Tundu Lissu yupo imara zaidi

Tundu Lissu yupo imara zaidi

Tunamshukuru mungu aliyemuokoa mtanzania mwenzetu. Mola Afya na nguvu.

Lakini apunguze mwili na kitambi, uzito ni madhara kwa miguu na magoti, haswa yakiwa yameumia.
Ushauri mzuri. Sina hakika kama ataupata.
Lakini madaktari wanaomtibu na watakaokuwa wanamhudumia bila shaka jambo hilo watalipendekeza.
 
Back
Top Bottom