Tundu Lissu unakumbuka kitu?

Tundu Lissu unakumbuka kitu?

Hoja yako nzuri!
Mimi namuheshimu sana Lowasa kwa kuona mbali
1.Lowasa hajawahi kumuita Jpm dikiteta ila anakubali baadhi ya mambo na kukosoa mengine
2.Mzee Mtei katoa jambo zuri sana na ni kweli wizi wa ccm ndiyo uliwapa CHADEMA mtaji wa kisiasa
NDANI YA CCM WALIANZISHA OPERATION KUJIVUA GAMBA SASA ILIKWAMA KWA KUWA GAMBA LILITAKIWA KUANZIA JUU
3.LOWASA KAMA NI MWIZI AU ALIHUSIKA NA RICHMOND MIMI NADHANI KWA LEO TUNGE KUWA TUNSONGEA MENGINE.
JPM ASINGE MWACHA KWA KUWA HAKUNA ALIYE BAKI CCM.
4.UKAWA WANA SEMA KPM ANATEKELEAA SERA ZA CHADEMA SASA JE CHADEMA NI MAFIKITATA.
 
Mkuu hili ni jambo ambalo daily niligombana na wenzangu kwamba Mimi ni mamluki,
 
Mlango mmoja ukifungwa mwingine lazima upatikane ni kwa namna gani ? Ni mungu ndie alie jua hayo na a najua itakuwa je. KIBAYA zaidi nionavyo Mimi wana sahau Kuwa ni Binadamu wenzao wenye Akili Kama wao fikira nk so time will te..msingi uwe wa kutunza Amani na uvumilivu tu ukweli upo tu.
 
Nchi kuwa kimya haimaanishi chochote Mkuu.
Watanzania wasiopenda kuona haya manyanyaso dhidi ya upinzani wanachukizwa sana na hali hii na kushangaa sana mbona awamu za nyuma wapinzani hawakudhibitiwa kiasi hiki!? Kulikoni awamu hii!? Magufuli anaogopa nini mpaka hataki kuheshimu katiba ya nchi!?

Lakini @BAK,wako wapi hao watanzania mnaowatetea humu,mbona nchi iko kimya?!Wameridhika na hali ya mambo waacheni waendelee kula mlo mmoja kwa siku.
 
Hata kama Lissu na upinzani kwa ujumla wao wangebaki, hakuna lolote la maana ambalo wangefanikiwa kupata, hata Hiyo tume huru wala isingepatikana. Bado ccm ina nguvu nyingi, mizizi mingi, bunge lilikuwa 75% to 25% in favour of ccm.

Hivyo naamini kabisa hakuna cha maana kingebadilika, binafsi naona walifanya vizuri kutoka, kutokuwa sehemu ya ule upuuzi mule bungeni.
 
...mnahangaika kutafta mchawi wakati ukweli uko wazi...hata kama kina Lissu wangelazimisha baadhi ya mambo kwenye bunge la katiba leo hii yangekuwa hayajatekelezwa....maana hata iyo rasimu ya sitta waliyopitisha ccm hadi leo haijatekelezwa wala kupigiwa kura....hivyo hata kama ukawa wangepitisha jambo jema kwao leo hii lingekuwa kwenye bado kwenye makaratasi...kama katiba ya sitta....ukweli ndio huu....serikali hii ya ccm haina historia ya kufanikisha mambo yenye maslahi kwa wapinzani wao....ukiondoa ile serikali ya Nyerere iliyoruhusu vyama vingi....hawa waliopo sasa wana karma ya Nyerere...
 
Yawezekana ukawa sahihi mkuu ila tofauti kati ya katiba pendekezwa ya Sitta na hii ya sasa (1977) ni muda tu ambao katiba hizi zimetengenezwa... Otherwise they are different in their similarities!!!!
 
Bado katiba hii yenye viraka chungu nzima pamoja na ubaya wake inaruhusu maandamano na mikutano ya vyama vya upinzani ambayo hakuna yoyote mwenye ruhusa ya kuwaamulia wapinzani nini kuzungumza kwenye mikutano yao na wapi pa kufanyia mikutano yao bila kujali kama wana mbunge kwenye jimbo husika au la. Na yeyote anayewazuia wapinzani kufanya hivyo anakiuka katiba ya nchi.
Wee unayepigania maandamano kwanini usiandamane na mkeo na wanao huko geto kwako,sio kila ujinga wakuungwa mkono wengne wanajenga nchi wee unataka kuandamana,nenda kaandamane muhimbili kuna vitanda vipya
 
Katika maisha siku zote ni muhimu kukumbuka makosa tunayoyafanya mara chache sana sisi binadamu tunakumbuka na kukubali makosa ambayo tumeyafanya zamani na yanakuja kutuumiza leo.

