Tundu Lissu unakumbuka kitu?

Tundu Lissu unakumbuka kitu?

Wangebaki ingepitishwa katiba pendekezwa.

Ukawa ilitokea hapo kuiunga mkono ya warioba.
tatizo walikuwa outnumbered nanoption pekee ilikuwa ni kubutua sufuria.

Ingepitishwa ile pendekezwa tungesugua sana.
 
Wao walitaka kupata kila kitu
kumbe wangepata tu hata Tume huru ya uchaguzi ingewasaidia....
Kwani tume huru ya uchaguzi ni kwajili ya Tundu Lissu, katiba mpya ni kwajili ya upinzani? ccm wakiiba Kura wanaopoteza ni wapinzani au sisi wenye nchi? Bandiri zimeuzwa na ccm baada ya kuiba kura,je bandari za wapinza au zetu sisi wenye nchi?
 
Back
Top Bottom