Tundu Lissu Umewekewa Mtego

Troll JF

Platinum Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
10,068
Reaction score
14,705
Nimeona Jamhuri katika Kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu Wamefunga Ushahidi, Kama majaji wakitoa ruling una kesi ya Kujibu kitu ambacho nadra kwa sababu elements za Kosa kwa kiasi kikubwa hazijawa Proved ili uchomoke faster jitetee tuu mambo ya kuanza kuwaita akina Samia, Mwigulu, Majaliwa, Mpango, Kikwete hapo ndiyo mtego upo najua siyo kazi yako Mahakama itatoa Summons ila itakuweka sana Probably another year halafu watasingizia kuwa siyo Jamhuri ni aina ya mashaidi wanaoitwa na mshtakiwa.


VS


External Pressure imekua kubwa Karibu tena Uraini Tundu Lissu

Pro-JPM
 
Halafu wewe jamaa sijui dini gani. Katili sana inaonekana
 
Mpiga debe anapojifanya analijua basi kuliko mwenye basi. Wakiitwa wataenda tu. Ila tusubiri kwanza rulling itakuwaje
 
Hamna cha mtego, kukaa jela haogopi. Kama alipigwa risasi karibu kufa, ni kipi ataogopa tena?
Kaachiwa msala mwenyewe kama ana kesi ya kujibu aanze kuwaita mashahidi wake kama akikubali naona mwaka mwingine… Tundu Lissu Jela inamuuma sana sasa hivi ndiyo maana anatoa milio sana. Kwa kesi yake hii Bora ajitetee tuu iishee
 
Akili za nguruwe ni za kijinga sana
 
Zezeta kabisa wewe , si mlisema ushahidi mnao hadi mkaweka vibanda mahakamani watu watoe ushahidi kwa kujificha iweje mmeshindwa na mtu anajitetea mwenyewe?

Mlimkamataje mtu bila ushahidi sasa ambao mmebumba miezi zaidi ya 15 na haujawa na tija.
 
Ushauri mzuri sana ila mbivu na mbichi bora kujulikana yaani mashahidi wake waje mahakamani tujue nini kiliwasukuma kuagiza akamatwe
 
Mkuu umeanza kuwa na Sympathy tangy lini?😅
 
Hiyo no case to answer sio mandatory lisu anaweza kuomba au akaachana nayo ingawa haiwave right of defence.
 
Lipenda rushwa na jizi liko busy kupost
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…