Tundu Lissu, tunduni - na Jerry C. Muro

Tundu Lissu, tunduni - na Jerry C. Muro

Watu wakikaa kimya mawe yatapiga kelele.
Hongera Jery Muro kwa kupiga kelele.
Siasa imehamia TLS.

Hadi hapo TLS wanatakiwa kujua wanachokipigania pengine hakitafanikiwa kwa sababu tu ya Siasa.
TLS haitafika mbali sana, Siku si nyingi itagawanyika vipandevipande.
Rais wenu anajua kule CDM yupo Mamvi hivyo hawezi pata nafasi ya kujiachia kama anavyofanya TLS.
Kazi kwenu.
 
Ni vema hoja zake zijibiwe kwa hoja la sivyo ni upumbavu tu kujibu kwa kumuattack Muro wakati katoa hoja na maswali..!!!
 
mh sakata hili la kulipua bomu halivumiliki , Muro lazika akubali kuwa uhalifu umetokea , pia hata kama hiyo kampuni ina tuhumiwa siyo utaraibu ivamiwe maana tuhuma siyo kosa wala adhabu yake siyo kulipuliwa.

Muro anafani yake ya mawasiliano ,ni vyema yeye pia alituhumiwa kula rushwa nami ni mwulize; sasa kwavile alituhumiwa hivyo hatakiwi hata kusikilizwa? au je ni ruksa kwa muro kuvamiwa na hata kuporwa vitendea kazi vyake maana alisha chafuka na madai ya rushwa?

Bwana Muro pale ofisini ni nyaraka ngapi zimepotea au kuharibika kutokana na bomu? mi nafikiri kuna haja ya kupigania kwa nguvu suala la usalama wa raia na mali zao, maana ukisema hivyo na wengine waka kahusianisha na suala la Karume kumfungulia mashtska askari aliye mghasi mahakamani labda ndo amekuja kuharibu ofci utawajibu nini?

Kinacho piganiwa ni utawala wa sheria ,ulinzi wa raia na mali zao ,uhuru wa maoni .
 
BAVICHA ukiwakumbusha undumilakuwili wa LISSU kuhusu Lowassa na list ya mafisadi papa na baadae kumbebea Tablet na kukaa meza moja,watakutukana matusi yote ya nguoni.Ila ukweli unabaki pale pale LISSU ni wa kuogopwa,ni mchumia tumbo.Ikibidi na yeye apigwe bomu tu.Hana maana kwa taifa hili.
 
Tundu Lissu, TUNDUNI
Na Jerry C. Muro

Nianze kwa Kutoa pole kwa jumuiya nzima ya wanasheria nchini, pole yangu sio ya tukio la IMMA advocates, Bali pole yangu ni ya kuchagua Rais wa TLS Chama Chenu 'MAHIRI' cha wanasheria Tanganyika - TLS Ndugu Tundu Lissu ambae AMEDHIHIRISHA kuwa ameanza Rasmi Safari ya Kuizika TLS, kupitia taarifa yake kwa vyombo vya Habari kuhusiana na Tukio la IMMA advocates.
Nianze kwa kuweka msingi wa HOJA yangu kuwa sifurahishwi na kilichotokea kwenye IMMA advocates, ila pia SIFURAHISHWI zaidi na "AKILI NDOGO" za Rais wenu katika hatua za AWALI za kushughulikia suala hili.

Mimi ni Profesional communicator kama mwandishi wa Habari, na Nyinyi wanasheria ni Profesional kwenye Sheria, ukisoma na Kusikiliza kwa umakini TAARIFA ya Mhe Rais wa TLS utagundua makosa makubwa sana ya KIUFUNDI ambayo yanaifanya taarifa nzima kuwa kama taarifa ya Mfalme "****" na kwa sisi MAFUNDI wa taarifa tunasema taarifa ikikosewa katika UANDAAJI na UWASILISHWAJI inakuwa imekosa MASHIKO, na hivyo taarifa nzima kuwa BATILI.

