Tundu Lissu: Nitarejea Tanzania iwapo nitaruhusiwa kuanika ‘Maovu’ ya Utawala wa Magufuli

Lissu kama ulikosewa samehe tu
Bado unataka kubishana na mtu aliyefariki
Lissu rudi uwe kama lissu wa zamani
Maana ulikuwa Siyo mtu wa malalamiko

Ova
 
Utetezi dhaifu sana mkuu, mbona Africa ya Kusini Tanzania iliishikia bango mpaka makaburu wakabadilika na kukubali mfumo wa demokrasia, je SA sio nchi ya KI Africa?
Hiyo ni jinsi ulivosomeshwa huko shule ila ni tofauti kabisa.
 
Hiyo ni jinsi ulivosomeshwa huko shule ila ni tofauti kabisa.
Mkuu labda wewe ndio umesomeshwa, mimi nime kusanya historical facts. Kwani SA haikuwa chini ya siasa ya ki ubaguzi? Mkuu juhudi wapiganaji wa SA na za nchi za mstari wa mbele zikiongozwa na Tanzania, ndio zilizozaa matunda ya kuondoa mfumo wa kibaguzi na kuweka mfumo wa kidemokrasia.
 
Basi sawa mkuu
 
Tundu Lissu Asema Atarejea Tanzania Iwapo Ataruhusiwa Kuanika ‘Maovu’ Ya Utawala Wa Magufuli

NA WANGU KANURI

MwanasiasaA mtajika wa Tanzania na mpinzani wa chama cha CHADEMA, Bw Tundu Antiphas Mughwai Lissu hivi sasa amesema kuwa yupo tayari kurejea nchini Tanzania lakini kwa sharti moja kuwa, kurejea kwake kutalingana na kama serikali ya Tanzania ipo tayari kuyaorodhesha ‘maovu’ yaliyofanywa chini ya uongozi wa marehemu John Pombe Magufuli.

Mpinzani huyu yupo katika nchi ya Ubelgiji ambako alihamia baada ya kupinga matokeo ya kura ya uchaguzi ya mwaka 2020 ambayo alisema yalikuwa ghushi na yalikiuka demokrasia.

Bw Lissu alisafirishwa hadi kituo cha ndege na ubalozi wa Amerika, Ujerumani na hatimaye kufika Ubelgiji mafichoni. Itakumbukwa kuwa Bw Lissu aliponea mauaji ya mwaka 2017 na akarejea nchini Tanzania mwaka jana ili kutilia shaka na kukataa ushindi wa mara ya pili wa rais John Magufuli.

“Nimezipokea habari kuhusu kifo cha rais Magufuli lakini hazijanitamausha kwani nilitarajia kifo chake baada ya kuandika kwenye ukurasa wangu wa Twitter nikiuliza yuko wapi rais Magufuli na hali yake ya afya iko vipi, tarehe 7 mwezi Machi, 2021? Wakati huo ambao niliuliza, nilikuwa nimepokea ujumbe kuhusiana na hali yake ya afya huku nikielezwa kuwa alikuwa ameupata ugonjwa wa Covid-19 na alikuwa mgonjwa sana.

“Kwa hivyo, habari za leo hazijanijia kwa mshtuko ila jambo ambalo linanishangaza ni kuwa serikali ya Tanzania inazidi kudanganya hata sasa akiwa amefariki. Magufuli amefariki kwa sababu ya corona. Pili, Magufuli hajaaga jana usiku lakini aliaga Jumatano ya wiki jana. Isitoshe, kifo chake kinakuja baada ya mapuuza yake ya ugonjwa wa Covid-19 na kutovaa maski huku akiamini dawa za miti shamba na kutupilia mbali ripoti za kisayansi kuhusiana na ugonjwa huu,” akasema Tundu Lissu.

Ujumbe wake kwa Watanzania ulionyesha maono mapya haswa sasa ambapo rais Magufuli amefariki.

“Ni fursa ya kufungua ukurasa upya katika nchi ya Tanzania. Tunahitaji mwanzo mpya. Tunahitaji kujenga nchi yenye udemokrasia, nchi inayoheshimu haki za kimsingi za binadamu na utawala wa sheria.

