHTAG]#RipotiYaPili[/HASHTAG]

JPM: Tumelogwa na nani? Watanzania tumeibiwa sana. Naagiza mikataba yote na sheria zote za madini zipitiwe upya.

CCM: Rais wetu mzalendo. Amefanya kazi kubwa sana. Tumuombee.!!

[HASHTAG]#MyTake[/HASHTAG]:
Lugha ileile aliyoongea Lissu akaambiwa amehongwa, ndiyo aliyoongea JPM leo akaitwa mzalendo. Akili za CCM kama kifurushi cha jaza ujazwe .!
Hahahaaaa nimecheka sana
 
Hatari kwa usalama wa taifa letu. Ni mtu wa kuogopwa kama ukoma. Mtu anayepokea rushwa na kutumika kama tisu! !Mchonganishi, mpotoshaji, mnafiki, mlarushwa, mzushi na mnyonyaji mkubwa
Kuliko kupitisha mikataba kwa dharula na kuitikia ndiooooo idiot
 
Back
Top Bottom