Damu za watu zisizo na hatia ni laana Kwa nchi mambo huwa hayaendi hadi damu ile ilipe kisasi Kwa wahusika,ambalo hilo ni lazima kabla hawajamaliza mda wao duniani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
AmenMungu ni Mkubwa mimi niko kwenye sector kubwa wafanyakazi walipockia Lissu kapigwa risasi walichanganyikiwa Kwenye taasisi Kubwa mimi Ni mkatoliki Nilienda kanisani Nikasali Ilikuwa Ni Siku ya kuabudu Ekarist Nikamwambia Yesu wa Ekarist mponye Lissu Fanya muujiza Nilisali Mpaka nikalia machozi Nashukuru Mungu alijibu Maombi yangu hata Wale ambao hawasali walisali hata wapagani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mtu nilikuwa namwambia habari hizi juzi,alishangaa sana!Wana jamvi kushambuliwa kwa lisasi zaidi ya 30 kwenye mwili wa TUNDU LISSU na kuendelea kuwa hai hadi leo ni miujiza ya kitume kwa huyu binadamu na tumtumie ili aweze kutuvusha kwenye bahari ya shamuView attachment 845792
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wengine ni wapumbafu; wanafikiri hapa duniani tumekuja kuja bila mfumo wowote; yaani hakuna mwenye mamlaka ya kiuumbaji; sasa wamejua na bado laana itawatafuna; watakosa amani hata kama wana mamlaka makubwa hapa duniani. Huyu ndiye MUNGU ya Elia; Ibrahim na Yakob ninaye mzungumzia.Mungu Yupo.... Kama Mungu kakataa jambo hili lisitokee basi ujue anataka kuwaumbua wabaya wake au yetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama lissu angekuwa anafanya unachokisema hakika Mungu wa mbiguni angempiga hata na pigo la ububu ili dunia nzima ijue..... Lakini kwa kuwa Mungu wa mbiguni ni wa haki akaamua kumwokoa mtoto wake Lissu dhindi ya yule jiwe wa pale magogoni aliyejifanya mungu mtu.Mungu anampenda sana Lissu lakini kutokana na uasi anaoufanya huyu Lissu kwa taifa lake Mungu akaamua kumkanya ili aache ushenzi wake huo. Akaruhusu aumizwe vibaya Ila asife. Kama Lissu hataonyeka na kuacha kuuhadaa umma wa Tanzania basi tusishangae Mungu akatenda mabaya zaidi kwake
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikweli kabisa mkuu na hili liwe fundisho kwetu sisi viumbe dhaifu tuwacha kushupaza shingo kwa shetani na sasa tumrudie munguKuna mtu nilikuwa namwambia habari hizi juzi,alishangaa sana!
Kibinadamu unaweza kufa hata kwa risasi MOJA,lakini kwa nguvu ya MUNGU risasi 38 mtu ANAPONA!!!!!!!!
HUU NI ZAIDI YA USHUHUDA.
Wanapoendeshwa na yale mav8 na ulinzi wa binadamu 24/7 wanajiona wameshampindua na Mungu wa mbinguni ambaye alitamka iwe mbingu na ikawa, ambaye alitamka iwe nchi na ikawa.Watu wengine ni wapumbafu; wanafikiri hapa duniani tumekuja kuja bila mfumo wowote; yaani hakuna mwenye mamlaka ya kiuumbaji; sasa wamejua na bado laana itawatafuna; watakosa amani hata kama wana mamlaka makubwa hapa duniani. Huyu ndiye MUNGU ya Elia; Ibrahim na Yakob ninaye mzungumzia.
