Tundu Lissu: Sitarudi tena Tanzania hadi nihakikishiwe Usalama wangu

Mikocheni Junction

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2019
Messages
2,900
Points
2,000

Mikocheni Junction

JF-Expert Member
Joined Mar 20, 2019
2,900 2,000
Akihojiwa na Sauti ya Amerika kutoka Marekani, mwanasheria Mkuu wa CHADEMA na mbunge wa Zamani wa Singida Mashariki amesema hawezi kurudi tena Tanzania kwani wasiojulikana bado hawajapatikana.

Pia amesema ametishwa na mwandishi Cyprian Musiba kwenye mitandao.

Nilichopenda leo hajaongea kwa kufoka foka na mikwara km tulivyozoea labda ameanza kubadilika kimtazamo

 

Ema cris

New Member
Joined
Oct 1, 2019
Messages
3
Points
45

Ema cris

New Member
Joined Oct 1, 2019
3 45
Lissu yuko smart
Arudi nchini kufanya nini wakati hata ubunge wameshamnyang'anya?

wamemuondolea hata platform ya kuongea ya bungeni

kama wangekuwa smart, wangemuacha arudi then wakamnyang'anya ubunge akiwa ndani ya nchi

Sasa hivi atakuwa huru hata kuandika kitabu dhidi ya Jamaa
Wakati mwingine na nyie muwe mnajitathmini. Yaani huwa hamueleweki. Upepo ukienda magharibi mpo, ukienda mashariki mpo. Tarehe 4 September aliposema anakuja mlisema arudi, kaahirisha mnasema sawa. Huwa mnasikitisha sana, sijui ni stress au ni ule utafiti wa 32% ya watanzania ni vichaa.

Mwalimu nyerere aliwahi kusema "MTU Mwenye akili akikuambia jambo la kipumbavu na wewe ukilikubali atakudharau"
 

Uwazitu

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2019
Messages
488
Points
500

Uwazitu

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2019
488 500
H
Kama amekua hatarudi kwann amekuwa anadai kulipwa posho na mishahara Yale ya ubunge pia kwann kafungua kesi ya kunyang'anywa ubunge kauli zake Ni Kama kumpa Kiki ndugai kuwa aliona mbali kuwa watu wa Jimbo lake hawana mwakilishi
Hayo yamefanyika baada ya ndugai na serikali yake kupoka ubunge wake.

Ndipo suala la usalama wake likatamalaki
 

Nancyjoa13

Senior Member
Joined
May 18, 2018
Messages
150
Points
225

Nancyjoa13

Senior Member
Joined May 18, 2018
150 225
Akihojiwa na Sauti ya Amerika kutoka Marekani, mwanasheria Mkuu wa CHADEMA na mbunge wa Zamani wa Singida Mashariki amesema hawezi kurudi tena Tanzania kwani wasiojulikana bado hawajapatikana.

Pia amesema ametishwa na mwandishi Cyprian Musiba kwenye mitandao.

Nilichopenda leo hajaongea kwa kufoka foka na mikwara km tulivyozoea labda ameanza kubadilika kimtazamo

huyo ashaishiwa siasa
 

Kalamu1

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2018
Messages
3,573
Points
2,000

Kalamu1

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2018
3,573 2,000
amechukuwa uhamuzi wa busara sana, kuna kiongozi mstaafu pia amemshauri kwasasa asirejee had uyu baba amalize muda wake mwakani
Eenh, nimeipenda hiyo "hadi huyu baba amalize muda wake mwakani,' hata kama najua kwamba tutasubiri sana.
Amekwishatangaza yeye mwenyewe kwamba "hawezi kutoka madarakani na kuacha kazi za ujenzi wa 'mavitu' aliouanza."

Maana ya maneno hayo ni kwamba hawezi kutoka madarakani hadi 'adondoke chini', na hakuna ajuae Mungu kampa siku ngapi hapa duniani.
 

Kalamu1

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2018
Messages
3,573
Points
2,000

Kalamu1

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2018
3,573 2,000
Hakuna Jambo limefanya niwachukie watz Kama ishu ya lisu ishu ya lisu imenifanya niwachukie Sana wenye mamlaka na praise power team yao yani msemakweli na mtetea haki ya kidemokrasia mnamtwanga risasi mnampokonya ubunge halafu mnafurahia na kumkejeli ushetani ulioje?
Kuna mambo mengi ya kujifunza ndani ya jambo hili la Lissu na walio madarakani kuhusu waTanzania.

Inaonekana dhahiri anayetawala nchi anazijua vizuri sana tabia zao.
 

