cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 26,795
- 73,547
Shujaa anayejiamini hawezi kuwa na mipango ya kuondoka nchini baada ya uchaguzi na tiketi mkononi..
Shujaa angekuwa anajihamini angetulia ili akijua kma angekuwa Rais basi angeweza leta hao anataka wafata wamfate huku..
JPM 💯💛💚💛💚💛
Shujaa angekuwa anajihamini angetulia ili akijua kma angekuwa Rais basi angeweza leta hao anataka wafata wamfate huku..
JPM 💯💛💚💛💚💛