Ni kweli; lakini wanajua walikuwepo akina Mfalme Daudi enzi hizo; walikuwa na mamlaka makuu; lakini ilifikia wakaingia mgogoro na Muumba; mfalme Daudi anafariki anasema wosia kwamba " hajawahi kumwona mwenye haki akadhurumiwa au hata watoto wake wakalala njaa, mwenyezi MUNGU ni mwaminifu na wa haki daima"Wanapoendeshwa na yale mav8 na ulinzi wa binadamu 24/7 wanajiona wameshampindua na Mungu wa mbinguni ambaye alitamka iwe mbingu na ikawa, ambaye alitamka iwe nchi na ikawa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na pia mwenyezi mungu hazihakiwi na hakuna binadamu wa kujilinganisha naye wala kumpangiaNi kweli; lakini wanajua walikuwepo akina Mfalme Daudi enzi hizo; walikuwa na mamlaka makuu; lakini ilifikia wakaingia mgogoro na Muumba; mfalme Daudi anafariki anasema wosia kwamba " hajawahi kumwona mwenye haki akadhurumiwa au hata watoto wake wakalala njaa, mwenyezi MUNGU ni mwaminifu na wa haki daima"
Walijidanganya kuwa wapo karibu na munguUhai wa binadamu upo mikononi mwa hakuna awezaye kuutoa bila yeye.
Roho ya Shetani haijifichi?!!!!!!!!!!????Mungu anampenda sana Lissu lakini kutokana na uasi anaoufanya huyu Lissu kwa taifa lake Mungu akaamua kumkanya ili aache ushenzi wake huo. Akaruhusu aumizwe vibaya Ila asife. Kama Lissu hataonyeka na kuacha kuuhadaa umma wa Tanzania basi tusishangae Mungu akatenda mabaya zaidi kwake
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wanamna hiyo huwa hawana aibu wala hawana uwezo wa kujua baya na zuri maaana washa laaniwa tayariWatu wengine ni wapumbafu; wanafikiri hapa duniani tumekuja kuja bila mfumo wowote; yaani hakuna mwenye mamlaka ya kiuumbaji; sasa wamejua na bado laana itawatafuna; watakosa amani hata kama wana mamlaka makubwa hapa duniani. Huyu ndiye MUNGU ya Elia; Ibrahim na Yakob ninaye mzungumzia.
Ategemeaye ndumba ni ngumu sana kuelewa,maana anaamini ataishi mileleWatu wengine ni wapumbafu; wanafikiri hapa duniani tumekuja kuja bila mfumo wowote; yaani hakuna mwenye mamlaka ya kiuumbaji; sasa wamejua na bado laana itawatafuna; watakosa amani hata kama wana mamlaka makubwa hapa duniani. Huyu ndiye MUNGU ya Elia; Ibrahim na Yakob ninaye mzungumzia.
Ila kwa kweli Tumshukuru saana Mungu na serikali kwa kufanya muujiza wa kuokoa maisha yake pale DODOMA GENERAL HOSPITAL.Risasi 38 za Sub Machine Gun (SMG) zikuingie mwilini then upone aisee
Hata waliozicharaza hawakuamini kama jamaa kapona; walijua wameshamtoboa toboa kina kona ya mwili.
Miujiza huwa ipo hasa kama Mwenyezi MUNGU bado anamakusudi na wewe hapa duniani.
Mobutu alipozidiwa Morocco aliwaasa watu wasiibe wala kuchezea Mali za umma,Iddi amini alijutia sana uovu wake na kusema yote ya dunia ni batili,alikuwa akishinda msikitini Saudi Arabia kama alipata nafasi ya kufanya toba Kwa mola wake,Mungu atamsamehe,Gaddafi akupata nafasi ya kuomba toba kabla ajafumuliwa na dogo, ni ngumu sana kuelewa mambo ya universal kama unavaa hirizi.Ndumba upunguza uwezo wa kufikiri.Ni kweli; lakini wanajua walikuwepo akina Mfalme Daudi enzi hizo; walikuwa na mamlaka makuu; lakini ilifikia wakaingia mgogoro na Muumba; mfalme Daudi anafariki anasema wosia kwamba " hajawahi kumwona mwenye haki akadhurumiwa au hata watoto wake wakalala njaa, mwenyezi MUNGU ni mwaminifu na wa haki daima"
Wengi utegemea ndumba, Kazi ya ndumba ni kukutengenezea uwezo bandia wa kufikiri, maana Kazi yake kuu ni kupunguza uwezo wa kufikiri( general knowledge)Watu wanamna hiyo huwa hawana aibu wala hawana uwezo wa kujua baya na zuri maaana washa laaniwa tayari
Sent using Jamii Forums mobile app