Tundu Lissu yupo imara zaidi

Tundu Lissu yupo imara zaidi

Hata Wakubwa wanamkubali Lisu ila hofu ndio tatizo lao.

Nadhani ni wakati sasa wa kujenga mfumo imara wa Kidemokrasia kuanzaia ndani ya Chadema.
 
Wazo zuri sana hilo mkuu
 
Uwape kazi gani mkuu kama wewe ulishindwa kufanikisha ulicho kusudia pale namanga utaweza kufanya hayo ukiwa ugenini ?
[emoji1][emoji1][emoji1] naona rafiki yako Yeriko Nyerere Mwizi wa Machapisho ya Wenzanke mtandaoni ameshakuhathiri
 
Ndiyo nani huyo Yeriko?
Anaishi mtaa gani hapa Nairobi?
[emoji1][emoji1][emoji1] naona rafiki yako Yeriko Nyerere Mwizi wa Machapisho ya Wenzanke mtandaoni ameshakuhathiri
 
Wanajamvi kwa mara nyingine tena nawaletea hali ya afya ya mh Tundu Lissu kuwa sasa ni bora kuliko hata kabla haja shambuliwa.

Tujiandae kumpokea hapo muda wake wa kurudi nyumbani ukifika.

Wazalendo wote wa nchi hii tujiandae kumpokea kiongozi wetu kipenzi cha watanzania.
Hapa chini ni mh Lissu ktk hali yake ya sasa.View attachment 1116707

Hapo alipo ni ni uwanja wa ndege wa wapi na alikuwa ametoka wapi na anaende wapi?
 
Sidhani kama ni haki yetu mimi na wewe kutaka kuchunguza maisha binafsi ya mh Lissu
Hapo alipo ni ni uwanja wa ndege wa wapi na alikuwa ametoka wapi na anaende wapi?
 
Si unajua Wazungu wametibu mpaka hata kama alikuwa na kanyemelezi chochote
Mkuu naona unawachokoza watu pale mjengoni maana hao ndio wenye hayo maradhi.
Jitahidi usije ukatufungulia mlango tukaanza kuwaanika
 
Naona unateseka ndugu.
Vumilia tu maana Mungu ndiye muweza wa yote na mh Lissu anawatakia ramadhani kareem
Sasa kama si haki, mbona umepositi hii habari? Ungekaa nayo tu.
FB_IMG_1559634257991.jpeg
 
Wanajamvi kwa mara nyingine tena nawaletea hali ya afya ya mh Tundu Lissu kuwa sasa ni bora kuliko hata kabla haja shambuliwa.

Tujiandae kumpokea hapo muda wake wa kurudi nyumbani ukifika.

Wazalendo wote wa nchi hii tujiandae kumpokea kiongozi wetu kipenzi cha watanzania.
Hapa chini ni mh Lissu ktk hali yake ya sasa.View attachment 1116707
Rais wa Tanzania 2020 ana dunda kisela
 
Back
Top Bottom