Kama ndugu Tundu Lissu atapitia hapa ni vizuri akakumbuka kitu.

'Bunge la Katiba'.....

Hakuna mtu katika bunge lile la katiba aliekuwa na nguvu kama Tundu Lissu yeye alikuwa ndo 'roho' ya kila mtu alietaka 'Rasimu ya Warioba' hata UKAWA ni kama alianzisha yeye na wengine wakamuunga mkono.

Itoshe kusema kuwa kama Tundu Lissu angeweza kuwashawishi wenzie wabaki kwenye bunge la katiba kwa 'faida' zingine hilo lingewezekana

Tusisahau original wanaUKAWA walikuwepo hadi wana CCM ambao walikuwa
wanataka 'Rasimu ya Warioba' iheshimiwe.

lakini kosa kubwa kabisa la wanaUKAWA ni 'kubeba hoja za Tanganyika' mbele ya hoja zoote muhimu za Rasimu ya Warioba.

Rasimu ya Warioba ilikuwa ina faida nyingi zaidi

1.Tume huru ya uchaguzi
2.Kufuta wakuu wa wilaya
3.kupunguza madaraka ya Rais na kadhalika na kadhalika

Leo Tundu Lissu anakamatwa na polisi kwa 'amri za wanasiasa'
Bunge la katiba lilikuwa na nafasi ya kupiga marufuku polisi kupewa amri ya kumkamata mtu.

Hata Kenya now wametuacha Rais wa Kenya hawezi kuitumia polisi kukamata wapinzani wake washalimaliza hilo kwa kupitia katiba.

Leo Rais anateua makada kuwa wakuu wa wilaya na ma DAS.
Katiba hii iliyopo ambayo Magufuli anaitumia ni mbovu kuliko ile ya Samuel Sitta

Laiti kama Tundu Lissu angetumia ushawishi wake japo kupata 'katiba nafuu'
kuliko hii anayoitumia Magufuli now huenda leo wapinzani wasingekuwa 'wanalia kupigwa marufuku siasa'.

Leo Magufuli angelazimika tu kuheshimu na kufuata baadhi ya vitu
Polisi wasingepokea amri.
Wakuu wa mikoa na wilaya labda wasingekuwepo hawa waliopo na kadhalika.

Tukubali tu kwa Wana UKAWA then kususa kushiriki katika bunge la katiba na kuipinga Katiba ya Sitta ambayo laiti wangeshiriki ingekuwa better kuliko hii ilikuwa a big mistake.

Sasa haya ndio mavuno, tumerudi nyuma miaka 50.

Some opportunities never comes twice.

Kwani huyo 6 anafaidika na niini kwa sasa?
 
Hata wangebaki katika Bunge Maalulu la katiba kamwe tusingepata katiba nzuri.CCM wangechakachua tu katiba ya wananchi.Lile bunge liliharibika katika namna ya kupiga kura.Kura ya wazi iliharibu kabisa mchakato.
 
Japo mimi si muumini Sana wa kususasusa ila kwa hilo japo lilinikera lakini nilikuja kugundua wako sawa..kwanini nasema na kuamini kabisa walikuwa sawa.??

Sababu ya kwanza kabisa ni wingi wa makada wa ccm ndani ya bunge lile huku tukijua kabisa ccm hawakuwa na nia ya dhati ya kupatikana kwa katiba mpya bali kwa usikivu na hekima za Dr Jk..

Jambo la pili; Katika kila ulichokielezea hapo hakuna ambocho kingetokea kwasababu lengo kubwa la wapinzani kutaka katiba mpya lilikuwa ni kutaka kupunguza madaraka(ufalme) wa rais anaopewa na katiba ya mwaka 1977 na viraka vyake vyote..

Nikiangalia ubora wa katiba ya chenge uliyodai ni bora kuliko hii ya sasa naanza kuitizama katika mambo mawili..

