Umeongea kitu cha maana sana The Boss.
Kosa la ukawa ndilo hilo,ccm wanaweza kukubali tume huru na vitu vingine lakini siyo kukubali serikali tatu,ukawa walikuwa na nafasi kubwa kutengeneza mazingira mazuri ya wao kufanya kazi kupitia bunge la katiba.
Kwani wewe unadhani hawana mikakati? Mwaka una siku 365, unataka kusema kwa siku zote hizo wapinzani huwa wanaandamana?Usipotumia akili na kuendesha siasa kwa mikakati endelevu, ndugu yangu utaandamana mpaka wamarekani wawahurumie kwa kuishiwa soli za viatu.
Mkuu The Boss,kweli kabisa kutoka ndani ya mtima wako unaamini kabisa kama UKAWA wangebaki kwenye Bunge la Katiba hili la Tume huru ya uchaguzi lingeshughulikiwa ipasavyo?Hoja za tume huru ya uchaguzi haikufika
walitoka kabla....
Mkuu The Boss,kweli kabisa kutoka ndani ya mtima wako unaamini kabisa kama UKAWA wangebaki kwenye Bunge la Katiba hili la Tume huru ya uchaguzi lingeshughulikiwa ipasavyo?
Mahali ambapo akili za hali ya juu ingetumika UKAWA wafanya mambo ya kijinga kuandamana na kususia vikao halali na vilivyo kaa kisheria.Kwani wewe unadhani hawana mikakati? Mwaka una siku 365, unataka kusema kwa siku zote hizo wapinzani huwa wanaandamana?
Swadakta!Huo ndio ukweli,ila tujiulize,ni kwanini wanafanya hivyo?ni kwa sababu hakuna wananchi wa kuogopwa.Nchi hii ukitaka kufanya ujinga ni utafikiria kuwadhibiti UKAWA tu,the rest ambao ni mamilioni ya watu they are just watching Tundu Lissu on ITV!Utawasaidia vipi watu hao?!Kiburi cha viongozi wa nchi hii kinatoka kwa wananchi wenyewe,wameiacha nchi ivurugwe,hadi leo wanafikiri viongozi ni malaika,wengine bado ni selfish,katika uselfish wao wanawaza one day na wao watapata nafasi ya "kupiga hela" serikalini,so wanaona hawa walioko ni fursa yao kutafuna na kuongoza nchi watakavyo!Tatizo la Tanzania si watanzania wachache(viongozi)bali watanzania wengi(wanaoongozwa).Kwani katiba ya sasa na sheria zetu si zinatambua demokrasia na haki ya vyama kufanya siasa?, lakini mbona hawaiheshimu? Nakuhakikishia hata kama ingekuwa katiba ya Warioba, wangeamua kutoiheshimu wasingeiheshimu tu.
Uwezekano wa kubadilisha chochote ambacho si kwa maslahi ya wananchi na ukuaji wa demokrasia likiwemo hili,ungefanikiwa kwa kushiriki kwao UKAWA?Katiba ya sasa Rais anamteua mkuu wa polisi
ni rahisi kwake kumpa amri
ingekuwa katiba hana mamlaka ya kumteua mkuu wa polisi ingekuwa rahisi kuliko sasa
boss kwanza inabidi kufahamu nia ya JK ilikuwa ni nini mpaka akaamua kukubali kuanzisha mchakato wa katiba mpya.
Tume ya Warioba ilikuwa fair na ikatoa rasimu nzuri kwa maslahi ya wananchi
1.Je JK binafsi alikubaliana na yale yaliyopendekezwa na tume ya Warioba ?
.Msimamo wa wapinzani ulikuwa unajulikana dhahiri wao walikubali
2.Je msimamo wa majority ya wawakilishi wa CCM kwenye bunge la katiba ulikuwa upi ?
Uwezekano wa kubadilisha chochote ambacho si kwa maslahi ya wananchi na ukuaji wa demokrasia likiwemo hili,ungefanikiwa kwa kushiriki kwao UKAWA?
Mkuu wewe ni mgeni na amri kwa "kaukasi" ya CCM bungeni?
Nimewajibu watu huko nyuma
hao unaowaita wawakilishi wa CCM bunge la katiba walikuwa pamoja na
Lowasa,Kingunge na wengineo ambao leo wako upinzani
hakuna anaejua kama wangejali maslahi ya chama kuliko ya Taifa...
only kama hoja ingeletwa kwanza
Kama hiki ndivyo hali halisi ilivyo ni kwa nini basi wasiruhusiwe waendelee na ujinga wao wa maandamano na mikutano ya hadhara?total work done ni zero.
CCM walienda kwenye Bunge la Katiba wakiwa na msimamo wao,na hata wale wengine walioteuliwa kwa "maelezo maalum" ambao walikuwa ndio tegemeo la wananchi kuwa akidi yaweza kutimia kwa kuunga mkono rasimu ya Warioba,nao walikuwa na "kaukasi" yao ambayo isingewezekana kwa vyovyote vile hoja yoyote kinzani na maslahi ya CCM kupita.Umeongea kitu cha maana sana The Boss.
Kosa la ukawa ndilo hilo,ccm wanaweza kukubali tume huru na vitu vingine lakini siyo kukubali serikali tatu,ukawa walikuwa na nafasi kubwa kutengeneza mazingira mazuri ya wao kufanya kazi kupitia bunge la katiba.
JK mwenyewe aliyoanzisha mchakato alikuwa na msimamo gani baada ya Warioba kumkabidhi ile rasimu ?