Tundu Lissu yupo imara zaidi

Tundu Lissu yupo imara zaidi

hali ya afya ya mh Tundu Lissu kuwa sasa ni bora kuliko hata kabla haja shambuliwa.
Maneno kama hayo yana faida gani katika mada.
Una matatizo, lakini ukiambiwa unafikiri unaonewa!
 
Mbona unateseka sana ukisikia mh sana Lissu anarudi akiwa salama na buheri wa afya?
Maneno kama hayo yana faida gani katika mada.
Una matatizo, lakini ukiambiwa unafikiri unaonewa!
FB_IMG_1559582481325.jpeg
 
Wanajamvi kwa mara nyingine tena nawaletea hali ya afya ya mh Tundu Lissu kuwa sasa ni bora kuliko hata kabla haja shambuliwa.

Tujiandae kumpokea hapo muda wake wa kurudi nyumbani ukifika.

Wazalendo wote wa nchi hii tujiandae kumpokea kiongozi wetu kipenzi cha watanzania.
Hapa chini ni mh Lissu ktk hali yake ya sasa.View attachment 1116707
Ashukuriwe Kristo Yesu Bwana wa Uzima, ambaye yeye kwanza aliyashinda mauti pale msalabani ili sisi tupate kuishi na kuwa na UZIMA wa Milele...si Mhayudi wala Mhutu awezaye kumwondolea mtu Uzima wake maana pumzi na Uhai vyatoka kwa Bwana!
 
Amina Amina ndiyo maana akaitwa ALPHA na OMEGA!

Lissu The Greatest
 
Kwa kweli anapendeza ila ungeweka kavideo clip tuone miondoko tulinganishe na kabla ya kushambuliwa. All the same, binafsi nitafurahi kama pambanaji huyu atarudi na kuendeleza harakati kidemokracia. Mungu amuimarishe zaidi, Tanzania bado inamhitaji!
Tushukuru Mungu kwa hilo.Sasa dereva wake yupo wapi na watamficha mpaka lini ?
 
Wanajamvi kwa mara nyingine tena nawaletea hali ya afya ya mh Tundu Lissu kuwa sasa ni bora kuliko hata kabla haja shambuliwa.

Tujiandae kumpokea hapo muda wake wa kurudi nyumbani ukifika.

Wazalendo wote wa nchi hii tujiandae kumpokea kiongozi wetu kipenzi cha watanzania.
Hapa chini ni mh Lissu ktk hali yake ya sasa.View attachment 1116707

Bila shaka hapa ndiyo alikuwa yupo safarini kurudi / kurejea rasmi Tanzania au?
 
Mbona unateseka sana ukisikia mh sana Lissu anarudi akiwa salama na buheri wa afya?View attachment 1116856
Ni wapi nilipoonyesha kuteseka.
Wewe kuandika mambo ya CHADEMA ni kuwatia hasara chama hicho.
Ni kama hawana watu wenye uwezo wa kuwasilisha mambo yao.

Hata katika PR tu, wewe ni 'liability' Hata sijui kweli kama ni CHADEMA wanakutumia wewe. Inawezekana unaokoteza habari tu na kuzileta JF kishamba shamba hivi!
 
Tunamshukuru mungu aliyemuokoa mtanzania mwenzetu. Mola Afya na nguvu.

Lakini apunguze mwili na kitambi, uzito ni madhara kwa miguu na magoti, haswa yakiwa yameumia.
 
Wanajamvi kwa mara nyingine tena nawaletea hali ya afya ya mh Tundu Lissu kuwa sasa ni bora kuliko hata kabla haja shambuliwa.

Tujiandae kumpokea hapo muda wake wa kurudi nyumbani ukifika.

Wazalendo wote wa nchi hii tujiandae kumpokea kiongozi wetu kipenzi cha watanzania.
Hapa chini ni mh Lissu ktk hali yake ya sasa.View attachment 1116707
Mbona tumbo kitambi kama mimba .uliberali sio sera nzuri huku africa sijui kwa nini anang'ang'ania. Haina faida ila kwa ubeberu wa kigeni.
 
Hata mimi nimeshangaa na kimsingi haiwezekani akawa katika uimara unaozidi kabla ya kushambuliwa!
Umefaham uimara uliokusudiwa kinakushangaza nini?
Tundu sasa yupo umaraza zaidi kiujasiri kutoogopa na ari ya mapambano
Na hivyo ndivyo alivyoimarika uimara wa kutumia maguvu peleka FISIEMU!!
 
Mwambie huyo asiye julikana
Umefaham uimara uliokusudiwa kinakushangaza nini?
Tundu sasa yupo umaraza zaidi kiujasiri kutoogopa na ari ya mapambano
Na hivyo ndivyo alivyoimarika uimara wa kutumia maguvu peleka FISIEMU!!
 
Tunamshukuru mungu aliyemuokoa mtanzania mwenzetu. Mola Afya na nguvu.

Lakini apunguze mwili na kitambi, uzito ni madhara kwa miguu na magoti, haswa yakiwa yameumia.
Hayo magoti aliumizwa na nani?
 
Back
Top Bottom