Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 18,743
- 29,284
Unajua ni taasisi ngapi za serikal zinategemea internet kuendesha mifumo yake.kesho ndo kesho. simba wana mwamba wa lusaka. sisi tuna mwamba wa Tanzania.
Lissu atanguruma kesho. kuweka mezani mbivu na mbichi kuelekea uchaguzi mkuu.
je, mtandao wa internet utazimwa?
JF itakuwa haifunguki?
nawaza tu.
Inchaji.
Wewe kapuku ndio wa kuzuia mkutano wa Kimataifa ?Tushatoa onyo,marufuku kusambaza hiyo hotuba.
Kesi ya uchochezi utakutana nayo.
Habari ikitua Jf jua imetua dunia nzima .Chadema wapi mnakwama? Yani hii hotuba ya Lissu haijafanyiwa enough promo kabisa, Director of Comms Jon Mrema naona anahangaika na ku retweet post za kigogo
Halafu wanazipiga hizo hela kibwege sana !Le mutuz na cyprian Musiba wameenda kuomba pesa CCM ili wazitumie na waganga wa kienyeji kumzuia Tundu kukumbuka kuyasema yale mabaya ya Serikali ya CCM
Mnatuchanganya humu ndani , tukamsikilize nani Mtawalala au Mwanasiasa na nadhani itakuwa ni wakati mmoja. Inanikumbusha yale maaandamano ya ukuta na zoezi la usafi wa jijiNgoja tusubiri lakini mkumbuke Makonda kesho anaongea na vyombo vya habari
Corona si tulishaifanyia hitma kule Coco Beach swahiba.Amegundua chanjo ya corona?
Sio hapa kwetu bali huko duniani chanjo bado inahitajika.Corona si tulishaifanyia hitma kule Coco Beach swahiba.
Kwani Lissu ni mkemia?Sio hapa kwetu bali huko duniani chanjo bado inahitajika.
Labda, ntajuaje?Kwani Lissu ni mkemia?
Sijaelewa mkuuNaona moderators washauficha uzi wa onyo kwa wale watakaosambaza hotuba ya Lissu.
Hawawezi serikali ina njaa wanajua watapiga helaHapa tcra lazima wazime mtandao
Wa Twitter yuko Kigogo 2014 nenda kaone madudu ya serikaliRais wa facebook, ngoja tumsubirie wa twitter na instagram.
Hana jipya awadanganye nyie wajinga wenzake,sasa Lissu ye ni nan tukae tunasilikiza? Si bora niende kulima mboga mboga zangu tu.Kujenga Taifa? Wakati watu wapo hoi!!! Ni ujinga wa maisha, Yani familia yako inakwenda kuwa tengemezi kwa kutofikiria. Nonsense kabisa
Mabeberu na kampuni zao sasa hivi wanakuja kivingine. Serikali inapata 16% na 50% economic benefits,kitu ambacho mtetezi wa mashoga alikuwa hataki serikali inufaike.