Hapo kuna point, mtuhumiwa Mkuu ni serikali. ..kuna hatari akirudi kichwakichwa tu
Ni kweli, nakumbuka kulichompata Benino Acquino wa Philippines, alishauriwa asirudi nyumbani lakini akakataa na kweli yakamkuta mchana kweupeee, RIP Benino
Hapo kuna point, mtuhumiwa Mkuu ni serikali. ..kuna hatari akirudi kichwakichwa tu
Unanitisha?? Kwanj unadhani naogopa kufa?? Kila mmoja atakufa including wewe mtoa hojautumie ushahidi kuandamana...
mdomo huponza kichwa
Akihojiwa na Sauti ya Amerika kutoka Marekani, mwanasheria Mkuu wa CHADEMA na mbunge wa Zamani wa Singida Mashariki amesema hawezi kurudi tena Tanzania kwani wasiojulikana bado hawajapatikana.
Pia amesema ametishwa na mwandishi Cyprian Musiba kwenye mitandao.
Nilichopenda leo hajaongea kwa kufoka foka na mikwara km tulivyozoea labda ameanza kubadilika kimtazamo
Viona mbali tulishajua mapema wewe utangaze kugombea nafasi ya uenyekiti chadema!
Kaa la motoViona mbali tulishajua mapema wewe utangaze kugombea nafasi ya uenyekiti chadema!
Nawe nimmoja wa wanaukoo wa Lissu? Kama sivyo, Basi punguza ujuaji kwa kushuhudia vya kusikia kwani siyo sifa njema kwa mtoto wa kiume!Nani kakuaminisha kuwa Tundu ni msemakweli? Huyo ni vuvuzela hata ukoo wake wanamjua hivyo!
na hayo CCM wametusaidia nini zaidi ya miaka 55 wako madaraani kuna jipya?Tujiulize, Lissu anaisaidia nini Tanzania au hata jimbo lake? Yeye arudi Tanzania au asirudi tupo vile vile.....hatumtaki abakie huko huko analelewa na bwana wake wa kizungu.
How uroho wa madaraka!?yaliyomfanya alipo sasa yalikwepo au hayakuepo!?Umoja na nani? Na Lissu? Yeye si ndiye aliyetukana sisi.
Alikubali kutumia na wazungu ili aokoe nafsi yake. Uroho wake wa madaraka umemwangamiza. Nina msikitikia sana!
Wakati mwingine na nyie muwe mnajitathmini. Yaani huwa hamueleweki. Upepo ukienda magharibi mpo, ukienda mashariki mpo. Tarehe 4 September aliposema anakuja mlisema arudi, kaahirisha mnasema sawa. Huwa mnasikitisha sana, sijui ni stress au ni ule utafiti wa 32% ya watanzania ni vichaa.Lissu yuko smart
Arudi nchini kufanya nini wakati hata ubunge wameshamnyang'anya?
wamemuondolea hata platform ya kuongea ya bungeni
kama wangekuwa smart, wangemuacha arudi then wakamnyang'anya ubunge akiwa ndani ya nchi
Sasa hivi atakuwa huru hata kuandika kitabu dhidi ya Jamaa