Moja ni suala la Tume Huru ya Uchaguzi kama walivyoiita..katika katiba ya Chenge chini ya ibara ya 217(2) bado Lubuva wake(M/kit I) anateuliwa na Rais..
Vilevile mkurugenzi Wa uchaguzi(Kailima) pia chini ya ibara ya 222(1) anapatikana kwa kuteuliwa na Rais..
Jee hapo kuna Uhuru wa Tume hiyo??..na kama upo kwanini na Tume ya sasa isiwe huru??

Suala la pili ni kuhusu Upatikanaji Wa wakuu wa vyombo vya ulinzi..bado ibara ya 273(1) ya katiba ya Chenge bado imempa Rais mamlaka ya kuteua mkuu Wa jeshi la polisi..

Kwa hayo sidhani kama kukaa kwao ndani kungeweza kubadilisha kitu..bado madaraka ya rais yangeendelea kuwepo na hakuna kifungu wangeweza kukipunguza..
 
Nchi kuwa kimya haimaanishi chochote Mkuu.
Watanzania wasiopenda kuona haya manyanyaso dhidi ya upinzani wanachukizwa sana na hali hii na kushangaa sana mbona awamu za nyuma wapinzani hawakudhibitiwa kiasi hiki!? Kulikoni awamu hii!? Magufuli anaogopa nini mpaka hataki kuheshimu katiba ya nchi!?
Labda majibu anayo yule mzeee wa tume ya uchaguzi,maana ni kweli amshaamsha hizi dhidi ya upinzani awamu hii zimezidi mno.Labda ni zile kura mil 6 zinawakosesha watu usingizi,au kuna cha zaidi tusichojua?!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Katika maisha siku zote ni muhimu kukumbuka makosa tunayoyafanya mara chache sana sisi binadamu tunakumbuka na kukubali makosa ambayo tumeyafanya zamani na yanakuja kutuumiza leo.

Kama ndugu Tundu Lissu atapitia hapa ni vizuri akakumbuka kitu.

'Bunge la Katiba'.....

Hakuna mtu katika bunge lile la katiba aliekuwa na nguvu kama Tundu Lissu yeye alikuwa ndo 'roho' ya kila mtu alietaka 'Rasimu ya Warioba' hata UKAWA ni kama alianzisha yeye na wengine wakamuunga mkono.

Itoshe kusema kuwa kama Tundu Lissu angeweza kuwashawishi wenzie wabaki kwenye bunge la katiba kwa 'faida' zingine hilo lingewezekana

Tusisahau original wanaUKAWA walikuwepo hadi wana CCM ambao walikuwa
wanataka 'Rasimu ya Warioba' iheshimiwe.

lakini kosa kubwa kabisa la wanaUKAWA ni 'kubeba hoja za Tanganyika' mbele ya hoja zoote muhimu za Rasimu ya Warioba.

Rasimu ya Warioba ilikuwa ina faida nyingi zaidi

1.Tume huru ya uchaguzi
2.Kufuta wakuu wa wilaya
3.kupunguza madaraka ya Rais na kadhalika na kadhalika

Leo Tundu Lissu anakamatwa na polisi kwa 'amri za wanasiasa'
Bunge la katiba lilikuwa na nafasi ya kupiga marufuku polisi kupewa amri ya kumkamata mtu.

Hata Kenya now wametuacha Rais wa Kenya hawezi kuitumia polisi kukamata wapinzani wake washalimaliza hilo kwa kupitia katiba.

Leo Rais anateua makada kuwa wakuu wa wilaya na ma DAS.
Katiba hii iliyopo ambayo Magufuli anaitumia ni mbovu kuliko ile ya Samuel Sitta

Laiti kama Tundu Lissu angetumia ushawishi wake japo kupata 'katiba nafuu'
kuliko hii anayoitumia Magufuli now huenda leo wapinzani wasingekuwa 'wanalia kupigwa marufuku siasa'.

Leo Magufuli angelazimika tu kuheshimu na kufuata baadhi ya vitu
Polisi wasingepokea amri.
Wakuu wa mikoa na wilaya labda wasingekuwepo hawa waliopo na kadhalika.

Tukubali tu kwa Wana UKAWA then kususa kushiriki katika bunge la katiba na kuipinga Katiba ya Sitta ambayo laiti wangeshiriki ingekuwa better kuliko hii ilikuwa a big mistake.

Sasa haya ndio mavuno, tumerudi nyuma miaka 50.

