Tundu Lissu unakumbuka kitu?

Tundu Lissu unakumbuka kitu?

kama hii katiba iliopo pamoja na mapungufu yake mengi.....lakini bado watu hawaiheshimu wanaikanyaga na wanafanya vitu kutokea kichwani...mpya ndo wangeiheshim???.....hii nchi inahitaji zaidi ya katba..nacho ni watz kujitambua...saaahivi uelewa Mdogo sana
 
Katika maisha siku zote ni muhimu kukumbuka makosa tunayoyafanya mara chache sana sisi binadamu tunakumbuka na kukubali makosa ambayo tumeyafanya zamani na yanakuja kutuumiza leo.

Kama ndugu Tundu Lissu atapitia hapa ni vizuri akakumbuka kitu.

'Bunge la Katiba'.....

Hakuna mtu katika bunge lile la katiba aliekuwa na nguvu kama Tundu Lissu yeye alikuwa ndo 'roho' ya kila mtu alietaka 'Rasimu ya Warioba' hata UKAWA ni kama alianzisha yeye na wengine wakamuunga mkono.

Itoshe kusema kuwa kama Tundu Lissu angeweza kuwashawishi wenzie wabaki kwenye bunge la katiba kwa 'faida' zingine hilo lingewezekana

Tusisahau original wanaUKAWA walikuwepo hadi wana CCM ambao walikuwa
wanataka 'Rasimu ya Warioba' iheshimiwe.

lakini kosa kubwa kabisa la wanaUKAWA ni 'kubeba hoja za Tanganyika' mbele ya hoja zoote muhimu za Rasimu ya Warioba.

Rasimu ya Warioba ilikuwa ina faida nyingi zaidi

1.Tume huru ya uchaguzi
2.Kufuta wakuu wa wilaya
3.kupunguza madaraka ya Rais na kadhalika na kadhalika

Leo Tundu Lissu anakamatwa na polisi kwa 'amri za wanasiasa'
Bunge la katiba lilikuwa na nafasi ya kupiga marufuku polisi kupewa amri ya kumkamata mtu.

Hata Kenya now wametuacha Rais wa Kenya hawezi kuitumia polisi kukamata wapinzani wake washalimaliza hilo kwa kupitia katiba.

Leo Rais anateua makada kuwa wakuu wa wilaya na ma DAS.
Katiba hii iliyopo ambayo Magufuli anaitumia ni mbovu kuliko ile ya Samuel Sitta

Laiti kama Tundu Lissu angetumia ushawishi wake japo kupata 'katiba nafuu'
kuliko hii anayoitumia Magufuli now huenda leo wapinzani wasingekuwa 'wanalia kupigwa marufuku siasa'.

Leo Magufuli angelazimika tu kuheshimu na kufuata baadhi ya vitu
Polisi wasingepokea amri.
Wakuu wa mikoa na wilaya labda wasingekuwepo hawa waliopo na kadhalika.

Tukubali tu kwa Wana UKAWA then kususa kushiriki katika bunge la katiba na kuipinga Katiba ya Sitta ambayo laiti wangeshiriki ingekuwa better kuliko hii ilikuwa a big mistake.

Sasa haya ndio mavuno, tumerudi nyuma miaka 50.

Some opportunities never comes twice.
We hayp mabadiliko ulikuwa huyataki? Yalikuwa yanatakiwa na UKAWA tu?
 
Walaumu walio baki bungeni wakala hela zetu....Kikubwa ni UTAIFA KWANZA. Mi nadhani waliobaki mule ndani wakayaponda maoni yetu ndio walaumiwe.

NB : we unayejiita The Boss , unatakiwa ujue kuwa kinachoendelea TZ tangu miaka michache iliyopita ni DOLA vs SHERIA
 
The Boss yaani wapinzani wangekuwepo bunge kwenye bunge la katiba wangepata laana ya kutumia mabilioni ya wananchi bila katiba mpya kupatikana ambayo wewe unaona ingekuwa msaada mkubwa sanakwa wapinzani . Turudi nyuma tuseme wabunge wa UKAWA wangekuwepo wangesaidia kuitetea rasimu ya Warioba kwa sasa wangesipata shida je hiyo katiba mpya ilipita? Ambacho walifanya UKAWA kwa kushirikiana na Tundu Lissu ni mwanasheria makini anayejitambua walikuwa sahihi kabisa sahihi.
 