KWANINI BATILI
1. Taarifa iliyowasilishwa na Rais wa TLS tayari kwa kiasi kikubwaa ilishatolewa na Chama cha wananchi CUF [HASHTAG]#teammaalim[/HASHTAG], ukisoma taarifa ya cuf ambayo ilitoka siku moja kabla ya hii ya Rais utaona nachosema, ila hii ya Rais imewaka mbwembwe ya Vifungu Vifungu vingi vya SHERIA tu, ila taarifa zote zimeonyesha kuwa IMMA advocate ni WABIA katika kazi mana cuf inatetewa na IMMA advocate na Rais Lissu anatetewa na IMMA advocate hivyo wote WANAOMBELEZA DHORUBA YA MMBIA WAO., japo TLS ni Chama na Lissu ni Rais, na ni mteja wa IMMA katika hoja hii ya kwanza nimalizie kwa kusema tu Hoi taarifa ni BATILI kwa kuwa Imekuwa taarifa ya KISIASA na Imetolewa na wanasiasa wa vyama viwili tofauti, japo Mmoja ni Rais wa TLS, hapa utaona sasa Hatari ya kuwa na Rais wa TLS ambae ni mwanasiasa.

2. Taarifa ni BATILI kwa kuwa imeanza kwanza kwa KUHUKUMU kuwa Ofisi za IMMA advocate zimepigwa BOMU na POLISI, japo hizi ni taarifa za AWALI lakini kwa maoni yangu TAARIFA haikupaswa kujielekeza kwenye kazi za mamlaka nyingine, mana kama mmeshajua waliolipua ni POLISI basi hamkuitaji kutoa taarifa Bali kufuata SHERIA kuwashtaki POLISI.
Katika hoja hii MWENDELEZO wake inasema wanavitaka vyombo husika wakiwemo "WATUHUMIWA" Polisi kufanya uchunguzi, mbele zaidi tena wanataka kukutana na "MTUHUMIWA" boss wao IGP, hivi hii ni SAWA WANASHERIA, mnataka kukutana kufanya nini tena na IGP au mkurugenzi wa usalama wa taifa ambae majuzi juzi hapa wakati wa Sakata la Bombadier Rais "WENU "alishema kuwa mkurugenzi wa usalama wa taifa" ANAMFUATILIA FUATILIA "sasa iweje Leo aombe mwenyewe kukutana na" MTESI " wake, NDIO MANA NASEMA HAPA KUNA TATIZO YA HIKI CHAMA KUONGOZWA NA MWANASIASA, labda niwakumbushe tu hawa wanasiasa enzi ya Lowassa Walisema" mwizi" alipokwenda kwao wakamuita mfalme wa AMANI hawa ndio wana SIASA.

3. Taarifa ni BATILI, kwa sababu taarifa inataka WANASHERIA kugoma jumanne na jumatano, huu ni MGOMO ambao katika taarifa yao wanaomba ufanywe UCHUNGUZI, lakini pia kwenye taarifa yao wanaomba kuonana na kaimu Jaji Mkuu ambae mmekuja kusema tena hapo Chini ASUSIWE hamtaki kwenda kwenye mahakama anazoziongoza, JAMANI mnajua mnachofanya? Hii ni sawa na KUJITEKENYA MWENYEWE KISHA UKACHEKA MWENYEWE. nadhani Wasomi wana Sheria tukubaliane katika jambo moja MGOMO au KUONANA na "WATESI "wenu huwezi kushika mambo mawili kwa wakati Mmoja lazima MOJA litaponyoka.

4. Hii taarifa ni BATILI, kwa sababu imemtangaza MGOMO pasipo kusema ADUI ni Nani, hivi Hebu tuambieni mnagoma mkilenga KUMUUMIZA Nani? Kuwaumiza wateja wenu walioko MAGEREZANI au? Hivi nyinyi hii kazi ya UANASHERIA ni ya kujitolea katika kazi zenu zote? Hivi hakuna pesa mmechukua za wateja wenu ambazo mnapaswa kuzifanyia kazi, au TUSEME na nyinyi "WEZI" mnachukua hela za wateja wenu kisha mnagoma?
Hebu mtuambie Nani ADUI YENU basi.

MASWALI MAGUMU ZAIDI TLS.

1. Hivi Mbona walipouwawa *WANASHERIA* na *MAWAKILI* nguli nchini, tena waliowasomesha na kuwafundisha *HAMKUGOMA KUSHINIKIZA HAKI ITENDEKE KAMA HIVI LEO,* au mmesahau Vifo vya *"UTATA"* vya Mawakili Marehemu Kapinga, Marehemu Mvungi, Marehemu Mwaikusa? Kwa kuwa mnasahau ngoja tuwakumbushe tu *HAKUNA NAMNA*, Leo hao wazee wamekuwa *"LIABILITY"* kwenu halafu cuf, Lissu, acaccia zimekuwa *"ASSET"*kwenu?

