Tundu Lissu yupo imara zaidi

Tundu Lissu yupo imara zaidi

Mungu anazidi kutuonyesha ufalme wake na kisa cha yeye kuitwa LPHA na OMEGAView attachment 1116718

Mungu mkubwa sana.sijui waliotaka kumua leo hii wanajisikiaje kumuona mtu karejea kama alivyokuwa awali.

By the way.serikali itaingilia kati mapokezi yake maana jiji linaweza kusimama mithili ya mapokezi ya msiba wa Dr.Mengi
 
Naamini mapokezi ya mh Lissu yatazidi hata mazishi ya mengi maana mh Lissu ni mtu wa sayari nyingine kwa kukwepa kifo
Mungu mkubwa sana.sijui waliotaka kumua leo hii wanajisikiaje kumuona mtu karejea kama alivyokuwa awali.

By the way.serikali itaingilia kati mapokezi yake maana jiji linaweza kusimama mithili ya mapokezi ya msiba wa Dr.Mengi
 
Yupo njiani anakuja kuongoza juhudi za kujikomboa
Tuna uhaba mkubwa wa watu makini na muhimu katika harakati za mabadiliko, kama TAML. He's my hero and an inspiration for many young people!
 
Huo ushauri ungetolewa na mtu mwenye busara tunge upongeza.
Lkn umetolewa na mzandiki
Kwa umri wake Sasa hivi ameshafanya mengi
Ameshatetea wengi na kusaidia wengi,ameshapata watoto na familia na Kama magari mazuri kashaendesha
Kwa Sasa ajikite Zaid kwenye Kucheki afya yake na kuzingatia kanuni Bora za lishe aache kabisa kula nyama sio nzuri
 
Hiyo ni kazi ya Dr wake wewe unawashwa na nini?
Kwa umri wake Sasa hivi ameshafanya mengi
Ameshatetea wengi na kusaidia wengi,ameshapata watoto na familia na Kama magari mazuri kashaendesha
Kwa Sasa ajikite Zaid kwenye Kucheki afya yake na kuzingatia kanuni Bora za lishe aache kabisa kula nyama sio nzuri
 
Eti watz wote tukampokee wakati siku hiyo sisi wajeshi tutakuwa tunasafisha mji...
ule wako uzagae ovyo hasa maeneo ya Airport.. tutakuhesabu nawewe ni uchafu 😅 😅
 
Hayo siyo mageni hapa duniani maana hata kina Gadaf walisha yafanya
Eti watz wote tukampokee wakati siku hiyo sisi wajeshi tutakuwa tunasafisha mji...
ule wako uzagae ovyo hasa maeneo ya Airport.. tutakuhesabu nawewe ni uchafu [emoji28] [emoji28]
 
Mkuu hao ndiyo vijana wa lumumba wanadhani wanafanya hayo kuwafurahisha wana lumumba wenzao kumbe wana jidharaulisha mbele ya jamii na kujionyesha roho mbaya walizo nazo
Sure mkuu?ndiyo adhabu anayostahili binadamu mwenzako kweli kwa mawazo yako? ni kweli wewe ni mzalendo kiasi hicho au kuna usilojua kuhusu thamani ya uhai wa binadamu mwenzio. Vipi kama angekuwa baba yako au mdogo wako na ndugu yako wa karibu ni lisu? umewahi vaa viatu vya familia yake? umeshawahi kufikiri wewe utakufaje na lini? ungependa kufa kwa style ambayo ilitaka kutokea kwa Lisu.

Okay unaweza kuwa kuna vitu vingi huvifahamu labda.hivyo nu busara sana kukaa kimya kama wanavyofanya wenye akili zao

kuna wakati nasikiliza watu huwa napata shaka sana juu ya tafakuli zao.yaani Lisu alikuwa tishio kiasi cha kitumia risasi nyingi vile na bado watu hawajiulizi aliponaje ponaje kile kifo.

Kauli kama hizi unaweza ambiwa uthibitishe na serikali .maana msaliti wa nchi hushughulikiwa na serikali .kwa mantiki hiyo.unatuaminisha hivi ndivyo serikali ilivyomshughulikia Lisu
 
Back
Top Bottom