Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,250
- 98,243
Wanajamvi kwa mara nyingine tena nawaletea hali ya afya ya mh Tundu Lissu kuwa sasa ni bora kuliko hata kabla haja shambuliwa.
Tujiandae kumpokea hapo muda wake wa kurudi nyumbani ukifika.
Wazalendo wote wa nchi hii tujiandae kumpokea kiongozi wetu kipenzi cha watanzania.
Hapa chini ni mh Lissu ktk hali yake ya sasa.