Tundu Lissu yupo imara zaidi

Tundu Lissu yupo imara zaidi

Mkuu hao watu uwezo wao wa kugundua mambo kwao ni tatizo
Mwenyenzi Mungu ana mpango naye ndo maana alimzungushia Ukuta wa moto,Makerubi, Mailaka Mku Mikael na Upanga wa moto kwa ajili ya ulinzi wake
 
Maadui na watesi wake kwa sasa wanaona haya kuliko ya kuvuliwa nguo ukweni
Mwenyenzi Mungu ana mpango naye ndo maana alimzungushia Ukuta wa moto,Makerubi, Mailaka Mku Mikael na Upanga wa moto kwa ajili ya ulinzi wake
 
Nilifikiri anachukua nafasi ya Mbowe kama ni afya si kawaida!
Mkuu, think before you lip.... "Kama ni afya si kawaida" 16 bullets in the body, mtu anapona... Unasema ni kawaida!!!??? Jivike ubinadamu japo kwa kujilazimisha, kuliko kujivika uchama.
 
Wanajamvi kwa mara nyingine tena nawaletea hali ya afya ya mh Tundu Lissu kuwa sasa ni bora kuliko hata kabla haja shambuliwa.

Tujiandae kumpokea hapo muda wake wa kurudi nyumbani ukifika.

Wazalendo wote wa nchi hii tujiandae kumpokea kiongozi wetu kipenzi cha watanzania.
Hapa chini ni mh Lissu ktk hali yake ya sasa.View attachment 1116707
Hivi hawa wako wapi
IMG_20190521_213435.jpeg
 
Hata mimi nimeshangaa na kimsingi haiwezekani akawa katika uimara unaozidi kabla ya kushambuliwa!
Nadhani hapo ni lugha ya kuonyesha kwamba "he is NOW stronger than he was before" After surviving 16 bullets, definitely he must have been another Lissu now. Hii unaweza kuielewa sasa.
 
Mkuu wanajifanya kutoelewa tu ila ukweli ndiyo kama ulivyo muelewesha
Nadhani hapo ni lugha ya kuonyesha kwamba "he is NOW stronger than he was before" After surviving 16 bullets, definitely he must have been another Lissu now. Hii unaweza kuielewa sasa.
 
Hao wamejazwa chuki sana na viongozi wao na sasa haya tunayo yaona ndiyo matokeo yake yaani binadamu anakuwa na roho mbaya kama green mamba
Mkuu, think before you lip.... "Kama ni afya si kawaida" 16 bullets in the body, mtu anapona... Unasema ni kawaida!!!??? Jivike ubinadamu japo kwa kujilazimisha, kuliko kujivika uchama.
 
Back
Top Bottom