Tundu Lisu, treni ishaondoka, pole sana!

Sikilizeni enyi MaCCM machumia tumbo na majambazi mnaoikoroga hii nchi mara hivi mara vile...listen to me you wind bags...

2. Updates za ACACIA, ambao hadi sasa wameomba report hiyo ya Mapropesa wa CCM na Sizonje amejificha nayo akiogopa kuwapa, zinaonesha kuwa kiasi cha gold/copper concetrates kilichotangazwa na akina Mruma chini ya Uenyekiti wa Magu mwenyewe is pure farce...wanasema kama kweli hayo makontena yana dhahabu kubwa vile basi hakika Tanzania would be the no.1 gold producer in the world...this is not the case and it will never be the case

Kwa hiyo unamuamini Muzungu klk Mtanzania? Ni kipi kinakwambia kwamba anachosema Muzungu ndiyo sawa? Ndiyo matatizo ya kupoteza muda Shuleni kusomea Utamaduni wa Muingereza (English Commonlaw) matokeo yake mnakuwa hamna akili kwa maana mnajifunza Lugha tu lkn logic ni zero, kama Kiingereza hata Mange Kimambi anakijua kumbe ndiyo maana Tundu Lisu na Kimambi wanelewana, zero logic!!
 
Haifiki mwisho hiyo treni yenu sisi yetu Macho
 
Najua inakuuma sana lkn ndiyo hivyo raisi wetu Magufuli ameshamaliza kila kitu Nchi nzima na Afrika nzima inamuona Mzalendo mwenye uthubutu wa hali ya juu, hivyo kwa hili umeshachelewa, treni ilishaenda, nakusahuri uingie gym tu kutoa mawazo na stress labda itakusaidia, ...
Pia treni ilikuwa imeshaenda kwenye samaki wa magufuli,ilivyorudi tukalipishwa fidia ya samaki na meli Mpya!
 
Najua inakuuma sana lkn ndiyo hivyo raisi wetu Magufuli ameshamaliza kila kitu Nchi nzima na Afrika nzima inamuona Mzalendo mwenye uthubutu wa hali ya juu, hivyo kwa hili umeshachelewa, treni ilishaenda, nakusahuri uingie gym tu kutoa mawazo na stress labda itakusaidia, ...
Nyie mnaoshabikia lolote kuhusu utawala mmerogwa au hamnazo. Lisu kswaonyesha palipo na tatizo (mikataba & sheria za madini) Lakini nyinyi mmekazana kumtukana bila kupinga hoja yake kwa hoja.

Hatutawashinda wazungu kwa kushabikia uchawi wa Mkapa, Chenge na Kikwete. Bali tutafute namna ya kuliokoa taifa.
 
Tundu Lisu ni retarded sasa unawezaje kumsilikiza mtu kama huyo, huyu huyu alimponda fisadi lowasa baadaye akaja pia kumtetea, sasa Binadamu mtupu kama huyu unamuweka kundi gani?
 
Hakika hawana aibu hawa mabwana ndiyooooo.Wamesahau kuwa ndio ambao walipitisha sheria kwa mbwembwe na kejeli kwa wapinzani sasa wanaendeleza tena ndiyo mzee.
 
Kwa hiyo unamuamini Muzungu klk Mtanzania? Ni kipi kinakwambia kwamba anachosema Muzungu ndiyo sawa? Ndiyo matatizo ya kupoteza muda Shuleni kusomea Utamaduni wa Muingereza (English Commonlaw) matokeo yake mnakuwa hamna akili kwa maana mnajifunza Lugha tu lkn logic ni zero, kama Kiingereza hata Mange Kimambi anakijua kumbe ndiyo maana Tundu Lisu na Kimambi wanelewana, zero logic!!
Najiuliza kitu na sipati picha.
Hivi nyie maccm kipind mnasaini hiyo mikataba mlikuwa mnasainia mi..ku..nduni au?
Siwezi kushangilia report ya madini sbb nyie ndiyo mlisaini.
Mnabidi mtuombe msamaha ss watanzania wote kwa kusaini mikataba feki.
Mikataba msaini nyie halafu ni shangilie kwa lipi? Anachokifanya Magufuli hakuna kitu. Ni sawa na ww unye juu ya meza hala wakudadavua aje asafishe.
Mtuombe radhi watanzania wote. Eti tulikuwa tunaibiwa. Upumbaf..,u sana, nyie si mlisaini au kilisaini chama kingine?
Fao la kujitoa melamba mpaka increment. Shubamitii ww
 