Maneno Meier

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2013
Messages
1,232
Points
2,000

Maneno Meier

JF-Expert Member
Joined May 12, 2013
1,232 2,000
Naunga hoja kabisa pambana ukiwa huko huko.Hata wana frelimo ANC walipambana wakiwa tanzania
Apambane against nini? Against SGR, STIGLERS GORGE, FLY OVERS, NDEGE, BARABARA ZA LAMI TANZANIA NZIMA, MELI TANO: NYASA, TANGANYIKA NA VICTORIA, UPANUZI WA BANDARI: DAR, TANGA NA MTWARA, MABASI YA MWENDO KASI, COMMUTER TRAIN, REA UMEME VIJIJINI, UDHIBIT WA RASILIMALI ZETU, UVUVI HOLELA, MIGOGORO YA ARDHI, NIDHAM KWA WATUMISHI WA SERIKALI, HOSPTALI, ELIMU BURE, VIWANJA VYA NDEGE, RELI YA ARUSHA, TERMINAL III AIR PORT DAR, VIWANDA, UCHUMI WA KATI, AMANI, KUTOKOMEZWA KWA RUSHWA na kadhalika na kadhalika?
 

kiker

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2014
Messages
1,048
Points
1,500

kiker

JF-Expert Member
Joined Dec 18, 2014
1,048 1,500
Naona mimamluki ya Jiwe yamejazana humu..sio wengi ila wana ac nyingi sana unaweza kudhani unabishana na zaidi ya watu mia kumbe wanne tu...anyway kwa mtu mwenye ubinadamu na utu..hawezi kukejeli,kudhihaki wala kuchekelea kitendo alichofanyiwa Lissu..ni pale tu unapokuwa na roho mbaya ya kishetani itakayokutuma uchekelee hicho kitendo hata kama huna dini!..
 

Miss Madeko

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Messages
3,328
Points
2,000

Miss Madeko

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2014
3,328 2,000
Maneno ya Tundu Lissu siku zote yanaonekana kuwa mepesi lakini kwa watu wenye uelewa watatambua kuwa Tundu Lissu hajawai kukosea katika comments zake. Huwa anaongea huku akifahamu fika impacts za kile anachokisema. Sasa usipokuwa makini unaweza kumwelewa kiwepesi wepesi tu wakati yeye akimaanisha matokeo makubwa mbeleni.

MUNGU AKUBARIKI TUNDU ANTIPAS LISSU

Ni ngumu sana kwa Prise Lumumba kukuelewa. Mimi ni binadamu unyama ukatili aliofanyiwa Hon. Tundu Lissu ni wa aibu kwa Taifa. watu wanachukulia juu juu tuu
 

Countrywide

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2015
Messages
3,703
Points
2,000

Countrywide

JF-Expert Member
Joined Mar 2, 2015
3,703 2,000
Hata mimi sipendi arudi mpaka mwaka kesho watakapo mtimua huyu mbaya wake, akija wakamtwanga risasi atatuliza wengi sasa matokeo Lisu 1-0wasiojulika ubao usome hivyohivyo
Alivyosema anarudi mkakenua meno na kumuita shujaa na tshirt za lissu welcome back mkauziwa.
Leo kasema harudi mnakenua tena, nyie ni zaidi ya minyumbu
 

Countrywide

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2015
Messages
3,703
Points
2,000

Countrywide

JF-Expert Member
Joined Mar 2, 2015
3,703 2,000
Naona mimamluki ya Jiwe yamejazana humu..sio wengi ila wana ac nyingi sana unaweza kudhani unabishana na zaidi ya watu mia kumbe wanne tu...anyway kwa mtu mwenye ubinadamu na utu..hawezi kukejeli,kudhihaki wala kuchekelea kitendo alichofanyiwa Lissu..ni pale tu unapokuwa na roho mbaya ya kishetani itakayokutuma uchekelee hicho kitendo hata kama huna dini!..
Mi nakejelu na namdhihaki pumbavu huyo lissu! Vutu lake
 

Drifter

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2010
Messages
2,133
Points
2,000

Drifter

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2010
2,133 2,000
Hakuna Jambo limefanya niwachukie watz Kama ishu ya lisu ishu ya lisu imenifanya niwachukie Sana wenye mamlaka na praise power team yao yani msemakweli na mtetea haki ya kidemokrasia mnamtwanga risasi mnampokonya ubunge halafu mnafurahia na kumkejeli ushetani ulioje?
Usipate taabu kwa hilo. Hii nchi ilijengwa kwa misingi ya ujanja ujanja wa kuvizia fursa. Nchi ya “watoto wa mjini”. Utu na “kujali wanyonge” ni kauli za kudanganyia mazoba. It’s a cruel society.

Nilishawahi kuwaambia jamaa zangu kuwa tunaishi kwenye nchi ya hatari. Wakafikiri utani. Hata Mwangosi, Ulimboka na Arusha miaka ile havikuwashtua. Awamu hii inazidi kudhihirisha ukweli huo. Watetezi wa ukatili nao wanashindana bila soni kuonyesha umahiri wao kwa vipande vya shekeli. It’s a bizarre country. On the way to the dogs.
 

Forum statistics

Threads 1,343,321
Members 515,007
Posts 32,780,485
Top