Kwani katiba ya sasa na sheria zetu si zinatambua demokrasia na haki ya vyama kufanya siasa?, lakini mbona hawaiheshimu? Nakuhakikishia hata kama ingekuwa katiba ya Warioba, wangeamua kutoiheshimu wasingeiheshimu tu.
Ni kweli kabisa! Mtu anaapa kulinda katiba lakini kila siku iendayo kwa Mungu anaivunja.Mlinzi Wa katiba yetu ndio mbomoaji namba moja! Bunge limekuwa kama idara fulani ya Ikulu.
 
Ktk Bunge lenye utawala wa Chama kimoja chenye kutoa miongozo nini wabunge ns wateule wake wafanye wasingeweza. Hata angewshawishi wabaki kwa uwezo wangu wa kawaida wa kuona mambo wangedhindwa tu. Maana anything from upinzani kingepingwa tu.
 
Ktk Bunge lenye utawala wa Chama kimoja chenye kutoa miongozo nini wabunge na wateule wake wafanye, wasingeweza. Hata angewashawishi wabaki kwa uwezo wangu wa kawaida wa kuona mambo wangeshindwa tu. Maana anything from upinzani kingepingwa tu.
 
Mkuu kuna nchi ikithibitika tu kuwa Polisi wamepokea maagizo kabla ya kuchukua hatua
hao polisi wanaweza kuondolewa moja kwa moja na hata kupelekwa mahakamani

ndio mymain point here
ukiwabana polisi kisheria hawana jinsi

Ndugu yangu hili kwa Tanzania hii ya CCM haliwezekani. Mimi binafsi huwa nashangazwa na hata yale majadiliano ya rais na wapinzani, hakika yanakuwa danganya toto.
Sikuiona mantiki ya Maalim kukaa na Magufuli kujadili jambo lililo wazi, uchaguzi wa Zanzibar wa October, 2015 haukuwa na sababu yoyote ya kujadiliana.
Tanzania sheria na katiba ni kwa manufaa ya CCM mnyonge na mpinzani hana haki.
 
The Boss, mimi sioni tatizo la Ukawa kususia bunge la katiba; walifanya hivyo kuonyesha kutoridhishwa na uendeshaji wake hovyo. CCM na vibaraka wake walikuwa wameligeuza bunge uwanja wa matusi, kejeli, vijembe na mipasho. Katika mazingira hayo, the end would never have justified the means! Ila nawalaumu wapinzani kwa hapo awali kukubali kipengele cha muundo wa bunge la katiba (katika sheria iliyolianzisha) kilichojaza wanasiasa (wabunge, wawakilishi wote kufanywa wajumbe!!) kwenye hilo bunge. Huu ulikuwa mkakati muovu wa CCM kuteka mchakato wa katiba. Utakumbuka wadau wa katiba walitahadharisha sana kuhusu bunge la katiba kutawaliwa na wanasiasa; tena 80% kati yao kutoka chama kimoja! Hapa ndipo Watanzania walipofungwa "goli la mkono".
 
Hoja za tume huru ya uchaguzi haikufika
walitoka kabla....
Mkuu tatizo kuu lilikuja Kuna baadhi ya watu waliingia mle wamekwisha ambiwa nendeni mkapinge kile kisipite na kile mkubali kipite kwa njia yoyote ile. Natumai mifano unayo, na hata refaa wa mchezo (speaker) nadhani unakumbuka jinsi alivyokua, ilikua inahitaji uwe na jicho la 3 kujua alikua upande upi?
Binafsi ntamlaumu sana "nyoka mwenye makengeza" na jopo lake maana ndio chanzo cha tatizo na hawakua tayari kwa maridhiano.
 
Ile rasimu ya warioba ilikua haiwezi kupita kwa jinsi ilivyokua inaweza kuleta uwiano sawa na kupunguza nguvu za madaraka ya raisi sidhani kwa uelewa wa watanzania wakubwa kuna kiongozi angeweza kuruhusu lile swala lipite pia asilimia kubwa ya wawakilishi bungeni ni wafuata mkumbo maana uelewa wao ni mdogo au hata kama mtu akiwa na uelewa mkubwa kwa ulevi wa madaraka anapotosha hata kile anachoamini rejea aliekataa thesis yake ya Phd...
Umenena kweli, na hapa ndipo kuna tatizo kubwa sana huwa najiuliza mpaka kesho sipati jibu, kua tatizo ni "shule" au "nidhamu ya uoga" inayolisishwa kizazi na kizazi.
 
