Tundu Lissu ni uwezo wa malaika

Tundu Lissu ni uwezo wa malaika

Risasi 38 za Sub Machine Gun (SMG) zikuingie mwilini then upone aisee

Hata waliozicharaza hawakuamini kama jamaa kapona; walijua wameshamtoboa toboa kina kona y ma mwili.

Miujiza huwa ipo hasa kama Mwenyezi MUNGU bado anamakusudi na wewe hapa duniani.
Halafu anafiwa na nduguye anajifanya anahuzunika. Jiwe ni shetani wa kutisha. Hana ubinadamu hata chembe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shambulio la Lissu: Wajue Wasiojulikana Watakaojulikana na 'Wasiojulikana' Ambao Kamwe, Hawatajulikana!. - JamiiForums
P
Shambulio la Lissu: Wajue Wasiojulikana Watakaojulikana na 'Wasiojulikana' Ambao Kamwe, Hawatajulikana!. - JamiiForums
P
There is no secrete under the Sun ''Kuna siku welevu watang'amua tu''
 
Risasi 38 za Sub Machine Gun (SMG) zikuingie mwilini then upone aisee

Hata waliozicharaza hawakuamini kama jamaa kapona; walijua wameshamtoboa toboa kina kona y ma mwili.

Miujiza huwa ipo hasa kama Mwenyezi MUNGU bado anamakusudi na wewe hapa duniani.
Ni kweli lakini kumbuka lile bati la gari lilipunguza nguvu kiasi hivi unajua risasi wewe ikuiingie moja kwa moja kama ilivyotumwa tena sniper awe karibu mita 6 ?
 
Kwa tukio la Lissu ni udhihirisho kuwa Mungu yupo.

Mungu ni mwema siku zote
Pamoja na mungu ndio lakini dereva nae kamsaidia sana kumbuka aliwahi kulaza kiti kabla triger ya smg kuminywa
 
Wachawi wana mbinu nyingi. Akirudi nchini si ajabu kumfuata tena TL pengine kwa staili nyengine ya Urusi wakali wa kutumia mate ya nyoka. Lkn tumuombe Allah amlinde na nia mbaya za watesi wake.
Amin shekhe
 
Back
Top Bottom