Tundu Lissu yuko sahihi kumpongeza Magufuli kwa Sababu Adam aliumbwa Ili aitunze Bustani na alipozubaa Shetani aliingia na kuiba Funguo!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,104
Nimemsikia Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu akisema Shujaa Magufuli alifanya Uovu mwingi lakini hakuuza rasilimali za Nchi

Nitumie Sabato Hii kumkumbusha tu Tundu Lisu kwamba Adam aliumbwa na Mungu wa mbinguni Ili aitunze Bustani

Kwahiyo Magufuli kutunza Bustani ni wajibu wake wa asili kwa kuumbwa kwake

Nawatakia Sabato Njema 😄
 
Sabato njema 🙏🙏
 
Ila Lissu ni mwamba alipokuwa Chato hakumung'unya maneno kuusema ubaya wa mzilankende mbele ya ndugu zake.Inatakiwa uwe moyo mgumu na wa ujasiri kumsema vibaya Magu huko kwao .Ila Lissu alidiriki na aliweza tofauti na machawa walivyotegemea kwamba angeishia kumsifu tu ili kuwafurahisha wanachato
Iko tofauti kubwa Kati ya kumsema Vibaya na kuusema Ukweli!
 
Ila Lissu ni mwamba alipokuwa Chato hakumung'unya maneno kuusema ubaya wa mzilankende mbele ya ndugu zake.Inatakiwa uwe moyo mgumu na wa ujasiri kumsema vibaya Magu huko kwao .Ila Lissu alidiriki na aliweza tofauti na machawa walivyotegemea kwamba angeishia kumsifu tu ili kuwafurahisha wanachato
Jamaa ni noma

Sent from my Infinix X6516 using JamiiForums mobile app
 
Ujumbe wa umuhimu wa Katiba mpya katika operashani +255 ni kuwajibisha viongozi wasitumie vibaya madaraka yao wakiwa ofisini mfano kwa kupuuza katiba na sheria, kujipendelea, kuuza mali ya umma bila wananchi kushirikishwa, kugandamiza kupitia mbiyo wa madaraka yao kushurutisha mfumo wa haki jinai usitoe haki n.k

Mfano nchini Pakistani ripoti mpya zimeingiia JamiiForums zinasema kuwa aliyekuwa waziri mkuu ahukumiwa jela ....

5 Oktoba 2023
Lahore, Pakistan

Waziri mkuu afungwa jela kwa kuuza zawadi za taifa

1691231122260.png

Picha toka maktaba Khan akisaini hati za kuomba dhamana / bond aliposhitakiwa

Na Salman Masood
Inaripoti kutoka Islamabad, Pakistan

Tarehe 5 Agosti 2023, 5:47 a.m. ET
Waziri Mkuu wa zamani Imran Khan alikamatwa siku ya Jumamosi baada ya mahakama ya mwanzo kumhukumu kifungo cha miaka mitatu jela, hukumu ambayo kuna uwezekano mkubwa ikamaliza nafasi yake ya kushiriki katika uchaguzi mkuu ujao.

Bw. Khan aliwekwa chini ya ulinzi na polisi kutoka nyumbani kwake katika mji wa mashariki wa Lahore mara baada ya uamuzi wa mahakama kutangazwa mjini Islamabad.

Alipatikana na hatia ya kuficha mali baada ya kuuza zawadi za serikali kinyume cha sheria.

"Madai dhidi ya Bw. Khan yamethibitishwa," alisema Humayun Dilawar, jaji aliyetangaza uamuzi huo katika Islamabad, mji mkuu wa Pakistan. Mahakama pia ilimtoza faini ya karibu $355.

Kesi hiyo inahusiana na uchunguzi wa tume ya uchaguzi ya nchi hiyo, ambayo ilipata Oktoba mwaka jana 2022 kwamba Bw. Khan alikuwa ameuza kinyume cha sheria zawadi alizopewa na nchi nyingine alipokuwa waziri mkuu na kuficha faida kutoka kwa mamlaka.

Bw. Khan amekana kufanya makosa yoyote.

Yeye na mawakili wake walikuwa wamemshtaki hakimu huyo kwa upendeleo na walitaka kesi hiyo ihamishwe kwa hakimu mwingine. Upande wa bw. Khan
wana uwezekano wa kukata rufaa kwa kufuatana na haki hiyo kikatiba pia kisheria dhidi ya hukumu hiyo.
 
JPM kuikunjua nchi iliyokuwa imepinda ni uhalifu? Ukikaa sehemu yenye mkunjo usipoondoka utakunjuliwa humo humo, hayo ndio maendeleo. RIP.
 
Kumbe lissu akienda chato? Vile vitisho vya uvccm viliyeyuka? Sikuwa mjini kwenye network!
Wassira na mbunge Msukuma walijaribu kutuma wahalifu wao wakachoma gari la Chadema moto, utafikiri Wana hatimiliki ya Chato, utafikiri wanayo mamlaka ya kuzuia nani asiende Chato na nani aende. Wote Wassira na mbunge Msukuma waliufyata.
 
Back
Top Bottom