Some opportunities never comes twice.
unayemsema kuheshimu katiba mbona hana hizo dalili, ila watz wanashingilia tu, nadhani ndo anaweza kuwa mkulu wa first kuchokwa, tuvute mda kidogo.
 
Kumlaumu Lissu peke yake si sahihi au niseme hakuna tija/hakutoshi ile katiba ya Warioba ilikuwa ni maoni yetu sisi ,.Je tulifanya nini?
 
Wao walitaka kupata kila kitu
kumbe wangepata tu hata Tume huru ya uchaguzi ingewasaidia....
Kwa ccm hata hiyo tume huru ya uchaguzi kuipata ni ngumu kwani wanajua kuwa ikiwepo tume huru ya uchaguzi ndio mwanzo wao kuondolewa madarakani
 
Katika maisha siku zote ni muhimu kukumbuka makosa tunayoyafanya mara chache sana sisi binadamu tunakumbuka na kukubali makosa ambayo tumeyafanya zamani na yanakuja kutuumiza leo.

Kama ndugu Tundu Lissu atapitia hapa ni vizuri akakumbuka kitu.

'Bunge la Katiba'.....

Hakuna mtu katika bunge lile la katiba aliekuwa na nguvu kama Tundu Lissu yeye alikuwa ndo 'roho' ya kila mtu alietaka 'Rasimu ya Warioba' hata UKAWA ni kama alianzisha yeye na wengine wakamuunga mkono.

Itoshe kusema kuwa kama Tundu Lissu angeweza kuwashawishi wenzie wabaki kwenye bunge la katiba kwa 'faida' zingine hilo lingewezekana

Tusisahau original wanaUKAWA walikuwepo hadi wana CCM ambao walikuwa
wanataka 'Rasimu ya Warioba' iheshimiwe.

lakini kosa kubwa kabisa la wanaUKAWA ni 'kubeba hoja za Tanganyika' mbele ya hoja zoote muhimu za Rasimu ya Warioba.

Rasimu ya Warioba ilikuwa ina faida nyingi zaidi

1.Tume huru ya uchaguzi
2.Kufuta wakuu wa wilaya
3.kupunguza madaraka ya Rais na kadhalika na kadhalika

Leo Tundu Lissu anakamatwa na polisi kwa 'amri za wanasiasa'
Bunge la katiba lilikuwa na nafasi ya kupiga marufuku polisi kupewa amri ya kumkamata mtu.

Hata Kenya now wametuacha Rais wa Kenya hawezi kuitumia polisi kukamata wapinzani wake washalimaliza hilo kwa kupitia katiba.

Leo Rais anateua makada kuwa wakuu wa wilaya na ma DAS.
Katiba hii iliyopo ambayo Magufuli anaitumia ni mbovu kuliko ile ya Samuel Sitta

Laiti kama Tundu Lissu angetumia ushawishi wake japo kupata 'katiba nafuu'
kuliko hii anayoitumia Magufuli now huenda leo wapinzani wasingekuwa 'wanalia kupigwa marufuku siasa'.

Leo Magufuli angelazimika tu kuheshimu na kufuata baadhi ya vitu
Polisi wasingepokea amri.
Wakuu wa mikoa na wilaya labda wasingekuwepo hawa waliopo na kadhalika.

Tukubali tu kwa Wana UKAWA then kususa kushiriki katika bunge la katiba na kuipinga Katiba ya Sitta ambayo laiti wangeshiriki ingekuwa better kuliko hii ilikuwa a big mistake.

Sasa haya ndio mavuno, tumerudi nyuma miaka 50.

Some opportunities never comes twice.
Mawazo yako ni akili ya peke yako na umeyaandika bila ya ku digest.Tundu Lisu na wana Ukawa wenzake wangebaki bungeni katika bunge la Kenya au la akina Ndugai? "Kaa chini","wewe bwege"."askari mtoa huyu nje mara moja".Kwa amri hizi pamoja dharau,kejeli ,matusi ya nguoni kutoka kwa wabunge wa CCM ulitegemea wapinzani hoja wangezitolea wapi? Fikiri kwanza kabla ya kuandika utumbo.
 
Nani anatuata katiba? Ingekanyagwa tu!
Hata hiyo katiba kwa ccm ingekuwa ni ngumu kuikubali katiba inayo wabana wangetumia wingi wao kuikataa kama walivyofanya huyu mtoa mada kakosa la kusema
 
Back
Top Bottom