Kizimkazimkuu
JF-Expert Member
- Nov 8, 2007
- 337
- 234
Ilihitajika hapo? Maana wengine wanaenda na laptop kama fashion hata kama haina kazi hapo!Utakuta watu mnaendelea na kikao,mwingine yuko Jf au Facebook anachat! au anafanya kazi yake nyingine tu. Hata hivo hilo laptop la tundu lisu ni kubwa kidogo mpaka linamzuia wajumbe wengine wasimuone! Kwa nini asinunue kile kidogo kabisa akawa anatembea nacho?
So low...wakati mwingine huwa najiuliza hivi hata wewe mwenyewe unaamini unachokiandika au unatumika tu? Unaiabisha nafsi yako...sijui ni shida ndio inakusuma ufanye haya unayofanya au ni uelewa mdogo (which i dont think is the case here) sasa kweli kikao cha kamati computer inakosaje umuhimu. hao wajumbe hapo wana minutes za vikao kibao, ni njia gani bora ya kutunza hizo kama sio computer? Wanajadili masuala technical ni njia gani bora ya kupata refference na rejea mbalimbali kama sio computer? kabla ya kumshauri Lissu anunue "kale kadogo kabisa" huoni ni busara uwashauri hao wenye makaratasi wajifunze matumizi ya computer!