Kuna yule wa Chato aliyekimbia kwao alivyoona ugonjwa wa korona.Rais wa facebook, ngoja tumsubirie wa twitter na instagram.
Tofauti ya marekani na sisi Ni rangi tu..kule yanafanywa na weupe na huku yanafanywa na weusiAtakua ni Rais wa kwanza kutawala nchi huku akiwa anaishi kwenye nchi nyingine. Arudi sasa Tanzania aje apambane na Swahiba wake Magufuli.
Baada ya Nyerere, Lissu ndio mwanasiasa mwenye uwezo wa kuona mbali kwa faida ya Taifa.Rais wa facebook, ngoja tumsubirie wa twitter na instagram.
Ameshindwa kabla hajaaanzaTunasubiri nondo hizo,maana hotuba zake ni shule
Waoga wote huonekana wazalendo katika serikali ya kidikteta!Rais wa facebook, ngoja tumsubirie wa twitter na instagram.