Tundu Lissu ni uwezo wa malaika

Tundu Lissu ni uwezo wa malaika

Hata kuhisi hatia, ukosefu wa utulivu wa nafsi,hofu,wasiwasi,kufail Kwa mambo kila afanyalo mtu, ni mateso na mapigo Kwa wasiojulikana.Hio ni damu moja tu,bado za wengine.Hakuna kitu kizuri kama Furaha ya moyo,ridhiko La nafsi,

Sent using Jamii Forums mobile app
Usemayo ni kweli hasa ukichanganya na albadili watapata taabu sanaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna yupo kashtuliwa na ajali kidogo ya gari hapo hapo kaamini Mungu yupo na Kifo kipo.

Tujitahidi kutenda haki na wema itatufaa kesho isiyojulikana
 
Wana jamvi kushambuliwa kwa lisasi zaidi ya 30 kwenye mwili wa TUNDU LISSU na kuendelea kuwa hai hadi leo ni miujiza ya kitume kwa huyu binadamu na tumtumie ili aweze kutuvusha kwenye bahari ya shamuView attachment 845792

Sent using Jamii Forums mobile app

Watajulikana wakati muafaka, Mungu hana haraka, miaka 1000 (elfu moja) kwa Mungu ni sawa na saa 24 (siku moja) kwa binadamu, angalia na soma agano la kale Psalms(Zaburi) 90:4 na Agano jipya 2 Peter 3:8!!!!!! Mungu hutenda kwa staili yake kwa wale wote waliohusika na kupanga, jua wana watoto, ndugu, ukoo - laana ni mbaya mno, huangamiza kizazi(generations)!!!!Laus Deo Semper!
 
Hakika mungu ni muweza wa yote

Laana itapiga hadi vizazi vinne vya chain nzima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom