Tundu Lissu: Wanaweza kuzima Intaneti kwa muda lakini sio kuzuia teknolojia

Ukiwa na akili za maCCM , wewe basi tena...sasa wamezuia nini? tusiposikia live si ipo recorded...umbwa kabisa hawa.
 
Aliyeshinda Kifo ni Yesu tu. Acheni kulazimisha hizo promo kisa mtu wewe binafsi unampenda Lissu. Khaaah!!
Sijampa cheo cha Yesu lakini kutamka alishinda kifo ninamaanisha alishinda makusudio ya watesi wake.
 
Hii ni aibu sana kwa Mamlaka zilizoidhinisha mambo haya ya kishamba, hata baada ya Mwendazake kuondoka.

Kuzima mitandao kwa miaka hii ya kileo ni njia ya kienyeji mno. Huwezi kuzuia watu kusikia jambo kwa kuzima mtandao, ni LAZIMA UTASHINDWA NA KUAIBIKA TU .

Kiko wapi sasa?
Ndio maana wakifa magari yaliyobeba miili yao yanapata ajali
 
Roho inakuuma. inaonekana wewe ni miongoni mwa wapanga mipango ya kuondoa uhai wa Lissu
Mimi hayo yananihusu nini…Humu ndani siku hizi kuna wapuuzi wengi sana. Unadhani kila mtu anaishi kuwaza wanasiasa tu..Narudia, ni Yesu Kristu tu ndiyo aliyeshinda Kifo.
 
Back
Top Bottom