“Tunahitaji kujenga mfumo wa kisiasa ambao unawashutumu viongozi wasiowajibika kwani hatujakuwa na fursa hii kwa miaka tano iliyopita chini ya uongozi wa rais Magufuli. Hivi sasa sababu amefariki, ni wakati wa Tanzania kuurejesha urazini wake na kuchukua fursa hii kwa moyo mkunjufu,” akaongezea Bw Lissu.

Isitoshe, alisema kuwa Bi Samia Suluhu ataweza kumudu Tanzania kwani alipokuwa akifanya kazi na makamu huyu wa rais, Bi Suluhu alikuwa mtu tofauti sana na rais Magufuli.

Alieleza kuwa japo Bi Suluhu alisikiza na kupokea ukosoaji kwa njia nzuri, marehemu rais Magufuli aliyachukulia makosaji haya kibinafsi na kamwe hakuyavumilia.

Kwa mtazamo wake Bw Lissu, Bi Suluhu ataongoza nchi ya Tanzania kwa utofauti iwapo atasitisha sera za kupotosha na kuwagandamiza watu alizoweka rais Magufuli na kuanzia mkondo mpya kwa kuwaita wapinzani kama yeye na wale wengine waliofurushwa na kufungwa gerezani na rais Magufuli.

Vile vile Bi Samia ana kazi nyingi ya kurekebisha uovu aliofanya rais Magufuli ndani ya nchi ya Tanzania na hata katika mahusiano ya Tanzania na mataifa jirani.

Hali kadhalika, Bw Lissu alisema kuwa ataiandika barua kwa umma kuhusiana na mwelekeo wake na wa wenzake ili kutoa mwanga katika mambo ya kisiasa.

“Hatuwezi kuendelea na ‘Umagufuli’ bila Magufuli. Hii inamaanisha kuwa taifa sharti libadilike. Katiba lazima iangazwe upya kwani ilihujumiwa na rais Magufuli tangu mwaka wa 2014.

“Isitoshe, waliofungwa kwa sababu ya nafasi zao za kisiasa waachiliwe huru, waliofurushwa kutoka nchi ya Tanzania warejeshwe na tukomeshe unyanyasaji wa haki za kibinadamu ambao ulikuwa kielelezo cha uongozi wa rais Magufuli. Tuweke huru vyombo vyetu vya habari na vyama vingine vya kisiasa,” akasema Bw Lissu.

Matamshi yake Bw Lissu yaliibua hisia mseto huku akikashifiwa na kupongezwa kwa usawa.

“Hutawahi ongoza Tanzania, Bw Tundu. Kusherehekea kifo cha mtu si jambo la Kiafrika. Mbona mna tamaa ya kutufanya tuamini kuwa alifariki sababu ya Covid-19?” akauliza @aamutambara.

“Bw Lissu anazungumza kana kwamba anasherehekea kifo chake rais Magufuli. Mtu amweleze Bw Lissu kuwa tamaduni yetu haituruhusu kusherehekea kifo cha mtu,” akasema @CShitiabai.

“Utamaduni wa Kiafrika hauturuhusu kusherehekea kifo cha mmoja wetu hata ingawa yeye ni adui. Bw Tundu Lissu sharti ajue hivyo,” akaeleza @Danmusyoka7.

“Ningekuwa ninasherehekea iwapo ningekuwa Bw Tundu. Fikiria kuhusu mtu aliyeamuru ufyatuliwe risasi nyingi zinazofuatana mtawalia kana kwamba wewe si mwanadamu? Ingekuwa mimi ningekuwa napiga sherehe sasa,” akaandika @taller056.

“Ninasimama naye Bw Tundu Lissu. Ikiwa ungenifyatulia risasi milioni mwilini, ningekukujia kwa kila kitu nilicho nacho. Mtu hujichumia heshima, si kuamrisha watu wakuheshimu. Kauli hii inaandamana na kutaka neema kwa watu,” akasema @gabrieloguda.

