Tundu Lissu ni uwezo wa malaika

Tundu Lissu ni uwezo wa malaika

Watesi wake hawana usingizi kwa sasa maana kwa risasi zile halafu mjomba akabaki ananyata lazima kiwewe kiwapande..kama movie la kinaigeria lazima wahisi jamaa ni mzimu watakubali
 
Huyo driver nani alimpa hayo maono ya kulaza kiti... Think big ndugu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ulifanikiwa kusikiliza mahojiano yake na azam t.v kaongea yote aliokuwa anaambiwa na dereva wake kabla ya shambulio kutokea maana alikuwa nataka kufungua mlango wa gari ashuke ndio dereva akamlazim "usishuke"wakati huo nyuma pembeni ndio gari la wasambulizi lilipokuwa na baada ya dereva kuona kama kunabkitu kinataka kutokea baada ya kuchelewesha kufungua huo mlango ndipo alipomuamuru alaze kiti alale
 
Watesi wake hawana usingizi kwa sasa maana kwa risasi zile halafu mjomba akabaki ananyata lazima kiwewe kiwapande..kama movie la kinaigeria lazima wahisi jamaa ni mzimu watakubali
Hivi ukienda mawindoni na manati ukalenga njiwa jiwa likapita free huwa unajutia?
 
Kama ulifanikiwa kusikiliza mahojiano yake na azam t.v kaongea yote aliokuwa anaambiwa na dereva wake kabla ya shambulio kutokea maana alikuwa nataka kufungua mlango wa gari ashuke ndio dereva akamlazim "usishuke"wakati huo nyuma pembeni ndio gari la wasambulizi lilipokuwa na baada ya dereva kuona kama kunabkitu kinataka kutokea baada ya kuchelewesha kufungua huo mlango ndipo alipomuamuru alaze kiti alale
Mkuu yote tumeshayasikia. Swali langu unafikiri ni nani aliyempa hayo maono. Maana unasema hata kama Mungu yupo lakini dereva alifanya kazi kubwa kulaza kiti. Hivi huwezi kuona hata huko kulaza kiti na yote uliyoyasikia kuhusu huyo dereva kwamba ni kwa uwezo wa Mungu???? Sijui umri wako, but you sound like a teenager, that's why I said think BIG.

Katika tukio zima linatulazimisha kuamini kuwa mungu yupo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mipango ya MUNGU huwa haihojiki; pamoja na Pirato kuona Yesu hana hatia lakini wakuu wa dini wakashinikiza atoe amri kuwa auawe!!! Ilikuwa Yesu auawe tu kulikuwa hamna namna nyingine yoyote ili maandiko yatimie.

Mipango ya MUNGU huwa haihojiwi; na kupingana nayo ni kujitafutia balaa kubwa kwani ni laana yako wewe kizazi chako hadi cha nne; haya soma yaliyompata Yona alipojifanya mjanja wa town....

Sasa tafuta mtu yoyote duniani aliyepigwa kiasi hicho cha risasi yet akapona.
 
Mungu anampenda sana Lissu lakini kutokana na uasi anaoufanya huyu Lissu kwa taifa lake Mungu akaamua kumkanya ili aache ushenzi wake huo. Akaruhusu aumizwe vibaya Ila asife. Kama Lissu hataonyeka na kuacha kuuhadaa umma wa Tanzania basi tusishangae Mungu akatenda mabaya zaidi kwake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nilimjua nikiwa nangalia kipindi cha general on monday channel 10 wakati huo nipo.advance . akiongelea issues za madin ya barick na madude gan cjui. nilimpenda na kufiatilia historia yake tangu cku ile. huyu lazima atakuwa mpenzi wa nyimbo za bob na mandlela. majibu yake kwa mahita alipokuwa jkt
. mungu mjalie tundu lissu
 
Mipango ya MUNGU huwa haihojiki; pamoja na Pirato kuona Yesu hana hatia lakini wakuu wa dini wakashinikiza atoe amri kuwa auawe!!! Ilikuwa Yesu auawe tu kulikuwa hamna namna nyingine yoyote ili maandiko yatimie.

Mipango ya MUNGU huwa haihojiwi; na kupingana nayo ni kujitafutia balaa kubwa kwani ni laana yako wewe kizazi chako hadi cha nne; haya soma yaliyompata Yona alipojiganya mjanja wa town....

Sasa tafuta mtu yoyote duniani aliyepigwa kiasi hicho cha risasi yet akapona.
Hata watu wa dunia ya 1 wanashangaa ilikuwaje mh lissu akapona kwa lundo hilo la risasi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu yote tumeshayasikia. Swali langu unafikiri ni nani aliyempa hayo maono. Maana unasema hata kama Mungu yupo lakini dereva alifanya kazi kubwa kulaza kiti. Hivi huwezi kuona hata huko kulaza kiti na yote uliyoyasikia kuhusu huyo dereva kwamba ni kwa uwezo wa Mungu???? Sijui umri wako, but you sound like a teenager, that's why I said think BIG.

Sent using Jamii Forums mobile app
Absolutely the guy is a teenager

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu anampenda sana Lissu lakini kutokana na uasi anaoufanya huyu Lissu kwa taifa lake Mungu akaamua kumkanya ili aache ushenzi wake huo. Akaruhusu aumizwe vibaya Ila asife. Kama Lissu hataonyeka na kuacha kuuhadaa umma wa Tanzania basi tusishangae Mungu akatenda mabaya zaidi kwake

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaonyesha wewe ni jinsi gani ulishiriki hiyo hujuma na itakuwa vizuri serikali ianzie kwako maana kuna pa kuanzia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom