Tundu Lissu ni uwezo wa malaika

Tundu Lissu ni uwezo wa malaika

nilimjua nikiwa nangalia kipindi cha general on monday channel 10 wakati huo nipo.advance . akiongelea issues za madin ya barick na madude gan cjui. nilimpenda na kufiatilia historia yake tangu cku ile. huyu lazima atakuwa mpenzi wa nyimbo za bob na mandlela. majibu yake kwa mahita alipokuwa jkt
. mungu mjalie tundu lissu
Palipo na mungu wenye nia mbaya hukosa maarifa ya kutenda maovu
FB_IMG_1535111232996.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mipango ya MUNGU huwa haihojiki; pamoja na Pirato kuona Yesu hana hatia lakini wakuu wa dini wakashinikiza atoe amri kuwa auawe!!! Ilikuwa Yesu auawe tu kulikuwa hamna namna nyingine yoyote ili maandiko yatimie.

Mipango ya MUNGU huwa haihojiwi; na kupingana nayo ni kujitafutia balaa kubwa kwani ni laana yako wewe kizazi chako hadi cha nne; haya soma yaliyompata Yona alipojiganya mjanja wa town....

Sasa tafuta mtu yoyote duniani aliyepigwa kiasi hicho cha risasi yet akapona.
Mungu wa Ibrahim, Mungu wa Yakobo, Mungu wa Isack, Mungu wa wote wenye mwili na wasio na mwili, Mungu wa miungu yote. Hakika Sifa na Utukufu tunakurudishia wewe kwa kumponya mwanao Tundu Lissu dhidi ya watesi wake Amen.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu ni Mkubwa mimi niko kwenye sector kubwa wafanyakazi walipockia Lissu kapigwa risasi walichanganyikiwa Kwenye taasisi Kubwa mimi Ni mkatoliki Nilienda kanisani Nikasali Ilikuwa Ni Siku ya kuabudu Ekarist Nikamwambia Yesu wa Ekarist mponye Lissu Fanya muujiza Nilisali Mpaka nikalia machozi Nashukuru Mungu alijibu Maombi yangu hata Wale ambao hawasali walisali hata wapagani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi huwa sisali lakini nililia na kumwomba Mungu kwa ajili ya Lissu. Mungu ahsante na endelea kponya kabisa lisu!
 
"only God can judge me" hii ngoma huwa naipenda sana tena sana
 
Mungu anampenda sana Lissu lakini kutokana na uasi anaoufanya huyu Lissu kwa taifa lake Mungu akaamua kumkanya ili aache ushenzi wake huo. Akaruhusu aumizwe vibaya Ila asife. Kama Lissu hataonyeka na kuacha kuuhadaa umma wa Tanzania basi tusishangae Mungu akatenda mabaya zaidi kwake

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeye na hasara kwa taifa nani aliethibitika ni muongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shetani kaaibika vibaya kupona kwa Lissu,Mungu awaumbue watesi wake kweupee!
 
Kuna siku watu watatamani wajinyonge, kila wakivaa kitanzi kinakatika, haohao watatamani kunywa sumu lakini wanywapo sumu ndio kwanza itatibu majeraha na maumivu ya kitanzi. Watatamani wachimbe shimo wajifukie lakini watakutana na mawe ardhini. Watatamani watoroke lakini hawatakuwa na uwezo huo tena

Mwisho wa siku watakuwa wamepigwa butwaa wala wasijue cha kufanya. Hapo ndipo kutakuwa na kilio na kusaga meno

Mliopo madarakani tumieni madaraka yenu vizuri, malipo ni hapa hapa duniani na wala hayapo mbali
 
Back
Top Bottom