“Ndugu yangu Bw Tundu Lissu, risasi 16 hazingekuua sababu Mungu alitaka ujionee kifo cha mtu ambaye alitaka kukuua. Hatusherehekei kifo chake, lakini kwa kila jambo unalolifanya kuna matokeo. Ukimtamkia mwenzako mabaya, yatakupata wewe,” akahitimisha @TonyMureithi

“Bw Tundu Lissu alikuwa na uhakika kuwa rais Magufuli hayupo tena. Alipokuwa akiandika kwenye ukurasa wake wa Twitter alifanya hivyo akiwa amejiamini sana. Kile tu alitaka ni hakikisho kupitia tangazo rasmi,” akaandika @iamjoseh_
Habari Zinazohusiana Na Hii
Yeye abaki huko aendelee kulegeza kiuno.
Msiba utaisha tutaendelea mbele kwa kutekeleza mipango ya nchi kwa ustadi.
Hatuhutaji story zake, yeye aendelee na R Amsterdam wake huko.
 
Lissu akirudi bongo nitampiga RISASI Mimi mwenyewe, sitanii. Nimeshaandaa magazine za kutosha. Washtue MODS, toa taarifa popote Ila huu ndo ukweli. Hii Vita ni kama 2Pac na Notorious B.I.G ili pande zote zi balance akifa mmoja lazima na mwingine afe. Mfikishie huu ujumbe TUNDU LISSU. Hata asije leo asubiri 2025 akitua nchini tu ndani ya siku 30 lazima tumuondoe. Hii Vita aliyoanzisha imemzidi kimo.MARK MY WORDS.
 
Kwaiyo Lissu kamuua JPM?
 
inatia hasira sana mdau.hapa mim mikiona hotuba za mzee nashikwa na.machozi
 
Unakubali tulikoseana?
Uongozi wa maccm chini ya JPJM uliwaumiza Sana waTanzania ndiyo mana bado watu Wana sumu Kali,

Ndy maaana niliaandika "ifike wakati tusameheane Tu"
Waswahili wanasema yaliyopita simbele tugange yajayo.
 
Kauli za kuwafurahisha mabwana zake mabeberu .
CCM wakienda ulaya kuomba omba misaada hupiga magoti na kuwaita wazungu wafadhili wahisani lakini hao hao wazungu wakikataa ujinga upumbavu unyanyasaji wa CCM kwa wapinzani ndipo CCM hugeuka na kuwaita wanaume wenzenu mabeberu utazani nyinyi CCM ni mbuzi jike.
 
Kwan ye amewafanyia nn watz! C bora maguful hii nchi kuna mema ameufanyia!!

Anaongea mtu ambae hajawai hata jenga barabara ya km1
Kwani magufuli kajenga barabara kwa pesa yake tokea mfukoni? Barabara hujengwa kwa pesa za walipa kodi watanzania wote tena ujue wapinzani ndiyo walipa kodi wazuri wakifuatiwa na watu wasio na vyama
 
Uongozi wa maccm chini ya JPJM uliwaumiza Sana waTanzania ndiyo mana bado watu Wana sumu Kali,

Ndy maaana niliaandika "ifike wakati tusameheane Tu"
Waswahili wanasema yaliyopita simbele tugange yajayo.
Uliwaumiza wezi, wazembe, watu mishahara hewa, wauza unga, vidomodomo, Wawekezaji makanjanja, na wakili wao
 
Lissu akirudi bongo nitampiga RISASI Mimi mwenyewe, sitanii. Nimeshaandaa magazine za kutosha. Washtue MODS, toa taarifa popote Ila huu ndo ukweli. Hii Vita ni kama 2Pac na Notorious B.I.G ili pande zote zi balance akifa mmoja lazima na mwingine afe. Mfikishie huu ujumbe TUNDU LISSU. Hata asije leo asubiri 2025 akitua nchini tu ndani ya siku 30 lazima tumuondoe. Hii Vita aliyoanzisha imemzidi kimo.MARK MY WORDS.
Wewe unatakiwa upigwe kwanza risasi ili uwe sawa na Lissu , kisha ndio itajulikana kama utawapenda waliotaka kukuua.
 
Back
Top Bottom