Wapinzani uchwaraaaaaaaa.........only tz, mpinzani hana mipango zaidi ya kusubiri bit atunge nyimbo,
 
Najua inakuuma sana lkn ndiyo hivyo raisi wetu Magufuli ameshamaliza kila kitu Nchi nzima na Afrika nzima inamuona Mzalendo mwenye uthubutu wa hali ya juu, hivyo kwa hili umeshachelewa, treni ilishaenda, nakusahuri uingie gym tu kutoa mawazo na stress labda itakusaidia, ...

Umehakiki cheti chako cha kidato cha nne kujua ulifaulu vipi kwenye URAIA (civics educationa)? Mimi niliosoma enzi zile za 'political educaton'.
 
Najiuliza kitu na sipati picha.
Hivi nyie maccm kipind mnasaini hiyo mikataba mlikuwa mnasainia mi..ku..nduni au?
Siwezi kushangilia report ya madini sbb nyie ndiyo mlisaini.
Mnabidi mtuombe msamaha ss watanzania wote kwa kusaini mikataba feki.
Mikataba msaini nyie halafu ni shangilie kwa lipi? Anachokifanya Magufuli hakuna kitu. Ni sawa na ww unye juu ya meza hala wakudadavua aje asafishe.
Mtuombe radhi watanzania wote. Eti tulikuwa tunaibiwa. Upumbaf..,u sana, nyie si mlisaini au kilisaini chama kingine?
Fao la kujitoa melamba mpaka increment. Shubamitii ww

Pole sana, lkn Watanzania ndiyo hivyo tena tuko na Raisi wetu, kama vipi unaweza kujitundika tu kwa maana nchi yote sasa tumeungana na tunamfuata ya Raisi wetu!
 
tatizo la lisu ni wivu wa kike. anataka yeye ndo abebe sifa. Jambo ambalo anashindwa kuelewa ni kuwa kama Magufuli angepiga kelele kabla ya kukabidhiwa rungu leo hii angekuwa mpinzani bila hata jimbo.
Soma vizuri maneno ya Lissu pengine hujamuelewa
 
Tusaini mikataba mibovuu..,NDIYOOOOOO
Halafu sasa hivi yanasema ndiyo huku yanakata kiuno.
Hili li chama la majambazi
 
Pole sana, lkn Watanzania ndiyo hivyo tena tuko na Raisi wetu, kama vipi unaweza kujitundika tu kwa maana nchi yote sasa tumeungana na tunamfuata ya Raisi wetu!
Ww ndiyo umejiunga kumfuata huyo mwenyekiti wako.
Usiongelee nafsi za watu.
Siwezi kuungana na kichaa asiye jua uchungu wa watu.
Mefuta ajira
helsb 15%
no fao la kujitoa
no increment
n.k
hakika kwa akili zenu, upinzani hamuwezi kuutokomeza hata km mbane vp. Mm mwenyew nilikuwa ccm, ila kwa ujinga wa ccm nikahamia CHADEMA kwa roho nyeupe.
 
Najiuliza kitu na sipati picha.
Hivi nyie maccm kipind mnasaini hiyo mikataba mlikuwa mnasainia mi..ku..nduni au?
Siwezi kushangilia report ya madini sbb nyie ndiyo mlisaini.
Mnabidi mtuombe msamaha ss watanzania wote kwa kusaini mikataba feki.
Mikataba msaini nyie halafu ni shangilie kwa lipi? Anachokifanya Magufuli hakuna kitu. Ni sawa na ww unye juu ya meza hala wakudadavua aje asafishe.
Mtuombe radhi watanzania wote. Eti tulikuwa tunaibiwa. Upumbaf..,u sana, nyie si mlisaini au kilisaini chama kingine?
Fao la kujitoa melamba mpaka increment. Shubamitii ww
Ngosha lekaka kuyomba shaminara wamwise
 
Back
Top Bottom