2. Hivi tangu lini mmeanza kushirikiana press releases na vyama vya siasa mfano cuf?

3. Hivi TLS kimekuwa Chama cha Siasa, au kwakuwa Rais wenu ni mwanasiasa?

4. Mnawezaje kuitenganisha TLS na siasa?

5. Katika Sheria kuna neno linaitwa *"INNUENDO"*hivi mnajua maana ya hilo neno katika Sakata hili la IMMA advocate?

6. Hivi mnajua IMMA advocate ni kampuni "inayotajwa" KUCHOTA mabilioni ya fedha za EPA kupitia kampuni ya DEEP GREEN kiasi cha *BIlioni 8* zilichotwa, mnajua hilo? kama hamjui nendeni Brella kisha mkasome anuani za Kampuni ya *DEEP GREEN,* kisha mtangaze *MGOMO.*

7. Hivi mnajua huyu Rais wenu Lissu akiwa Bungeni mwaka 2012 Aliitaja kampuni ya IMMA advocate kuwa ilizitetea kampuni za TanGold na Deep green microfinances *KUCHOTA* pesa za EPA, halafu Leo HAWAHAWA imma advocate ndio wanaomtetea Lissu katika kesi zake?

Hivi mnajua maana ya vita ya *KIUCHUMI,* adui yako anaweza kutumia *MKEO, WATOTO* na hata Ndugu zako ili mradi *APATE USHINDI.*

Mwisho, Nawapenda sana *WANASHERIA,* mana najua mchango wao katika taifa la Tanzania, nawathamini sana Wanasheria wamaotanguliza *UZALENDO* kwa taifa Lao pamoja na changamoto tunazopitia kama taifa Changa, Nawapenda Wanasheria wanaosem *KWELI* kwa maslahi ya taifa Lao na Sio *MATUMBO* yao.

Sasa Sikilizeni, *AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO.LEO TUNDU, TUNDUNI.*

Wasalamu
*Jerry C. Muro*
*28/08 /2017*
Nyokaaaa kazini ..... !!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kumbukumbu zangu na kama sikosei,Jerry Muro hata uvamizi wa Bashite clouds aliutetea hadharani.

Si hivyo tu,hata Manji alipokamatwa kwa mara ya kwanza kuhusiana na tuhuma za kutumia dawa za kulevya alionekana kuunga mkono kukamatwa kwake pale alipohojiwa channel 10 katika kipindi cha Mada Moto.

Huyo ndio Jerry.

U-DC unatafutwa kupitia migongo ya watu.
Ha ha Tundu Lissu, tunduni imewagonga vichwa kama nyoka......
 
..Muro nadhani ana tatizo na Tundu Lissu.

..statement ile ni ya Tanganyika Law Society na Tundu Lissu ni mjumbe tu.

..Jerry Muro anajitambulisha kama mtaalamu wa mawasiliano, lakini ameshindwa kuwasilisha hoja kulingana na viwango vya mwanataalum wa mawasiliano.

.."Professional communicator" hawezi kutoa taarifa huku akirusha vijembe "...TUNDU, TUNDUNI" au "AKILI NDONGO"

..muda wote wa andiko lake alikuwa amejificha, lakini mwisho ndiyo akafunua uhalisia wake kwa kumrushia kijembe Tundu Lissu.

..kwa hiyo utaona kabisa Jerry Muro yuko biased. Statement yake haikulenga kuwasaidia TLS bali kumshambulia Tundu Lissu.

..kosa lingine la Jerry Muro ni kuilaumu TLS kwa kutokugoma wakati wanachama wao maarufu walipouawa kutokana na mashambulizi ya kikatili. kwangu mimi hiyo siyo hoja. kama walikosea huko nyuma haimaanishi kwamba hawana uhalali wa kurekebisha makosa yao sasa hivi. Pia nyakati na mazingira ya matukio hutofautiana, na hivyo hati hatua wanazopendekeza TLS lazima zitatofautiana.
..amewakamata sehemu Nyeti eeeh,...
 
Ha ha haaa!.....kesi ya kuomba rushwa ya milioni 10 na kukutwa na pingu!..
 
Wakati vifo vinatokea Lisu alikua na wadhifa gan. We Domo zege acha ku kuropoka Yamekushinda Ya Lipuli unaamia kwenye sheria Mavichwa maji mengine bana Ukiwa unaropoka weka na akiba ya manenoooooo
Aisee tuheshimiane, mimi sio yanga. Usiniingize kwenye ushabiki wenu wa kijinga.
 
Kwa hiyo sifa ya kuteuliwa ni mpaka uwaponde akina Lisu!

Kwa hiyo Jerry Muro hapa ndo analipa fadhila ya kuwekwa Sumatra.!
 
Siyo bure wale wazungu walimtemeaga makohozi usoni.Mchagga wa kwanza kuwa ovyo haijawah kutokea.Ndo maana domo lake limefanana na la bashite.
Siku wachaga mkiacha kutanguliza uchaga wenu kwenye kila jambo mtaweza kuaminika na kuongoza nchi hii. Uchaga wenu unayumbisha hadi ndoa za vijana wenu waliooa au kuolewa na kabila zingine. Zama zimebadilika, badilikeni jamani..!
 
Nadhani huwa tuna shida ya kusikiliza au ya kuelewa au vyote pamoja; Lissu alisema waliokwenda kuvamia ofisi walivaa uniform za polisi! Kuna Watu wanaamini kwa kusema alivyo alimaanisha polisi inaweza kuwa Kweli au siyo Ila majambazi waliovaa kama polisi! Msemaji wa jeshi ya polisi alisema wavamizi walijifanya ni polisi na kuwahada walinzi! Maana yake ni kwamba alichosema Lissu na polisi kinafanana! Shida iko wapi!

Mosi matukio ya Watu kuvaa inform za majeshi yetu na kufanya matukio ni nyingi ukianzia clouds! Na bahati mbaya ni utamaduni mpya ambao unafanya Watu walaumu majeshi yetu.

Pili tunajenga utamaduni mbaya kabisa ambao si vema wa kwamba ukivaa uniform wananchi wanaweza kutii kumbe huyo ni jambazi lakini unaweza kumshambulia kwa kujiinda kumbe ni Watu wa majeshi yetu. Ni Muda mwafaka kutafakari kwa kina aina ya jamii tunayotaka kujijenga! Na pia tunaangalie mahusiona yenye afya Kati ya uniform za Kweli na zile za uongo.

SIKU Moja baada ya Ofisi za IMMMA Advocates zinazomilikiwa na Mawakili Fatma Karume na Lawrence Masha kuungua kwa shambulio la mlipuko wa Mabomu,Rais wa chama cha Mawakili Tanganyika Tundu Antiphas Lissu, amewataka mawakili wote nchini kutokwenda mahakamani siku ya jumanne na jumatano, kuonyesha kupinga vitendo walivyofanyiwa mawakili wenzao wa IMMMA, ambao ofisi yao ilichomwa moto.

Akizungumza kwenye mkutano na waandishi wa habari uliofanyika leo hii, Tundu Lissu amesema kitendo hicho kinaingilia uhuru wa wanasheria na taaluma ya sheria, kinahatarisha uhuru wa mahakama na utawala wa sheria kwa ujumla, na kuwataka mawakili walio nchini Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), kutoonekana mahakamani kufanya kazi yao.

"Baraza la uongozi linawataka wanachama wa TLS nchi nzima kususia kuhudhuria katika mahakama pamoja na mabaraza ya aina zote kati ya siku za jumanne na jumatano ya tar 29 na 30 Agosti 2017, kwa lengo la kuwaunga mkono mawakili wa IMMMA, na kuonyesha kutokukubaliana kwetu na vitendo vya kihalifu vya kuwashambulia mawakili hao kwa mabomu", alisema Tundu Lissu.

Tundu Lissu aliendelea kusema ..."Mawakili wa IMMMA wameshambuliwa ofisi zao zimepigwa mabomu, nyaraka zimepotea zingine zimeungua moto, hawataweza kwenda mahakamani kwa sababu vitendea kazi vyao vimeharibiwa, sisi mawakili wengine wote nchi nzima, tuna wajibu wa kuwaunga mkono mawakili wa IMMMA kwa kutoenda mahakamani vile vile, akiumizwa mmoja tumeumizwa wote, kwa hiyo tunawataka wanachama wetu popote walipo kesho kutwa wasiende mahakamni, wasiende kwenye mabaraza yoyote ili kuwaunga mkono wenzetu ambao wameshambuliwa", alisema Tundu Lissu.

Ofisi ya za mawakili wa IMMMA zilizopo Upanga jijini Dar es Salaam zimeungua moto usiku wa Ijumaa, na mpaka sasa waliohusika na tukio hilo bado hawajafahamika.
 
