Tundu Lissu: Wanaweza kuzima Intaneti kwa muda lakini sio kuzuia teknolojia

KWA bio binadamu walioshinda kifo na mauti ni wawili tu yesu na Tundu
Jiongeze Kiongozi, mahaba yanashida ya kutudanganya sana. Ushindwe kwa kumweka binadamu na Mungu kundi moja.
Vipi ulienda Hiroshima na Nagasaki ukawahesabu waliopona baada ya kutandikwa bomu la Atomic?! Na wale nao tusemeje?!
 
Jiongeze Kiongozi, mahaba yanashida ya kutudanganya sana. Ushindwe kwa kumweka binadamu na Mungu kundi moja.
Vipi ulienda Hiroshima na Nagasaki ukawahesabu waliopona baada ya kutandikwa bomu la Atomic?! Na wale nao tusemeje?!
Unaumia nini kuambiwa lisu ameshindwa kifo,

Haya basi magufuli ametwaliwa na mauti
 
Huku CCM wakiendelea kuharibu hii nchi.Kule akili ya Lisu inazidi kuharibiwa na KY.
 
Wanaweza kuzima mtandao wa internet kwa muda tu, lakini hawawezi kuzuia jua la teknolojia kuchomoza. Waraka wa Tundu Lissu kwa Watanzania huu hapa: HOTUBA YA MAKAMU MWENYEKITI CHADEMA MHE. TUNDU LISSU.

Tundu Lissu ni Genius sana . Badala ya kumchukua angalau kumfanya mshauri wa nchi, wakaenda kumfanyia fitna na kutaka kumuua.... ni wapumbavu CCM nchi hii.

Unamfukuza Lissu unamuweka Tale Tale, Mwana FA, Halafu unategemea nchi iwe na mustakabali mzuri . Mavi kabisa

Njia pekee ya kuifanya nchi iendelee ni kuitoa Hii CCM madarakani.

Ukitaka kujua CCM ni good for nothing, Angalia Mama ambae ndiyo alikuwa ni msaidizi wa JPM , yet anaponda utawala ambao she was part of it . Mama anaingia ameingia na yake , na atatoka Mama , ataingia mwîngine na yake ; nchi haina continuity ya maendeleo , mifumo inategemea ni nani anayeongoza; kwa stail hiyo we will never get there....

Ngosha anasimamisha miradi kwa muktadha wa utapeli na ufisadi mfano mradi wa bagamoyo, Mama anakujaa anaiendeleza miradi hiyo hiyo iliyosimamishwa kwq muktadha wa ufisadi , ngosha anatimua vyeti fake , Mama anakuja anasema hawa warudishwe na kulipwa fidia.... ndio Mjue CCM ni Mavi kabisa na TAKATAKA ? na huendesha nchi na mifumo kwa kutegemea maamuz ya Mtu mmoja ambae ni Rais , ni UPUMBAVU mkubwa sana ; mifumo ya nchi inatakiwa ijiendeshe yenyewe bila ya upepo wa Rais .... nchi inatakiwa iishi katika misingi na continuité, sio huyu anasema hili , mwenzie anakuja, anasema hivi ; tunapiga hatua kisha tunarudi nyuma.

CCM hawana muunganiko, na for sure wanapotezea watu Muda sana

Nashauri Jitihada za kuiondoa CCM zipambe moto sambamba na kupatikana KATIBA MPYA.

The only way we can be ni kupata katiba mpya, na huyu Mama asituzingue ni lazima tupate katiba mpya; atatusingizia Magaidi wote lakini lazima tupate katiba mpya;

nimetumikia nchi yangu katika nyanja mbali mbali ikiwemo na CCM YENYEWE, deep down najua CCM ni tatizo , na ni kihatarishi kwenye maendeleo ya taifa letu

Tuiondoe kwa kuinusuru nchi

They are good for nothing
 
Uko sahihi kabisa. Ni Maandiko ya neno linaloishi.

Basi tulia ; kwenye hoja za kisiasa, mambo ya imani yako weka mfukoni kwa manufaaa yko . Sisi tunajadili mambo kwa muktadha wa kidunia; na sio kwa kiimani.

Get maturity na ujifunze kutofautisha mazungumzo
 
Unaumia nini kuambiwa lisu ameshindwa kifo,

Haya basi magufuli ametwaliwa na mauti
Na huyo mwingine yake hayanihusu pia, maana wengi humu mnaishi kwa kuamini kuwa kila mtu kama hayuko na nyinyi kwenye mahaba ya Lissu basi yuko kwa Magufuli.. Wrong!
Aliyeishi na kukishinda kifo anabaki kuwa kuwa Yesu tu. Hapo ndio niliposimama mimi.
 
Basi tulia ; kwenye hoja za kisiasa, mambo ya imani yako weka mfukoni kwa manufaaa yko . Sisi tunajadili mambo kwa muktadha wa kidunia; na sio kwa kiimani.

Get maturity na ujifunze kutofautisha mazungumzo
Maturity kwa kigezo cha nani..Tusipangiane. Kwani hizo imani tunaziishi wapi kama sio duniani.
 
Back
Top Bottom