Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Nitazungumza na Taifa Jumatatu, 8 Juni, 2020 kupitia Facebook Live Streaming | 14:00 EAT 13:00 CET 7:00AM EST (USA)

Kwa watu walio karibu na yeye wamweleze kuwa aonyeshe ujasiri wa kuelezea hatima ya dereva wake na ni kwa ni amemweka nje ya familia yake muda huo wote akitoa sababu zisizoshikika. Na nilazima aje naye akimwacha asishangae yatakayomtokea
 
Atazaungumza na Taifa lipi mbona kama hakutaja Taifa atakalozungumza nalo, au saa sita imeshampita tayari
Duniani kwako, au wewe unasema? Maana ukita lugha ya Yai unapata, ukiwa lugha yako ya Tandale unapata.
 
Hii inaonyesha namna gani ameshafeli hata kabla ya kuchuka fomu. Ina maana watanzania wote wana access ya facebook. Hafai anabagua watu wa vijijini na wasio na smart phones. Mabeberu walisha mharibu hana maisha ya kitanzania tena
 
Kwa watu walio karibu na yeye wamweleze kuwa aonyeshe ujasiri wa kuelezea hatima ya dereva wake na ni kwa ni i amemweka nje ya familia yake muda huo wote akitoa sababu zisizoshikika. Na nilazima aje naye akimwacha asishangae yatakayomtokea
Katika vitu vya ajabu katika nchi na UVCCM ni kuwa mjinga katika kuelewa vitu vidogo tu.

Hivi kama Serikali hii walikataa video ya Makonda pale clouds kwa usiku wa manane,Je wataweza kutoka zile CCTV CAMERA pale dodoma?,Au dereva wa lisuu alisepa nazo

Tujipe na muda wa kufikiria Mambo ya mission dogo tu.

Kijana Lissu ni Mwanasheria makini !! Sio kama baba wa watu wa pale clouds ambaye mmempa sumu na kumuuwa.

Mwisho namalizia na swali kwako,Kawaulize hivi kwani zile CCTV camera zipo wapi?

Jibu la kufikirika" umetumwa wewe na mabeberu"
 
Thubutu afungwe lisu najua alichopanga
 
Hakuna CCTV iliyoondolewa popote. Ni hoja za kipuuzi zinazojengwa kuwapumbaza wasiojua kitu
 
Ok!! Wanaweza kuonekana kama wale wa Clouds pale!! (Makonda ndakta)

Watuambie tu, sisi tupo tayari.
 
Atahutubia akiwa Facebook. Mwambie makamanda tunasubiri arushe bundle. Kura zake pia tuko naye kwa Twitter, Insta na Facebook
 
Katika vitu vya ajabu katika nchi na UVCCM ni kuwa mjinga katika kuelewa vitu vidogo tu.

Hivi kama Serikali hii walikataa video ya Makonda pale clouds kwa usiku wa manane,Je wataweza kutoka zile CCTV CAMERA pale dodoma?,Au dereva wa lisuu alisepa nazo

Tujipe na muda wa kufikiria Mambo ya mission dogo tu.

Kijana Lissu ni Mwanasheria makini !! Sio kama baba wa watu wa pale clouds ambaye mmempa sumu na kumuuwa.

Mwisho namalizia na swali kwako,Kawaulize hivi kwani zile CCTV camera zipo wapi?

Jibu la kufikirika" umetumwa wewe na mabeberu"
Waliompiga Risasi waliziiba. Sasa aje ahojiwe na mengine
 
Back
Top Bottom