Tundu Lissu ni uwezo wa malaika

Tundu Lissu ni uwezo wa malaika

Huo ni usheitani na kufuru.

Mwanasiasa yoyote hana Umalaika wala uungwana, yeye ni maslahi. Wanasiasa ni waongo NA wanafaki.

Hakuna mwanasiasa yoyote atakaye Iona pepo. La pili mwanasiasa hawekukuvusha popote kama hana maslahi NA hilo jambo. Wao ndio wanatuhitaji tuwatengezee kula, NA wakishapata hawatujui tena mpaka watakapohitaji kura zetu.
 
Mbona hueleweki nini kusudio lako?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama lissu angekuwa anafanya unachokisema hakika Mungu wa mbiguni angempiga hata na pigo la ububu ili dunia nzima ijue..... Lakini kwa kuwa Mungu wa mbiguni ni wa haki akaamua kumwokoa mtoto wake Lissu dhindi ya yule jiwe wa pale magogoni aliyejifanya mungu mtu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Lengo la Mungu ni Lissu ajirudi aache ulaghai na atubu ili amtumie kwa mambo mema. Hakuna shaka Lissu ni mwerevu lakini ameamua wakati huu kuwa tofauti na hapo mwanzo alipokuwa anatetea raslimali za Taifa. Sasa amegeuka na anachukulia kuwa kwa vile Watanzania walikuwa wanamwamini hivyo hata akiwa kinyume na mambo mema yanayofanyika basi kwa ulaghai wake Watanzania wataendelea kuamini kuwa nia zuri bado anayo. Sasa Mungu halaghaiwi na hivyo akaruhusu yaliyompata ili iwe onyo kwake kuwa akizidisha makubwa zaidi yaweza kumpata ila akitubu Mungu ataendelea kumtumia kwa mema
 
Huo ni usheitani na kufuru.

Mwanasiasa yoyote hana Umalaika wala uungwana, yeye ni maslahi. Wanasiasa ni waongo NA wanafaki.

Hakuna mwanasiasa yoyote atakaye Iona pepo. La pili mwanasiasa hawekukuvusha popote kama hana maslahi NA hilo jambo. Wao ndio wanatuhitaji tuwatengezee kula, NA wakishapata hawatujui tena mpaka watakapohitaji kura zetu.

Pepo ni hapahapa duniani mjomba! Nani kaenda na kurudi kasema kuna pepo? Tumsubiri Yesu(Isa)!lakini akili za kuambiwa changanya na zako[emoji38]!
 
Back
Top Bottom