Kakusaliti nini?Nenda kasome Biblia hukumu ya MSALITI ni nini?
Usimuamshe aliyelalaManeno ya Tundu Lissu siku zote yanaonekana kuwa mepesi lakini kwa watu wenye uelewa watatambua kuwa Tundu Lissu hajawai kukosea katika comments zake. Huwa anaongea huku akifahamu fika impacts za kile anachokisema. Sasa usipokuwa makini unaweza kumwelewa kiwepesi wepesi tu wakati yeye akimaanisha matokeo makubwa mbeleni.
MUNGU AKUBARIKI TUNDU ANTIPAS LISSU
Akihojiwa na Sauti ya Amerika kutoka Marekani, mwanasheria Mkuu wa CHADEMA na mbunge wa Zamani wa Singida Mashariki amesema hawezi kurudi tena Tanzania kwani wasiojulikana bado hawajapatikana.
Pia amesema ametishwa na mwandishi Cyprian Musiba kwenye mitandao.
Nilichopenda leo hajaongea kwa kufoka foka na mikwara km tulivyozoea labda ameanza kubadilika kimtazamo
Ukiona humuelewi TL ujue menyu yake sio ya chakula chakoSimkubali JPM Ila simuelewagi kabisa tundu lisu.anakelele zisizokua n.a. msingi
Nitakuwa mtu wa mwishoni kuamini una diniHa ha ha aliwadanganya atakuja September ,kwahiyo alitaka kula fedha za ubunge kwa ubunge hewa ,Bora Ndugai kaliona hilo kamfyekelea mbali
TL anatafuta political asylum Belgium
Kwa sasa anatumika na mabeberu kama condomAkihojiwa na Sauti ya Amerika kutoka Marekani, mwanasheria Mkuu wa CHADEMA na mbunge wa Zamani wa Singida Mashariki amesema hawezi kurudi tena Tanzania kwani wasiojulikana bado hawajapatikana.
Pia amesema ametishwa na mwandishi Cyprian Musiba kwenye mitandao.
Nilichopenda leo hajaongea kwa kufoka foka na mikwara km tulivyozoea labda ameanza kubadilika kimtazamo
Ndio mnajipa moyo kwa uongo wa kujitungia harudi Tanzania, huku mkijipa moyo eti soon atajiunga CCM aunge juhudi za yule bwana mkubwa alieanza #2020Campaign za uchaguzi mwaka huu 2019 (tena akiambatana na jopo la mawaziri wote).
Insecurity hio.
Mkuu mimi pia huwa nikiona jinsi baadhi ya watu wanavyofurahia unyama aliofanyiwa huyu jamaa huwa najikuta namuogopa sana mwanadamu.Hakuna Jambo limefanya niwachukie watz Kama ishu ya lisu ishu ya lisu imenifanya niwachukie Sana wenye mamlaka na praise power team yao yani msemakweli na mtetea haki ya kidemokrasia mnamtwanga risasi mnampokonya ubunge halafu mnafurahia na kumkejeli ushetani ulioje?
Naunga mkono uamuzi was Lissu. Huo ni uamuzi busara. Kama ni kurudi afanye hivyo mwaka 2026 jiwe likitoka.Hakuna mtu mwingine yeyote atakayehoji uamzi huo. Huo ni uamzi unaomhusu Tundu Lissu mwenyewe, familia yake na ushauri toka kwa ndugu na marafiki wa karibu zaidi naye wanaojali zaidi maslahi yake binafsi na mipango ya maisha yake atakavyo yawe.
Sidhani kwamba kuna mtu anaweza kuhoji uamzi wa namna hiyo.