Prof. Ndakidemi Agawa Majiko ya Gesi Jimboni Kwake

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,903
945

MHE. PATRICK NDAKIDEMI, MBUNGE AGAWA GESI JIMBONI KWAKE.

Mbunge wa Jimbo la Moshi Vijijini Mhe. Prof Patrick Ndakidemi leo tarehe 06.03.2024 aliwaalikaa Viongozi wa Matawi wa Chama cha Mapinduzi CCM(Wenyeviti wa Matawi, Makatibu wa Matawi na Wenezi wa Matawi) wote katika Jimbo la Moshi Vijijini katika ukumbi wa CCM Mkoa ambapo aliwakabidhi Mitungi ya Gesi kwaajili matumizi ya nyumbani ikiwa ni pamoja na kuwapa Elimu juu matumizi yake na umuhimu wa kutumia gesi.

Hafla hiyo ilihudhuriwa na Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya akiwemo Kaimu Katibu wa CCM Wilaya ya Moshi Vijijini Ndg. Andrew Mwandu,Katibu wa UVCCM Wilaya ya Moshi Vijijini Ndg. Pantaleo Melkiory pamoja na Mjumbe wa H/Kuu ya CCM Wilaya &, Mjumbe wa Baraza la Jumuiya ya Wazazi Mkoa Ndg. Emanuel Mlaki.

Akizungumza katika hafla hiyo fupi Mhe Mbunge aliwaeleza mambo mbali mbali yaliyofanywa na Serikali yao Rais wetu Mpendwa Mhe Dkt Samia Suluh Hassan katika kila Kata ndani ya Jimbo la Moshi Vijijini na hivyo kuwataka viongozi hao kuendelea kusemea mazuri yaliyofanywa na Serikali pamoja na Viongozi wengine.

Aidha, Viongozi hao kwa nyakati tofauti wamemshukuru sana Mhe Mbunge kwa kuwakumbuka kwani hawajawahi kukumbukwa kwa kipindi kirefu na kumuhaidi wataendelea kumpa ushirikiano na kumuunga mkono ili maendeleo katika Jimbo la Moshi Vijijini yaendelee kuja kasi na Viwango.

KAZI INAENDELEA MOSHI VIJIJINI!!!!!!.

CCM.. HOYEEEE!!!!!!!.
WhatsApp Image 2024-03-06 at 22.40.42.jpeg
WhatsApp Image 2024-03-06 at 22.40.46(1).jpeg
WhatsApp Image 2024-03-06 at 22.40.42(1).jpeg
WhatsApp Image 2024-03-06 at 22.40.43.jpeg
WhatsApp Image 2024-03-06 at 22.40.43(1).jpeg
WhatsApp Image 2024-03-06 at 22.40.44.jpeg
WhatsApp Image 2024-03-06 at 22.40.45(1).jpeg
 
MHE. PATRICK NDAKIDEMI, MBUNGE AGAWA GESI JIMBONI KWAKE.

Mbunge wa Jimbo la Moshi Vijijini Mhe. Prof Patrick Ndakidemi leo tarehe 06.03.2024 aliwaalikaa Viongozi wa Matawi wa Chama cha Mapinduzi CCM(Wenyeviti wa Matawi, Makatibu wa Matawi na Wenezi wa Matawi) wote katika Jimbo la Moshi Vijijini katika ukumbi wa CCM Mkoa ambapo aliwakabidhi Mitungi ya Gesi kwaajili matumizi ya nyumbani ikiwa ni pamoja na kuwapa Elimu juu matumizi yake na umuhimu wa kutumia gesi.

Hafla hiyo ilihudhuriwa na Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya akiwemo Kaimu Katibu wa CCM Wilaya ya Moshi Vijijini Ndg. Andrew Mwandu,Katibu wa UVCCM Wilaya ya Moshi Vijijini Ndg. Pantaleo Melkiory pamoja na Mjumbe wa H/Kuu ya CCM Wilaya &, Mjumbe wa Baraza la Jumuiya ya Wazazi Mkoa Ndg. Emanuel Mlaki.

Akizungumza katika hafla hiyo fupi Mhe Mbunge aliwaeleza mambo mbali mbali yaliyofanywa na Serikali yao Rais wetu Mpendwa Mhe Dkt Samia Suluh Hassan katika kila Kata ndani ya Jimbo la Moshi Vijijini na hivyo kuwataka viongozi hao kuendelea kusemea mazuri yaliyofanywa na Serikali pamoja na Viongozi wengine.

Aidha, Viongozi hao kwa nyakati tofauti wamemshukuru sana Mhe Mbunge kwa kuwakumbuka kwani hawajawahi kukumbukwa kwa kipindi kirefu na kumuhaidi wataendelea kumpa ushirikiano na kumuunga mkono ili maendeleo katika Jimbo la Moshi Vijijini yaendelee kuja kasi na Viwango.

KAZI INAENDELEA MOSHI VIJIJINI!!!!!!.

CCM.. HOYEEEE!!!!!!!.
Jiko....Umoja
Meko ....Wingi.

Hakuna kitu kinaitwa majiko,majiwe,majino,nk
Badilikeni.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom