Tundu Lissu: Sitarudi tena Tanzania hadi nihakikishiwe Usalama wangu

Mikocheni Junction

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2019
Messages
2,903
Points
2,000

Mikocheni Junction

JF-Expert Member
Joined Mar 20, 2019
2,903 2,000
Akihojiwa na Sauti ya Amerika kutoka Marekani, mwanasheria Mkuu wa CHADEMA na mbunge wa Zamani wa Singida Mashariki amesema hawezi kurudi tena Tanzania kwani wasiojulikana bado hawajapatikana.

Pia amesema ametishwa na mwandishi Cyprian Musiba kwenye mitandao.

Nilichopenda leo hajaongea kwa kufoka foka na mikwara km tulivyozoea labda ameanza kubadilika kimtazamo

Kingsmann

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Messages
1,748
Points
2,000

Kingsmann

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2018
1,748 2,000
Aliyekuwa mbunge wa upinzani katika bunge la Tanzania, Tundu Lissu, ambaye alinusurika jaribio la kuuawa miaka miwili iliyopita anasema amesimamisha kwa sasa mpango wake wa kurejea nchini Tanzania mpaka hapo usalama wake utakapohakikishwa.

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Messages
31,414
Points
2,000

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined Sep 22, 2008
31,414 2,000
Kuna vitu watu tulisema humu, tukabezwa...
P
 
Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Messages
78,616
Points
2,000

Mmawia

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2013
78,616 2,000
Mlivyotaka kumuua mliona ni sawa?
Akihojiwa na Sauti ya Amerika kutoka Marekani, mwanasheria Mkuu wa CHADEMA na mbunge wa Zamani wa Singida Mashariki amesema hawezi kurudi tena Tanzania kwani wasiojulikana bado hawajapatikana.

Pia amesema ametishwa na mwandishi Cyprian Musiba kwenye mitandao.

Nilichopenda leo hajaongea kwa kufoka foka na mikwara km tulivyozoea labda ameanza kubadilika kimtazamo

Forum statistics

Threads 1,343,347
Members 515,021
Posts 32,781,651
Top