Tundu Lissu, TUNDUNI
Na Jerry C. Muro

Nianze kwa Kutoa pole kwa jumuiya nzima ya wanasheria nchini, pole yangu sio ya tukio la IMMA advocates, Bali pole yangu ni ya kuchagua Rais wa TLS Chama Chenu 'MAHIRI' cha wanasheria Tanganyika - TLS Ndugu Tundu Lissu ambae AMEDHIHIRISHA kuwa ameanza Rasmi Safari ya Kuizika TLS, kupitia taarifa yake kwa vyombo vya Habari kuhusiana na Tukio la IMMA advocates.
Nianze kwa kuweka msingi wa HOJA yangu kuwa sifurahishwi na kilichotokea kwenye IMMA advocates, ila pia SIFURAHISHWI zaidi na "AKILI NDOGO" za Rais wenu katika hatua za AWALI za kushughulikia suala hili.

Mimi ni Profesional communicator kama mwandishi wa Habari, na Nyinyi wanasheria ni Profesional kwenye Sheria, ukisoma na Kusikiliza kwa umakini TAARIFA ya Mhe Rais wa TLS utagundua makosa makubwa sana ya KIUFUNDI ambayo yanaifanya taarifa nzima kuwa kama taarifa ya Mfalme "****" na kwa sisi MAFUNDI wa taarifa tunasema taarifa ikikosewa katika UANDAAJI na UWASILISHWAJI inakuwa imekosa MASHIKO, na hivyo taarifa nzima kuwa BATILI.

KWANINI BATILI
1. Taarifa iliyowasilishwa na Rais wa TLS tayari kwa kiasi kikubwaa ilishatolewa na Chama cha wananchi CUF [HASHTAG]#teammaalim[/HASHTAG], ukisoma taarifa ya cuf ambayo ilitoka siku moja kabla ya hii ya Rais utaona nachosema, ila hii ya Rais imewaka mbwembwe ya Vifungu Vifungu vingi vya SHERIA tu, ila taarifa zote zimeonyesha kuwa IMMA advocate ni WABIA katika kazi mana cuf inatetewa na IMMA advocate na Rais Lissu anatetewa na IMMA advocate hivyo wote WANAOMBELEZA DHORUBA YA MMBIA WAO., japo TLS ni Chama na Lissu ni Rais, na ni mteja wa IMMA katika hoja hii ya kwanza nimalizie kwa kusema tu Hoi taarifa ni BATILI kwa kuwa Imekuwa taarifa ya KISIASA na Imetolewa na wanasiasa wa vyama viwili tofauti, japo Mmoja ni Rais wa TLS, hapa utaona sasa Hatari ya kuwa na Rais wa TLS ambae ni mwanasiasa.

2. Taarifa ni BATILI kwa kuwa imeanza kwanza kwa KUHUKUMU kuwa Ofisi za IMMA advocate zimepigwa BOMU na POLISI, japo hizi ni taarifa za AWALI lakini kwa maoni yangu TAARIFA haikupaswa kujielekeza kwenye kazi za mamlaka nyingine, mana kama mmeshajua waliolipua ni POLISI basi hamkuitaji kutoa taarifa Bali kufuata SHERIA kuwashtaki POLISI.
Katika hoja hii MWENDELEZO wake inasema wanavitaka vyombo husika wakiwemo "WATUHUMIWA" Polisi kufanya uchunguzi, mbele zaidi tena wanataka kukutana na "MTUHUMIWA" boss wao IGP, hivi hii ni SAWA WANASHERIA, mnataka kukutana kufanya nini tena na IGP au mkurugenzi wa usalama wa taifa ambae majuzi juzi hapa wakati wa Sakata la Bombadier Rais "WENU "alishema kuwa mkurugenzi wa usalama wa taifa" ANAMFUATILIA FUATILIA "sasa iweje Leo aombe mwenyewe kukutana na" MTESI " wake, NDIO MANA NASEMA HAPA KUNA TATIZO YA HIKI CHAMA KUONGOZWA NA MWANASIASA, labda niwakumbushe tu hawa wanasiasa enzi ya Lowassa Walisema" mwizi" alipokwenda kwao wakamuita mfalme wa AMANI hawa ndio wana SIASA.

