Muyobhyo
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 8,149
- 6,534
agombee tu ubunge, huko mbeleni ndio agombee uraisiNgumu kwa sababu zipi? Na hiyo chachu ya bunge unaiona wapi au we MP, we subiri tu 2020 itakuja.
Sent using Jamii Forums mobile app
agombee tu ubunge, huko mbeleni ndio agombee uraisiNgumu kwa sababu zipi? Na hiyo chachu ya bunge unaiona wapi au we MP, we subiri tu 2020 itakuja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu si ndiyo alimtukana Lowasa kwa zaidi ya miaka 8,au mmesahau?Leo anamsifia Lowassa,hata hajafafanua why anamsifia.Embu fafanua hizo personality zinazomfanya mtu kuwa Rais???
Huyu si ndiyo alimtukana Lowasa kwa zaidi ya miaka 8,au mmesahau?Leo anamsifia Lowassa,hata hajafafanua why anamsifia.
Kuna mtu alikuwa anatafuta happiness hapaTundu Lissu ni zaidi ya Rais Magufuli! Happy?
Personality ndio kigezo cha tu kuchaguliwa kuwa Rais?Hahahahaha,asimame tu,yaani CCM inashinda bila jasho.Huyo Lissu hana personality ya kumfanya awe Rais.
Magufuli ameshasema yeye ni rais wa wanyonge, so lazima idadi ya wanyonge izidi ili kujihakikishia ushindi. Ifikapo 2020 wafanyakazi watampa kura kwa vile kwa unyonge wao watapewa nyongeza ya kununulia unga, na watamzawadia kura.Nyongeza ya mwaka ya mshahara kwa watumishi wa umma iko kisheria lakini huyu mtukufu wetu ambaye pia ni Dikteta ametoa agizo watumishi wasipewe hiyo nyongeza mpaka itakapofikia 2020 ili waweze kumchagua yeye. Halafu ndo CCM wanasema anazingatia utawala wa sheria.
Haya maneno na hizo tabia huwa sizitofautishi na 'uchawi' unamzuia mtu kufanya kazi yake kwa uhuru huku ukiminya muda wake halafu unasema ameshindwa kutekeleza majukumu yake, kwa ujinga gani au upofu gani walio nao raia wote sasa?Mkuu Paskali, hata Tundu mwenyewe anajua kuwa ni mzuri sana kwenye nafasi ya kuongea hovyo na kukosoa lakini si utekelezaji. TLS sasa imeshamshinda,hakuna linalofanyika kwa manufaa ya wanasheria.