Tatizo siyo katiba, ni fikra za viongozi na wanaoongozwa. Viongozi wanaamini kuwa wanachowaza na kuamua ndicho katiba na asilimia kubwa ya wananchi hawajui tofauti.
Katiba siyo maandishi ya kinadharia tu, ni makubaliano ya kifikra na kimatendo zaidi.
 
Kuna watu ni wa Jinga sana!..
Kwa hiyo Tundu Lisu alaumiwe, Yohana Ulabu apongezwe?
 
Katika maisha siku zote ni muhimu kukumbuka makosa tunayoyafanya mara chache sana sisi binadamu tunakumbuka na kukubali makosa ambayo tumeyafanya zamani na yanakuja kutuumiza leo.

Kama ndugu Tundu Lissu atapitia hapa ni vizuri akakumbuka kitu.

'Bunge la Katiba'.....

Hakuna mtu katika bunge lile la katiba aliekuwa na nguvu kama Tundu Lissu yeye alikuwa ndo 'roho' ya kila mtu alietaka 'Rasimu ya Warioba' hata UKAWA ni kama alianzisha yeye na wengine wakamuunga mkono.

Itoshe kusema kuwa kama Tundu Lissu angeweza kuwashawishi wenzie wabaki kwenye bunge la katiba kwa 'faida' zingine hilo lingewezekana

Tusisahau original wanaUKAWA walikuwepo hadi wana CCM ambao walikuwa
wanataka 'Rasimu ya Warioba' iheshimiwe.

lakini kosa kubwa kabisa la wanaUKAWA ni 'kubeba hoja za Tanganyika' mbele ya hoja zoote muhimu za Rasimu ya Warioba.

Rasimu ya Warioba ilikuwa ina faida nyingi zaidi

1.Tume huru ya uchaguzi
2.Kufuta wakuu wa wilaya
3.kupunguza madaraka ya Rais na kadhalika na kadhalika

Leo Tundu Lissu anakamatwa na polisi kwa 'amri za wanasiasa'
Bunge la katiba lilikuwa na nafasi ya kupiga marufuku polisi kupewa amri ya kumkamata mtu.

Hata Kenya now wametuacha Rais wa Kenya hawezi kuitumia polisi kukamata wapinzani wake washalimaliza hilo kwa kupitia katiba.

Leo Rais anateua makada kuwa wakuu wa wilaya na ma DAS.
Katiba hii iliyopo ambayo Magufuli anaitumia ni mbovu kuliko ile ya Samuel Sitta

Laiti kama Tundu Lissu angetumia ushawishi wake japo kupata 'katiba nafuu'
kuliko hii anayoitumia Magufuli now huenda leo wapinzani wasingekuwa 'wanalia kupigwa marufuku siasa'.

Leo Magufuli angelazimika tu kuheshimu na kufuata baadhi ya vitu
Polisi wasingepokea amri.
Wakuu wa mikoa na wilaya labda wasingekuwepo hawa waliopo na kadhalika.

Tukubali tu kwa Wana UKAWA then kususa kushiriki katika bunge la katiba na kuipinga Katiba ya Sitta ambayo laiti wangeshiriki ingekuwa better kuliko hii ilikuwa a big mistake.

Sasa haya ndio mavuno, tumerudi nyuma miaka 50.

Some opportunities never comes twice.

imekuwa kihoro changu cha muda, nimekisema sana, tatizo wakati maCCM yako hivi hivi

wapinzania hawatumii nafasi pindi wanapopata
 
The Boss ile katiba ilikuwa haiwezi kutoboa na vifungu vinavyo iumiza CCM
 
Umeongea! Ukweli ni kuwa Tanzania si nchi huru bado, kinachoendelea ni unafiki tu lakini wananchi hawana uhuru. Bahati mbaya kujua ukweli huo ni kazi kwa sababu wanaaminishwa kuwa wako huru kwa maneno.
 
Ni kweli bt si kwa gemu ambayo refa wao uwanja wao hata mpira ni wao ukiwafunga wanagomea matokeo ukiwashtukiza bao la dk ya mwisho wanaweka mpira kwapani kama Jecha alivyofanya pande zile

Hapa inaitaji nguvu ya umma uliochoka na kukubali kwa lolote wakina Tundu ni wachache kuwin hili battle

Back
Top Bottom