Tundu Lissu, tunduni - na Jerry C. Muro

Tundu Lissu, tunduni - na Jerry C. Muro

Lissu amebadilika sana kutoka shujaa Wa kupinga ufisadi mpaka kufikia hatua hii ?! hawa IMMMA Si alishawahi kuwatuhumu wanahusika na ufisadi?! Lowassa amembadilisha sana Lissu kuna kitu Lissu amejifunza kuhusu kuropokaropoka na kuchafua watu pasi na ushahidi...kuna baadhi hawatanielewa hapa
wewe mwenyewe hujielewi, tutanzaje kukuelewa sasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We have to discuss the above topic mkuu sio personality yake, mbona tunakosa maarifa kadri siku zinavyokwenda?
Put aside our political difference!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hutakiwi kumuamini muongo hata kama atasema ukweli. Usithubutu kumuamini mla rushwa Jerry
 
Nachoweza kusema tuu namwonea Jerry Muro huruma sana................. pamoja na kuolewa kooote bado anatapata? kwanza keshaoata mtoto au nae lake moja km Bashite mwana wa Zero?
 
Jerry Muro ndio yule alikamatwaga kwa kula rushwa ya 10mil. au ni mwingine? Na ambaye alikuwa msemaji wa Yanga akafukuzwa!!?
Wakati vifo vinatokea Lisu alikua na wadhifa gan. We Domo zege acha ku kuropoka Yamekushinda Ya Lipuli unaamia kwenye sheria Mavichwa maji mengine bana Ukiwa unaropoka weka na akiba ya manenoooooo
 
Tundu ana matatizo nilisema sana hamtaki kusikia.. Anatumika na wazungu sana huyu Tundu Lissu na kawa msaliti kwa Taifa lake.. Kisa pesa
 
Nyuzi zipo nyingi mno zenye jumbe tofauti or mawazo tofauti lakini wakilenga sehemu moja.... mf. uzi wa mpenda zoe juu ya Lisu na zingine kwa wakati ule...
Simshangai Muro kwani ni miongoni mwa wasakatonge kupitia fursa ksma hizi ingawa katiba insmruhusu.Tusubiri ni kipindi cha. muda labda naye anaweza akatoka kwa njia hii.
 
Mkuu ume adress all key points personal attack za muro kwa lissu
But kama hauko kimlengo wowote wa siasa ni dhahiri shahiri TL anataka kufanya TLS kuwa ya mlengo wa kisiasa badala ya majukumu yake halisi.
Kwenye sheria jamaa yuko vizuri tena sana tu but ukisikiliza maneno ambayo huwa anayotoa kwenye medias yaan ni bora hata yule bwege wa Lindi..anatoa maneno mepesi, yaliyojaa dharau na kebehi nyingi! Au huwa anajiona yeye ndio wakili msomi kuliko wote waliopo??


Sent using Jamii Forums mobile app
unaaamaaanisha ccm ndo wamelipua nini? kina vitu vingine ni bora kukaaa kimyaa tuu.Au kwa kuwa tundulisu kaongea
 
Kwa kumbukumbu zangu na kama sikosei,Jerry Muro hata uvamizi wa Bashite clouds aliutetea hadharani.

Si hivyo tu,hata Manji alipokamatwa kwa mara ya kwanza kuhusiana na tuhuma za kutumia dawa za kulevya alionekana kuunga mkono kukamatwa kwake pale alipohojiwa channel 10 katika kipindi cha Mada Moto.

Huyo ndio Jerry.

U-DC unatafutwa kupitia migongo ya watu.
Jadili hoja alizoweka hapa, hayo ya clouds na Manji zipo nyuzi zake huko...pinga alichokiweka hpa kwa hoja mkuu, usi judge personality ya mtu.
 
Jerry Muro, anatafuta cheo kwa kick za Lissu.

Baya atasifia na zuri atasifia ili mradi mkono uende kinywani

Magufuli usiwateue wanafiki hawa..
 
Siyo bure wale wazungu walimtemeaga makohozi usoni.Mchagga wa kwanza kuwa ovyo haijawah kutokea.Ndo maana domo lake limefanana na la bashite.
 
wingi la mbumbumbu wa sheria kujifanya wasomi linaongezeka sana
 
Watu aina ya akina Jerry Muro ni waandishi na wasomi uchwara wanatumika na kujipendekeza kwa watawala.
Mawazo ya Jerry Muro ni finyu sana. Anatafuta kiki ya kutafutia madaraka kirahisi .
Hana jipya huyo naye ni mchwara tu.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa pamoja na majigambo meeengi eti "professional communicator' unashindwaje kuandika jina la kampuni iliyoshambuliwa? Sisi tunajua kampuni iliyoshambuliwa inaitwa IMMMA lakini wewe unatuandukia humu IMMA. Hizi taaluma za kibongo hizi, utakuta mtu akifukuzia kacheti tu tayari libichwa hilo!
 
Ngoma Inogile Jerry haya siyo mambo ya kutaniana na Haji Manara au Massau Bwire.Issue inahusu watetezi wa sheria na maisha ya Watanzania wote,wala siyo issue ya kujifanya usalama wa taifa na kutembea na pingu za kubabaishia watu kaa kimya.

Eti proffessional communicator duu hata huo wa kuwa msemaji wa YANGA tu haukutosha maana badala ya kuwa msemaji ulikuwa mropokaji.

Unapounganisha Deep Green na IMMA ndio nini sasa kama hao deep green walichotewa mapesa na serkali hiyohiyo unataka kutuambia nini.
 
Back
Top Bottom