3. Taarifa ni BATILI, kwa sababu taarifa inataka WANASHERIA kugoma jumanne na jumatano, huu ni MGOMO ambao katika taarifa yao wanaomba ufanywe UCHUNGUZI, lakini pia kwenye taarifa yao wanaomba kuonana na kaimu Jaji Mkuu ambae mmekuja kusema tena hapo Chini ASUSIWE hamtaki kwenda kwenye mahakama anazoziongoza, JAMANI mnajua mnachofanya? Hii ni sawa na KUJITEKENYA MWENYEWE KISHA UKACHEKA MWENYEWE. nadhani Wasomi wana Sheria tukubaliane katika jambo moja MGOMO au KUONANA na "WATESI "wenu huwezi kushika mambo mawili kwa wakati Mmoja lazima MOJA litaponyoka.

4. Hii taarifa ni BATILI, kwa sababu imemtangaza MGOMO pasipo kusema ADUI ni Nani, hivi Hebu tuambieni mnagoma mkilenga KUMUUMIZA Nani? Kuwaumiza wateja wenu walioko MAGEREZANI au? Hivi nyinyi hii kazi ya UANASHERIA ni ya kujitolea katika kazi zenu zote? Hivi hakuna pesa mmechukua za wateja wenu ambazo mnapaswa kuzifanyia kazi, au TUSEME na nyinyi "WEZI" mnachukua hela za wateja wenu kisha mnagoma?
Hebu mtuambie Nani ADUI YENU basi.

MASWALI MAGUMU ZAIDI TLS.

1. Hivi Mbona walipouwawa *WANASHERIA* na *MAWAKILI* nguli nchini, tena waliowasomesha na kuwafundisha *HAMKUGOMA KUSHINIKIZA HAKI ITENDEKE KAMA HIVI LEO,* au mmesahau Vifo vya *"UTATA"* vya Mawakili Marehemu Kapinga, Marehemu Mvungi, Marehemu Mwaikusa? Kwa kuwa mnasahau ngoja tuwakumbushe tu *HAKUNA NAMNA*, Leo hao wazee wamekuwa *"LIABILITY"* kwenu halafu cuf, Lissu, acaccia zimekuwa *"ASSET"*kwenu?

2. Hivi tangu lini mmeanza kushirikiana press releases na vyama vya siasa mfano cuf?

3. Hivi TLS kimekuwa Chama cha Siasa, au kwakuwa Rais wenu ni mwanasiasa?

4. Mnawezaje kuitenganisha TLS na siasa?

5. Katika Sheria kuna neno linaitwa *"INNUENDO"*hivi mnajua maana ya hilo neno katika Sakata hili la IMMA advocate?

6. Hivi mnajua IMMA advocate ni kampuni "inayotajwa" KUCHOTA mabilioni ya fedha za EPA kupitia kampuni ya DEEP GREEN kiasi cha *BIlioni 8* zilichotwa, mnajua hilo? kama hamjui nendeni Brella kisha mkasome anuani za Kampuni ya *DEEP GREEN,* kisha mtangaze *MGOMO.*

7. Hivi mnajua huyu Rais wenu Lissu akiwa Bungeni mwaka 2012 Aliitaja kampuni ya IMMA advocate kuwa ilizitetea kampuni za TanGold na Deep green microfinances *KUCHOTA* pesa za EPA, halafu Leo HAWAHAWA imma advocate ndio wanaomtetea Lissu katika kesi zake?

Hivi mnajua maana ya vita ya *KIUCHUMI,* adui yako anaweza kutumia *MKEO, WATOTO* na hata Ndugu zako ili mradi *APATE USHINDI.*

Mwisho, Nawapenda sana *WANASHERIA,* mana najua mchango wao katika taifa la Tanzania, nawathamini sana Wanasheria wamaotanguliza *UZALENDO* kwa taifa Lao pamoja na changamoto tunazopitia kama taifa Changa, Nawapenda Wanasheria wanaosem *KWELI* kwa maslahi ya taifa Lao na Sio *MATUMBO* yao.

Sasa Sikilizeni, *AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO.LEO TUNDU, TUNDUNI.*

Wasalamu
*Jerry C. Muro*
*28/08 /2017*
Jerry Huyu Amesahau wanasheria hawa hawa anao wakebehi ndio waliomtoa tunduni .kwa mchezo wake mchafu aliokuwa anajaribu kuufanya ukamgeukia vibaya !!!
 
badala ya kujadili mada tunaanza kujadili mtu personal ndomana jf inapoteza uthamani wake wa miaka ilee niliyojiungaga
Tatizo mada yake ina hukumu ndio maana tunamjadili yeye kama nani kutoa hukumu kwa kusema (Tundu tundunii )embu tegua hiki kitandawali tundu tundunii .nitarudii
 
Back
Top Bottom